Search results

  1. S

    Dr. Slaa: Kikwete mmiliki wa DOWANS...

    Ni jambo la kushangaza kusikia kuwa rais hajui na wala haifahamu Dowans. Haiingii akilini kabisa, hivi kweli rais atashindwa kuelewa kitu kinachofanyika ndani ya nchi yake? Anasimamia nini sasa kama haelewi kinachoendelea ndani ya nchi yake. Huu ni usanii mwingine,mwenye kaya anasimamia yote...
  2. S

    Polisi wavunja maandamano ya Wanafunzi UDSM; Watawanywa kwa mabomu ya machozi

    Si bure hapa pana jambo, haiwezekani kila leo migomo tena kila kona ni dalili kwamba mambo mengi yapo hobela hobela.
  3. S

    Serikali yavunja rekodi ya ukusanyaji mapato na akiba ya dola!

    Mti hujulikana kwa matunda yake. Kama kweli hiyo neema imeanza kuonekana tungeona mabadiliko ya bei za vitu na huduma muhimu zikirejea kama zamani. Migomo mingi ya wanachuo kudai malipo na maslahi imetokea mwezi January, kama mwezi Desemba serikali ilikusanya mapato mengi, ilishindwaje...
  4. S

    Wamechezea hela zetu vyakutosha na sasa wameanza kuchezea miili yetu

    :deadhorse: Huu ni ushirikina mkubwa ambao hauvumiliki, kuua vichanga ambao ni taifa la kesho kweli haivumiliki. Vyombo vya sheria vichukue mkondo wake bila kubania bania mambo. Mara nyingi utasikia uchunguzi unaendelea, lakini mwisho wa uchunguzi hatuusikii, hapo inakaa vipi, au ndo ule...
Back
Top Bottom