Search results

  1. Daviie

    Somebody pray for me

    Hello Fams! My name is David... I feel like my life sucks... I'm sick and I'm sick and tired of being sick, tired of yelling inside, tired of being alone, tired of being angry, tired of feeling stuck, tired of needing help, tired of missing things, tired of being different, tired of feeling...
  2. Daviie

    Bora nikate tamaa ili niwe salama

    Nlipokuwa mdogo (before 20yrs) ilikuwa kila nikitaka kitu nikapima na kuamini naweza kuwa ama kupata basi ilikuwa ni lazima nifanikishe ningeacha vyote nifocus na hicho tu mpaka ieleweke. Sasa nimekuwa mkubwa bado ni mtu wa strong desires yaani nikitaka nimetaka akili yangu itaumia kutafuta...
  3. Daviie

    Baba ni wewe remix by Davie

    Nipo ndani ya pango, nakungoja mwenye Upendo, Unipe Nuru, unitoe humu ndani... Sina maelezo, nimeishiwa uwezo, nakuomba uliye juu unitoe mi gizani... Nikiwaza Je, itakuwaje maisha yangu ? nachoka natamani hata kutoweka... Nawaza nifanyaje mimi mbona ndoto zangu zinazimika... Baba ni wewe, U...
  4. Daviie

    Mfano halisi wa kinachotokea kwenye maisha ya wengi nikiwemo na mimi.

    Video hii niliyoiuoload hapo chini nimekutana nayo huko Instagram. Kiukweli imenigusa kwa asilimia 99.9% . Hiyo 0.1% namsubiri Hippopotamus atokee sijui lini. BTW nisijisemee sana mimi lakini kama wewe Mungu amekubariki, maisha yamekuendea sawa wewe na familia yako, Tafadhali sana usisite...
  5. Daviie

    Ulemavu siyo tatizo ila uwezeshwaji ndo tatizo zaidi

    Ndugu habari zenu! Leo nimerudi tena kwenu Siku nilipopooza ghafla nikaingia kwenye Maisha haya kama a Different abled person mwanzoni sikuwa na hofu kabisa, nilijua either nitapona kwakuwa nilikuwa bado mdogo (20yrs) au hata nisisipopona nitaishi kawaida mbona walemavu kibao wanamudu maisha...
  6. Daviie

    Hapa lazima ukimbie

    Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya Mbagala, akanishtua kwa nyuma akisema "Malogymathematic ndio wewe!? upo kaka?" Nikamjibu nipo kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao akacheka sana, Mara akaanza kuzungumzia matatizo ya familia yake, nikamwambia tuyaachehayo mimi mwenzako nimepitia...
  7. Daviie

    NANI ANATAKA KIWANJA JIJINI DODOMA

    Kiwanja kinauzwa Dodoma, Mahali panaitwa Msalato, Ni umbali wa km 15 kutoka mjini kati kuelekea barabara ya Arusha. Pia umbali wa mita 300 kutoka barabarani -UKUBWA wake ni 919SQM - BEI Tsh 8M (maongezi yapo) - KIMESHAPIMWA ni kusubiri hati itoke ambayo tayari imeshalipiwa - Huduma Muhimu kama...
  8. Daviie

    I hate you World

    Hey there, how you doing?! If you're living Congratulations to you. Here feels like no life, Just breathing waiting for nothing. Now I am lying awake this time (01:55) looking under the poor roof with smoke dust and rusty. I don't deserve here. My thoughts! I wonder why I came to this earth...
  9. Daviie

    Kujua hesabu utoto raha sana, cheki hii

    Nimekuta madogo watatu wanagawana maandazi. Wamenunua maandazi mawili sasa kila mmoja anataka achukue moja halafu atakayekosa wamgawie, kilichonichekesha ni dogo mmoja kajiongeza fasta kawabia haya chukueni mnikatie nusu nusu. Madogo waliochukua maandazi wamefurahi wakajiona wajanja sana halafu...
  10. Daviie

    Wapi nitapata bajaji kwa mkopo nafuu

    Wakuu Habari!.. Tusaidiane connection jamani. Mara kibao nimekuja humu na nyuzi zangu lakini hakuna mafanikio yoyote. Nimekuwa kama mlalamikaji namimi sipendi kuwa mtu wa kulalamika na kulia lia. Mimi ndoto yangu usiku na mchana nimiliki bajaji ili nijipambanie maisha yangu. Hakuna mtu...
  11. Daviie

    Anayefahamu kikundi chochote chenye access na bima ya afya (NHIF)

    Wakuu habari zenu. Kwa yeyote mwenye kufahamu kikundi ambacho kinawawezesha wanachama wake kupata Bima ya Afya tujuzane tafadhali, ikiwa Dodoma au Dar es salaam itapendeza zaidi. Naombeni sana ushirikiano wenu! Nb: kama unaweza kuweka na masharti ya kikundi unachokifahamu itakuwa vizuri zaidi.
  12. Daviie

    Mficha uchi hazai, Mimi ni mlemavu nisaidieni nipate bajaji

    Kwanza niwasalim "Habari zenu!" Muda mrefu nimekuwa nikisitasita kuleta Uzi huu leo nimeamua kufunguka labda kuna mtu mmoja anaweza kuguswa kwa namna yoyote akanitoa kwenye hili giza nene linalonizunguka. Nina miaka 24, niliugua ghafla mwaka 2014 ndani ya muda mfupi nikawa nimepooza miguu yote...
  13. Daviie

    Ipi ni njia bora/rahisi, Kuagiza bajaji kutoka Nje au kununua apa Tz

    Kama kichwa cha habari apo kinavyoeleza naombeni ushauri wenu. Nimetembelea mitandao kama Alibaba naona bei zao ni nafuu sana tofauti na bei ya hapa Tanzania.Nini kinafanya watu wakwepe kununua huko na waendelee kununua zinazouzwa na makampuni ya huku kwetu. Otherwise ni bora bei zingepishana...
  14. Daviie

    Bajaji hii nimeipenda, inauzwa bei gani?

    Habari zenu wakuu, Hivi bajaji za ivi zishaingia Tz, mi bado sijaziona ila bila shaka zimekaa poa sana. Kwa wale wenye uzoefu wa kuagiza bidhaa kutoka nje hiyo bei yake apo kama sijaelewa vizuri dolla 900-1500 mbona kama uko bei nafuu sana kuliko uku kwetu. Vipi kuhusu approximation ya gharama...
  15. Daviie

    Naomba unishauri kuhusu hili

    Deleted
Back
Top Bottom