Search results

  1. Mzee

    Ninawapongeza CHADEMA kwa maoni yao ila hoja namba 5 ni ya ovyo

    Hajaeleza impact ya hao Wabunge wawili kila Jambo ktk Maendeleo ya Jimbo....
  2. Mzee

    Ninawapongeza CHADEMA kwa maoni yao ila hoja namba 5 ni ya ovyo

    Hili ni wazo la Kijinga kutolewa na Chama cha Chadema.....
  3. Mzee

    Anayemiliki mabasi ya Kilimanjaro ni Tajiri wa ajabu kweli kweli

    Mimi nikiwa na akili timamu siwezi kupanda Kilimanjaro... Bora waniue. Kampuni nyingi Kongwe zinaendeshwa kizamani Kisanii sanii
  4. Mzee

    DC Moshi awatolea uvivu Kilimanjaro Express, acheni wizi

    Nyakati za watu Jeuri zimepia....
  5. Mzee

    Kikao cha Wanaume: Mapitio ya Sheria ya kumpa pesa Mwanamke

    Sio Mimi. Ni Maazimio ya kikao... Unapingana na kikao.
  6. Mzee

    Kikao cha Wanaume: Mapitio ya Sheria ya kumpa pesa Mwanamke

    Kikubwa cha kuzingatia... Kama dem akikukataa hakuna sababu ya kuwa Marafiki.... Futa namba achana naye.. Hakuna Urafiki, atakuwa anakutumia kwa Manufaa yake... Piga chini.
  7. Mzee

    Kikao cha Wanaume: Mapitio ya Sheria ya kumpa pesa Mwanamke

    Mnakaribiwa mkuu.... Karibuni sana.
  8. Mzee

    Kikao cha Wanaume: Mapitio ya Sheria ya kumpa pesa Mwanamke

    KIKAO CHA WANAUME. Kikao cha wanaume kimeisha salama jana.. Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya.. Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha 12, kilichokuwa kikisema hairuhusiwi kumpa hela mwanamke ambaye hujamuoa wala hujazaa nae...
  9. Mzee

    Mkandarasi wa Uturuki, Yapi Merkezi athibitisha pengo la $1.8bn katika ufadhili wa Tanzania SGR

    Kwanini Serikali ya Mama Samia imeongezea Makutupora to Isaka, Isaka to Mwanza na Tabora to Kigoma wakati hakuna hela. Kwanini tusimalize kwanza walau Dar to Dodoma.
  10. Mzee

    Tuwe Wakweli, Rais amechoka ila wapambe ndio ving'ang'anizi 2025 agombee

    Ingewezekana angetoka hata kabla ya 2025....... Maana hakuna Jipya kwasasa analoweza kufanya
  11. Mzee

    MTWARA: Rais Samia afukuza kazi kuanzia RAS, DC, DED mpaka DAS. Awaonya wateule wanaofanya kazi kwa mazoea,kushindwa kuwasikiliza na kuwajali Wananchi

    Hao waliotumbuliwa tunampa Mwezi mmoja anawateua tena...... Ni danganya toto. Unamtumbua Temeke, Unamteua Mtwara... Si Usanii huu.
  12. Mzee

    Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

    Mbona wale Waalim wawili wa CWT waliteuliwa Ukuu wa Wilaya na wakagoma......
  13. Mzee

    Kahama: Manispaa isiyo na barabara za lami za mitaa

    Habari za leo wana jukwaa, Kahama ni kati ya wilaya zenye mapato makubwa sana Tanzania. Kahama ni Manispaa ambayo haina barabara za mitaa za lami. Tunaomba tuwekewe lami Barabara ya Nyakato kuunganisha asilimia mia na Barabara ya Mamaa Farida.
  14. Mzee

    Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

    Raisi hana muda wa kufatilia Utendaji wa Wateule wake.. Anachojua ni kuteua na kuhamisha basi.
  15. Mzee

    Tetesi: Wanasiasa na mipango ovu ya kuiua E-GA

    Kuna wakati naona Serikali wanawekeza Fedha kutengeneza mifumo ambayo ni Useless. Mf. Mfumo wa eMrejesho... Nimetuma Mrejesho wangu una zaidia ya Miezi 2 haujapitiwa.
  16. Mzee

    Uteuzi: Kihongosi Mkuu wa Wilaya Urambo, Queen Sendiga ahamishiwa Manyara

    Natamani siku moja nipate mtu anieleze Faida za hizi teuzi na Hamisha Hamisha..... Zaidi hizi hamisha hamisha zinatumia tozo zetu.
  17. Mzee

    Uamuzi wa kujenga Majengo ya Serikali Dodoma ni Uamuzi wa Kipuuzi, wanaoshangilia ni wajinga

    Naomba kujua Faida za kuhamia Dodoma na Hasara za kubaki Dar.
Back
Top Bottom