Search results

  1. Bururu

    Vibaka wamerudi mtaani kwa wingi

    Naomba Jeshi la Polisi hasa mitaani mje kusaidia maana vibaka wamerudi kwa wingi sana. Hii sio siasa ni reality kabisa na siandiki kwa mihemuko! Kuna kipindi tulianza kulala milango wazi lakini kwa sasa wanakata mpaka madirisha
  2. Bururu

    Kero: Mkuyuni Morogoro vijijini hakuna umeme

    Morogoro kijiji cha Mkuyuni hakuna umeme wiki mbili sasa, ni shida kwa wafanyabiashara.
  3. Bururu

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Antony Mtaka na Uongozi wa Mkoa wamuenzi Dr Balele

    Tumehitimisha Safari ya Mpendwa Kiongozi wetu Brigedia Jenerali Dr.Yohana Balele aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga- aliyezikwa Makaburi ya Nyumbani Kwao Bariadi,Kwa Kutambua Mchango wake katika elimu ndani ya wilaya ya Bariadi enzi akiwa Mkuu Wa Mkoa-Uongozi wa Mkoa wa Simiyu Tumeipa Jina -...
  4. Bururu

    Mh J Kikwete ahani Msiba wa Dr YD Balele

    Leo Maeneo ya Kunduchi Mh JKikwete Rais msitaafu amehani msiba wa Ret Brg General Balele Nyumbani kwa marehemu Kunduchi Dar es salaam.
  5. Bururu

    TANZIA: Brig Gen Dr. Yohana Balele amefariki dunia Hospitali ya Lugalo

    R I P Dr Balele Mungu ametwaa jembe la uhakika. Amefariki jana mida ya saa 7. Msiba upo nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar. ------ Brigadia Jenerali Yohana Balele aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga akitokea kuwa Mkuu wa Hospitali ya Kijeshi ya Lugalo. Alikuwa Daktari Bingwa wa...
  6. Bururu

    CAG neno dhaifu lipo na ataendelea kulitumia Vip kuhusu Mh Lema na Mh Mdee Kusimamishwa MBUNGE?

    CAG: Neno 'dhaifu' naendelea kusisitiza ni lugha ya kawaida katika ukaguzi wetu. Na tutaendelea kulitumia. #CAGBUNGENI #DARMPYABLOGUPDATES Sasa Kamati ya Bunge inaonaje swala la kuwasimamisha Mh Lema na Mh Mdee kwa neno halali na linaloendelea kutumiwa na CAG?
  7. Bururu

    Lissu akitua nchini, mapokezi yake yatavunja record ya msiba wa Baba wa Taifa

    Siku Mh T lissu anatua nchini mapokezi yake yatakuwa makubwa sana,kila kona kwa sasa watu wanauliza ni lini anarudi mkombozi Lissu??
  8. Bururu

    Nashauri watu wafunge Human Track

    Kila mtu akifunga iki kifaaa itakuwa mwisho wa Wasiojulikana na pia mwisho wa watoto kuuliwa kwa iman za kishirikina. Pia itakuwa salama kwa wanaharakati kupotea na kutekwa kwa watu na kupotezwa au kufa kabisa au kucheleweshwa kurudishwa. Kuna kampuni knakamilisha utaratibi wa kuanza kazi.
  9. Bururu

    Walaka wa T.Lissu vs Spika vs Dhahabu za Mwanza

    Kwa mtazamo wangu kuna mambo yametengenezwa kama kawaida ili kupoza walaka wa Lissu siamimi kama kuna Dhahabu kilo 300 jinsi nijuavyo dhahabu pia Mh spika sizan kama hajui sheria au katiba ya Bunge ! Mwenye maon au mtazamo zaid
  10. Bururu

