Search results

  1. G

    Kuweni makini na 'vishoka' NIDA Arusha

    Kwamba imefika pahala vitambulisho vya utaifa vinacheleweshwa mpaka inakuwa dili!
  2. G

    Gazeti la The Economist la nchini Uingereza, lamchafua Rais Magufuli

    Tusifungwe na ufinyu wa kufikiri binadamu hana sehemu nyingine ya kuishi akiwa hai zaidi ya hapa alipo na pia kuna mambo huwa yanafanywa na ss wenyewe yenye kuhatarisha uwepo wetu hii iko wazi. Je mi nami alikuambia kuwa wazungu waliwadanganya walibya.? Na je unamuongelea Gaddafi ambaye alikuwa...
  3. G

    Gazeti la The Economist la nchini Uingereza, lamchafua Rais Magufuli

    Kwanini fimbo ya vipofu wa kifikra huwa ni kuisingizia hoja dhambi ya kisiasa,hebu wataaluma mtupatie mark line inayotenganisha siasa na si siasa?
  4. G

    Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

    Mm binafsi namkubali sana Lisau c kwa sababu ya itikadi yake bali ni vile alivyojijengea heshima ya kuwa mbunge mwenye kuelewa jukumu lake . Hao wenye kuhitaji akili ndogo zaidi ya tumbo ni vema kuwaambia kuwa kama ripoti imelenga kuokoa taifa hili na c vinginevyo haitomkomoa mtu aliyetumia...
  5. G

    Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

    mimi siamini kama ni uelewa wako zaidi ya kwamba umehogwa uongo na propaganda IDEOLOGICAL INTOXICATED
  6. G

    Wizara yamjibu Zitto kuhusu ununuzi wa ndege

    Isingekuwa na maana uncle atafanya paper 2020 halafu nondo ije 2023
  7. G

    Waziri Mwakyembe: Msanii anayetaka kuzungumzia siasa, akagombee ubunge au udiwani

    Mimi nauona ufupi wa maono wa mh waziri akasikilize vizuri nyimbo za lucky dube, papa wemba, Bob Marley na mwisho arudi kwenye movie nyingi za kiharakati baadae amuulize yule mmarekani alieweka wazi my president is black. Baadae amuonye huruma Mrisho Mpoto ataimba nn?
  8. G

    RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

    Wenye kusimamima hoja na balance za kisiasa ndio watunga sheria na wasimamia katiba ndio wattage maamuzi na wapindisha sheria hatujakosea tuko tunapostahili
Back
Top Bottom