Search results

  1. I

    Inafikirisha sana hii tabia ya watu wazima kubaka watoto

    Hakuna kitu kinafikirisha sana kwa sasa kama hili la watu wazima kabisa tena wenye familia zao lakini unaambia eti kabaka mtoto mdogo. Hivi hawa watu wanakuwa na matatizo gani hasa?. Kwanini watu wamekosa utu namna hii? Nini kinasababisha mambo kama Haya kutokea katika jamii zetu sasa hivi...
  2. I

    Wahitimu wa vyuo vikuu wapewe mikopo kwa kutumia vyeti

    Ndugu msomaji mimi Leo nimeona nitoe pendekezo kwa Serikali kuangalia ni jinsi gani ikawasaidia vijana wanaohitimu Vyuo vikuu kutumia vyeti vyao kupata mikopo ya kuanzisha biashara mara baada ya kuhitimu. Kama Serikali ilivyowasaidia vijana hawa kupata mikopo ya kusoma Vyuo basi ni bora pia...
  3. I

    Wanawake hawajui haki zao

    Hadithi ya hii inatokana na maisha ya mwanamke asiyejua thamani yake na haki zake. Imagine mpaka Leo kuna wanawake wanaishi maisha ya mateso. Mwanamke ameachana na mume wake na kila mtu anaishi maisha yake. Hii hainishangazi ila kinachonishangaza ni kwamba Mwanaume baada ya kuacha a na mke...
  4. I

    Maadui watatu wa nchi, tunakwama wapi kuishinda? Ni miaka 60 tangu uhuru

    Ni maadui watatu waliotajwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere tangu tunapata uhuru – ujinga, umaskini na maradhi. Hadi anazikwa kijijini kwake Butiama Oktoba, 1999, maadui wa Taifa walibaki ni walewale watatu. Ni maadui watatu waliotajwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere tangu tunapata...
  5. I

    Maisha magumu mitaani

    Serikali yenyewe ipo kimya tuu wa naona yanayoendelea ni Sawa tu, huku wananchi wanateseka. Ukifika hospital za Serikali hakuna madawa, mfano hospital ya Wilaya ya Mbulu haina hata nyumba ya kihifadi maiti, wananchi wamelala Mika mpaka wamechoka. Mafuta yamepanda tunaambiwa ni vita ya...
  6. I

    Nchi ngumu sana hii, Mheshimiwa Rais Mama Samia anasema hatatoa kwanza ajira

    Nchi ngumu sana hii, Mheshimiwa Rais Mama Samia anasema hatatoa kwanza ajira kwanza ili awapandishe madaraja walioko kazini,duh ukijiuliza yupi mwenye uhitaji kati ya ambaye Hana ajira na ambaye ana ajira?. Leo hii vijana wapo mitaani wakiambiwa wajiajiri wenyewe lakini ukirudi nyuma...
  7. I

    Leo katika historia: Jenerali Mstaafu David Musuguri alizaliwa Januari 4, 1920. Atimiza miaka 102

    Jenerali mstaafu David Bugozi Waryoba Musuguri alizaliwa Januari 4, ‌1920 katika Kijiji cha Kumuruti, Masabha. Sasa sehemu hiyo inajulikana kama Nyasirori, akiwa mtoto wa tatu katika familia ya mzee Musuguri wa Nzangho. Alipozaliwa aliitwa jina la Waryoba, ikiwa ni ishara kwamba alizaliwa...
  8. I

    SoC01 Kwa dunia ya leo teknolojia ni muhimu sana kwa maendeleo ya jamii yetu na nchi yetu

    Teknolojia ni sayansi au maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitendo kusuluhisha shida au kubuni zana muhimu kwa kutumia mbinu, njia au njia za kimfumo za kutatua shida. Teknolojia nyingi za leo inamaanisha matumizi ya kompyuta. Leo teknolojia ni muhimu sana kwa sababu inatumika kwa karibu...
  9. I

    Uchaguzi 2020 Jimbo la Babati Mjini kurudi upinzani

    Kuna mambo yanayoendelea kwa wananchi wa jimbo la babati mjini kama tu CCM watafanya makosa na kurudisha jina la Pauline Gekul. Wananchi wengi wanasema wamemchoka Paulina nakusema bora hata Esta Mahawe au achukukiwe mtia nia aliyeshika nafasi ya nne Mwalimu Darabe. Kuna taarifa za chichi chini...
  10. I

    Je, ni sahihi kwa Kamati kukata jina la Mshindi wa Kura za ndani bila sababu za maana?

    Mtia nia anashinda kura za ndani kwa wajumbe halafu Kamati inakuja kumkata kisa sababu zao wanazojua. Swali ikiwa ndani kwa wajumbe alipita je ukimkata atahama na wajumbe wangapi? Je, hao wajumbe wanawapiga Kura wangapi ambao wanaweza kuhama na mtu wao? Mwisho wa siku jimbo hiloo kisa kiongozi...
  11. I

    Barua huru Kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. John Pombe Magufuli

    Mheshimiwa Mwenyekiti wa Chama na Rais wetu mpendwa kuna baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi wanashindwa kufuata katiba na taratibu za chama . Leo tarehe 21/07/2020 katika ukumbi wa White Rose mjini Babati kumetokea kitendo ambacho mimi kama mwananchi na ninayependa chama changu na nchi...
  12. I

    Wewe mwanachuo uliyeko mwaka wa mwisho

    Ukimaliza chuo na degree yako huku mtaani ukija ujue ndo unaanza form one za kitaa. Huku ni kutafuta kwa jasho degree inabaki kwanza kwenye karatasi. Tatizo vile vyeti hata Kuombea mkopo wa kuanzisha hata biashara au mradi wowote ule wa maendeleo haviwezi. Elimu yetu inatusaidia kupata vyeti...
  13. I

    Uchaguzi 2020 Wilhelmon Mayo, Mtia nia wa ubunge jimbo la Babati Mjini, Manyara

    Maendeleo na mabadiliko ya Babati yataletwa na kijana wa Babati ambaye anajua ni nini wanababati wamekosa kwa muda mrefu. Pamoja na kuwa anafanya kazi Babati mjini pia ni kijana mzalendo na anayeshirikiana na wananchi katika maisha ya kila siku. Mtu kama huyo ndio anayehitajika na anayetafutwa...
  14. I

    Uchaguzi 2020 Hatima ya CCM Babati Mjini

    Katibu mkuu wa CCM Taifa Dkt. Bashiru Ally anatakiwa kuwa makini katika harakati za kumteua mwakilishi wa CCM katika uchaguzi wa Oktoba mwaka 2020. Anatakiwa kuhakikisha na kumleta Mgombea ambaye atawafaa Wananchi wa babati na siyo mtu anayempenda yeye au anayependwa na chama au wajube wa...
  15. I

    Uchaguzi 2020 Vita kali ubunge Babati Mjini. Nani apewe?

    Hawa ni baadhi ya wanaccm walioonyesha nia ya kugombea Ubunge jimbo la Babati mjini. Je, nani anaweza kuwa kuipeperusha bendera ya CCM?
Back
Top Bottom