    Mbunge Wa Nyarugusu leo siku ya 5 mji wote hakuna umeme

    Inasikitisha sana Mjini Nyarugusu Geita hakuna Umeme siku 5 mji mzima na hakuna hatua zozote au juhudi za Umeme kuwaka. Update; 12/12/2018 Tanesco Geita hakuna umeme Nyarugusu yote kwa mda wa siku 9 na ni mji wa kibiashara,Ni hasara kwa wafanyabiashara,Wenye kaya zao pamoja na Usalama wa Raia...
  11. Bururu

    Nitakuwa Rais bora siku moja

    Ninaamini nitakuwa Rais bora kwa uwezo wake Mola. Nitauona upinzani kama chachu ya Maendeleo badala ya kuwa na hofu nao. Nitarejesha taswira chanya ya nchi yetu mbele ya jamii ya kimataifa kwa kulinda Demokrasia na haki za binaadam. Mtachapa kazi, Lakini pia mtakula bata 🤣 By Zitto K
  12. Bururu

    Ninahamini nitakiwa Rais bora na si bota Rais si Maneno yangu

    By Zitto Ninaamini nitakuwa Rais bora kwa uwezo wake Mola. Nitauona upinzani kama chachu ya Maendeleo badala ya kuwa na hofu nao. Nitarejesha taswira chanya ya nchi yetu mbele ya jamii ya kimataifa kwa kulinda Demokrasia na haki za binaadam. Mtachapa kazi, Lakini pia mtakula bata 🤣
  13. Bururu

    Kwa Mapenzi yangu na akili timamu!

    Nimeamua kushabikia Liverpool kwa Mapenzi yangu na akili yangu timamu kwa sababu nikiwa Man U siweza kuangalia Mechi za Liver live.Liverpool wanacjeza vzr hawajafungwa
  14. Bururu

    Kwanini wasiondoke kwa pamoja?

    Kwa nn kama kuna wengine wasiondoke kwa pamoja??Tumechoka kila pakicha wameondoka uchaguzi uchaguzi miaka inaenda Hakuna la kujivunia
  15. Bururu

    Naomba kuuliza yuko wapi Ruge wa CMG??

    Ni mda sasa sijamsikia Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge na sasa ni msimu wa Fiesta,si kawaida msimu wa Fiesta kuanza bila kusikia neno toka kwa uyu jamaa.Kwa anaejua au fununu atujuze
  16. Bururu

    Baada ya mapato kupungua kupitia makosa ya barabarani mbinu mpya ya vyeti itatumika

    Njia ya kuongeza mapato kila kukicha inabuniwa, sasa ya safari hii ki kali kuliko zote cheti cha shile/chuo utembee nacho
  17. Bururu

    Hawa jamaa walimanisha nini??

    Naomba kujua walimanisha au walitoa ujumbe gani katika hii picha?
  18. Bururu

    Kwa yeyote anayejua jinsi ya kuuza marudio ya mchanga wa dhahabu naomba msaada

    Kwa yeyote anayejua jinsi ya kuuza marudio ya mchanga wa dhahabu naomba msaada jinsi ya uhuzaji wake,nina Tonne zaid ya kumi(10) sample inaonyesha majibu ya Gold 3.3-4ppm, Copper 330,No sulpher, Kama kuna mtu anaelewa jinsi ya kuuza marudio yanayosoma ivyo naomba msaada
  19. Bururu

    Mzalendo: Nasogea Goligota

    Nahisi 2pac is back, Sasa hii ndo pure hip hop na wakati inahitajika kama ukiipinga lazima ukapimwe akili,Sio Roma wa kibamia ama Dem uyu au dem uyu. Hii ni HIP HOP YA MWAKA
  20. Bururu

    Huwezi kushindana na Serikali"Lakini Serikali haiwezi kushindana na Wananchi wake/Raia/Watu wake

    Toka nimejua kutenganisha;kusikiliza,kuelewa,kusoma na kuandika pamoja na Iman yangu naamini Hakuna Mtu Dunian anaweza kushindana ba Serikali yake kwa vyovyote vile. Pia Serikali haiwezi kushindana na Wananchi wake kwa umoja wa Wananchi(watu wake). Nachotaka kusema Bila Serikal Imala hakuna...
Back
Top Bottom