Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 41 ameuawa katika Kijiji cha Ndori kilichopo katika Jimbo la Homa Bay
John Nyambok, amefariki baada ya kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake. Polisi wasema wameanza uchunguzi wa tukio hilo
Baada ya kujeruhiwa John alikimbizwa katika Kituo cha...
Mfumo wa Ununuzi wa Mbolea kwa Pamoja (BPS), unaotumiwa kuagiza mbolea ya kupandia (DAP) na ya kukuzia (Urea) umerahisisha kupunguza bei ya mbolea kwa kati ya asilimia 6 – 17.
Mfumo huo ulianzishwa na Serikali mwaka 2017 kwa lengo la kupata punguzo la bei litokanalo na kununua na kusafirisha...
Rais Buhari wa Nigeria alisema kutakuwa na mkutano wa pamoja na majirani zake wa eneo la kaskazini Benin na Niger ili kuzungumzia hatua za kuchukuliwa kudhibiti biashara ya magendo kuvuka mipaka yao
Serikali ya Nigeria ilieleza Jumatano inafunga sehemu ya magharibi ya mpaka wake na Benin ili...
Kijana mmoja aitwae Pascal Mananga (22), amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya sekondari Chief Dodo katika Wilaya ya Babati mkoani Manyara.
Akitoa hukumu hiyo Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Manyara, Simon Kobero amesema...
Arusha. Hatimaye kaya 109 zimetakiwa kumlipa fidia jumla ya Sh519.3 milioni kikongwe Nasi Muruo(98) mkazi wa eneo la Sinoni, katika jiji la Arusha, baada ya kurejeshwa ardhi yake aliyokuwa anaidai kwa miaka 42 .
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametangaza leo...
Wanandoa hao wamekamatwa huko Naivasha kwa tuhuma za kuzuia kazi ya zoezi la kuhesabu idadi ya watu(Sensa)
Tukio hilo limetokea huko Gatamayu umbali wa Kilometa 30 kutoka Naivasha ambapo kwa pamoja na watoto wao walimfukuza Afisa wa Sensa
Walikataa kuhesabiwa wakisimamia Kitabu cha Mambo ya...
Dar es Salaam
The value of new investments dropped by 44.4 per cent last year, but the number of ventures funded by locals increased sharply, according to a new report.
The National Bureau of Statistics (NBS) says in its report on the national economy for 2018 that the value of new projects...
Uganda Airlines today morning had its first commercial flight from Entebbe to Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) with eight passengers on board.
The airline, which departed at Entebbe Airport at 6:05am touched down at JKIA at exactly 7:00am, five minutes ahead of the scheduled landing...
Jinja Resident District Commissioner Eric Sakwa Joseph has said several politicians and technocrats in the area are after his life over his attempt to stop them from grabbing government land.
Mr Sakwa made the revelation in Kampala yesterday while appearing before the Commission of Inquiry into...
RAIA wa Malawi, Paul John (30), amepandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam kwa kosa la kujiridhisha kingono.
Akisomewa hati ya mashtaka mbele ya Hakimu Esther Mwakalinga, Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Hellen, alidai Machi 25, mwaka huu eneo la Tegeta Nyuki...
Mwasisi wa uhuru na mwanzilishi wa Jamhuri ya Gambia, Dawda Jawara, amefariki dunia Agosti 27, 2019 akiwa na umri wa miaka 95.
=============================================================================================================
Rais wa kwanza wa Gambia na mwasisi wa uhuru wa nchi hiyo...
Mkazi wa Magomeni Mapipa Mariam Zuberi (21), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kwa tuhuma za kukutwa na noti 20 za bandia.
Akisomewa hati ya shtaka mbele ya Hakimu Lilian Silayo na mwendesha Mashtaka wa Serikali Ester Charles amedai mnamo Juni 27, 2019 eneo la...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema hana haraka ya kustaafu, na wala hana mpango wa kumwandaa mtu yeyote kurithi nafasi yake na badala yake anazingatia kuimarisha ukuaji wa Uganda na bara la Afrika kwa jumla.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema hana haraka ya kustaafu, na wala hana mpango...
Majaji wanajiandaakusikiliza kesi inayowahusisha watuhumiwa watatu wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda mwaka 1994
Watuhumiwa hao dhidi ya mauaji ya watu wa kabila la Watutsi wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani Jijini Brussels ndani ya mwaka wa Mahakama 2019/2020
Watakaofikishwa Mahakani kujibu...
Chama cha Maendeleo ya Wanaume kimelia kwamba wanaume waliopo kwenye ndoa wanaendelea kupokezwa kipigo na wake zao, akisema serikali inafaa kuingilia suala hilo ili wanaotekeleza dhuluma hizo wakabiliwe kisheria.
Mwenyekiti wa chama hicho Nderitu Njoka alisema utafiti walioufanya miaka miwili...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Harvard na raia wa Uganda amefungua kesi akiwashtaki, Rais Yoweri Musreveni, Msemaji wa Serikali, Ofwono Opondo na Mkuu wa Kitengo cha Siasa ndani ya Idara ya Polisi, Asan Kaingye kwa kumzuia kuzitembelea akaunti zao za Mtandao wa Twitter
Kijana huyo anayesoma...
JAKARTA ,INDONESIA: Maandamano nchini Indonesia yageuka kuwa ghasia baada ya mamia ya waandamanaji kukasirishwa na kitendo cha Polisi kuwanyanyasa Wanafunzi wenye asili ya Papua.
Waandamanaji hao wamezuia miundombinu ya kijamii pamoja na kufunga barabara polisi pamoja na vyombo vya habari...
Mwanamke huyo amekuwa mtu wa kwanza kuvunja rekodi hiyo barani Afrika.
Maliha alipika kwa muda wa saa 75 bila kusita na hivyobasi kuvunja rekodi ya dunia siku ya Jumapili katika hoteli ya kitalii ya Bay Beach mjini Mombasa.
Muda mrefu zaidi kuwahi kufikiwa ulikuwa muda wa saa 68 dakika 30 na...
Dar es Salaam. Wachezaji saba wa Yanga wamejiweka kwenye nafasi ngumu ya kupata namba katika kikosi cha timu hiyo kitakachocheza mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ugenini dhidi ya Township Rollers ya Botswana, wiki ijayo.
Kiwango kisichoridhisha na ufanisi mdogo wa wachezaji hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.