Search results

  1. Kamkuki

    Dark days 17/03/20...

    Jamaa kala pin.... Ila Nina Imani nae hawezi kutuangusha tumpe ka-muda maana siku haijaisha.....
  2. Kamkuki

    FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

    [emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huna jipya mtaniii...
  3. Kamkuki

    FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

    [emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787] kama ilivyo ada...
  4. Kamkuki

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787]
  5. Kamkuki

    Sherehe za Brazil kumsifu Shetani zina uhusiano gani na Majanga yaliyojitokeza?

    [emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. Kamkuki

    Kwanini kuna Members hapa JamiiForums hawana Titles za 'Dkt' kama Wengine na bado wana Mvuto, Ushawishi na Kukubalika?

    Just imagine namba ; 8. .Dr Mshana [emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787]
  7. Kamkuki

    Utajiri wa ushirikina una masharti magumu sana

    Mbona story yenyewe umeikata ghafla au mwenyewe kaja....😜😂 Malizia bac mpendwa...🤔🤔
  8. Kamkuki

    Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

    Wafanyakazi sijui vyama vyenu huwa vinawasaidia nini.....!!? Kama mazezeta vile.....!! Haviwezi kuwahamasisha hata; 1) Migomo 2) Maandamano 3) Basi vitetee maslahi yenu... Vyenyewe vipo kwa ajiri ya kuwakandamiza tu miaka inaenda vilio ni vile vile.... Ivi huwa mna matatizo gani...!!? Kama ni...
  9. Kamkuki

    Mbowe na Wapinzani wengine walikosea sana, Watanzania sio wakupiganiwa, ni kuwaacha kama walivyo

    Mi' bnafc nishaachana na mambo ya watu napambana kivyangu vyangu, maana sioni haja ya kuja kung'olewa kucha, kufungwa na hata kutekwa kwa ajiri ya mbumbumbu... Over...
  10. Kamkuki

    Mawaziri Kupanguliwa

    Waziri wa madini 🤔 kwanza hajawahi kutuambia lile jiwe letu liliopatikana huko ughaibuni likiwa ktk maonyesho na likaonekana kuwa na thamani kubwa lilifikaje huko na je taifa kama taifa tuli-gain kiasi gani....🙄 Roho baya + Uchawi + CCM = Umasikini.
  11. Kamkuki

    Mawaziri Kupanguliwa

    Waziri wa madini 🤔 kwanza hajawahi kutuambia lile jiwe letu liliopatikana huko ughaibuni likiwa ktk maonyesho na likaonekana kuwa na thamani kubwa lilifikaje huko na je taifa kama taifa tuli-gain kiasi gani....🙄🤔🤔
  12. Kamkuki

    Mawaziri Kupanguliwa

    Mama bado anatest mitambo.... Akija patia mtafurahi😂😂 Lkn si kwa team iliyomzunguka atatengua na kuteua sanaaa....
  13. Kamkuki

    Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

    Watanzania sisi ni wa hovyo sana hacha tulambe shubili labda akili itatukaa sawa 2025, ni waoga, wanafiki na wazandiki na badooo
  14. Kamkuki

    Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

    Watanzania sisi wenyewe ni tatizo, maana wanasiasa wanatuongelea sana ila sie tunawavunja nguvu.... Mfano ni mara ngapi tunaambiwa tuingie Barabarani kupinga Rushwa, kuteka na kupoteza watu, matumizi mabovu ya rasilimali ( keki ya taifa ) na gharama za maisha kupanda kihorela, wakifikia hapo...
  15. Kamkuki

    Kinana "Sekta binafsi sio Matajiri ni mtu aliyejiajiri" , Aitaka Serikali kuwaondolea Wananchi Kero tozo na Kodi Sumbufu

    Ni uhuni na utapeli wa kisiasa ndo unaomzungusha huku na kule..... Hamna lolote....😎
  16. Kamkuki

    Kinana "Sekta binafsi sio Matajiri ni mtu aliyejiajiri" , Aitaka Serikali kuwaondolea Wananchi Kero tozo na Kodi Sumbufu

    Kauli kama hizi ni za kutukejeri sie wananchi, maana serikali inayoongoza ni ya Chama chake iweje leo ajitoe ufahamu kiasi hicho kana kwamba katoka Somalia leo....🤔🤔
Back
Top Bottom