Chadema hii hii ambayo mzee wa Chattle aliapa kuwamaliza? Akawamaliza akina Saanane na kuwalemaza akina Lissu then karma ikafanya kazi yake????
Aliyeapa na kutumia maguvu keshaenda, we nani hadi useme haya?????
Dr. Slaa na Ndugai watoke ccm katika umri huu na walivyo wazee na wagonjwa? Watakufa mapema sana. Huyo Slaa mke tu anampelekesha ije iwe chama kisicho na watu imara? Acha kabisa. Waache wameze dawa za magonjwa yao tu
Una maana ukimiliki eneo 2012 halafu ukaacha kuwekeza siyo lako???
Hii nchi haina eneo huru mkuu. Ukiona kiwanja kiko wazi tambua kuwa kina mmiliki ila hajakiendeleza tu.
Hata mapori mikoani yana watu, sembuse Dar? Hayo ya rangi ni ubaguzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.