Search results

  1. C

    88 kwa Mbeya Hua Ni Kubwa Kuliko Eid na Krismas, Toka Zamani,

    Mbeya ni mwisho wa kazi kwa nchi nzima wanaongoza kwa vibe, maana leo najua miziki itakesha usiku kucha na wao hua ni wiki nzima kuanzia tarehe 1 hadi tarehe 10 ni sherehe kubwa sana
  2. C

    88 kwa Mbeya Hua Ni Kubwa Kuliko Eid na Krismas, Toka Zamani,

    Fact Toka nimeifahamu Mbeya miaka 25 sasa, sikukuu za 88 zina ushabiki mkubwa kuliko Eid zote, Krismas, na Pasaka yaani weka sikukuu zote unazojua hua haziifikii 88 kwa vibe. Na hii ni kwa Mbeya tu , 88 Mbeya kila mji hupikwa pilau, Nyama na Nyama choma, lodge zote hujaa, Watoto kwa watu...
  3. C

    Leo nimekutana na m-Niger. Napongeza na naunga mkono mapinduzi yalifanywa na Jeshi.

    Sio magharibi tu, unajua wanyama wanaowindwa kwenye vitalu vya mbuga zenu mnapata nini? Unafahamu sababu hata ya magu kusema bucha za nyama pori walau wananchi wawe wanauziwa mara moja kwa wiki ilitokana na manyati, swala, kwenda kuliwa mbali wakati wenye nchi hawajawahi hata kuonja nyamapori...
  4. C

    Tunauza maziwa ya Ng’ombe

    Derived ndio nini? Delivery au ungesema chanika unadeliver kwa bei gani?
  5. C

    Kuchafuana kwa walioachana si uungwana

    Hayaeleweki kuna jamaa yangu aliambiwa bora wameachana maaana ana meno madogo kama ya panya
  6. C

    Leo nimekutana na m-Niger. Napongeza na naunga mkono mapinduzi yalifanywa na Jeshi.

    Sasa ulivokua unapinga mapinduzi wakati nakuelewesha umuhimu wa mapinduzi ya kijeshi ulikua na maana gani?
  7. C

    Ileje ni moja ya Wilaya duni nchini ikiwa ni miaka 48 tangu kuundwa na ikiwa chini ya CCM

    Hapo ni masupu tu, bia mazoezi hakuna halafu kajiona kavaa kibishoo na yeye
  8. C

    Watu 24 wafariki katika ajali ya barabarani Morocco

    Minada minada haifai kabisa
  9. C

    Pale Oscar Oscar atakapogeuka shujaa

    Kama kawaida makolo sherehe ndogo mbwembwe kibao
  10. C

    Wana Yanga Wenzangu kwanini tunaumia Shughuli ya Simba kuwa MC's wengi? Sisi tulizuiwa kuwa nao wa Kuwazidi?

    Naripoti kutoka kawe ukwamani lakini jana nilikua butiama mimi ni tumbo risasi wa rtd
  11. C

    Rais Samia amteua Dkt. Ramadhan Dau kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)

    Kipindi Kile alikua anachotewa tu nsssf lazima afurahie sana
  12. C

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Naona mapambano ya bandari yamekomea hapo kwenye malalamiko yao
Back
Top Bottom