Search results

  1. plock

    Kuhusu ualimu Grade A kusomea diploma naomba kufahamu

    Mwalimu mwenye sifa ya ualimu wa shule ya msingi yaani Grade A anaweza kuendelea na diploma ya ualimu na ni chuo gani kina uwezo wa kutoa diploma kwa mwalimu aliye kazini anayetaka kujiendeleza hiyo huduma ilikuwepo mwanzoni ikiwa inaitwa diploma in education for special program lakini kwasasa...
  2. plock

    Sanduku la pandora

    Sent using Jamii Forums mobile app
  3. plock

    Mwenye ufahamu wa tiba wa ugonjwa wa pua kuziba muda mrefu

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi ni muhanga wa hili tatizo kwa muda mrefu sana nimetumia dawa ya allerg kama cetirizine imeshindikana mwenye ufahamu ya namna ya kuweza kupona anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom