Tunapokuwa na viongozi imara kama taifa tunakuwa na uwezekano mkubwa wa kuendelea.
Moja ya kiashiria cha uongozi bora ni uwezo wa kutuunganisha tunapotofautiana.
Je, viongozi wetu wa kitaifa (hasa wanaoshikilia nyadhifa za juu kabisa) wana sifa hii adhimu na muhimu?
Tuwe na sherehe njema ya...
Ninajiuliza:
• Ni kwamba mama ameona hajafanya chochote ndani ya mwaka wake mmoja as compared na mwaka mmoja wa Magufuli; hivyo akaamua ku-divert attention ya watu kutoka kujadili upungufu wake hadi kumtetea na kumshambulia Magufuli?
• Ni wazi hakuna Waziri ambaye hapendwi tangu tupate uhuru...
Ulishawahi kuwa kwenye uhusiano na mtu ambaye mnapendana kwa dhati? Mmeweka mipango ya pamoja na mnapambana kuitimiza. Labda mmeshatambulishana hadi kwa jamii inayowazunguka - ndugu, jamaa na marafiki. Ukiangalia mipango na maisha yako ya baadaye yote imejawa na huyo mtu. Unamuamini kupita...
Siku za karibuni kumeibuka upotoshaji wa makusudi, tena uliopangiliwa vizuri wa kuwa Magufuli alidai amemaliza rushwa, wizi na ufisadi nchini.
Hebu tutendeni haki, Magufuli hakuwahi kumaliza rushwa, wizi na ufisadi. Ila katika uongozi wake wa serikali na chama tulishuhudia juhudi za dhati za...
• Legacy waliyopambana nayo kuifuta ndio kwanza inazidi kujidhihirisha. Hata mabeberu sasa wanaiga falsafa za Magufuli, angalia kwa mfano suala la Covid-19.
• Watanzania wengi wazalendo na wanyonge wanazidi kuumia na hivyo wanammisi kwa kasi.
• Kanisa Katoliki linaendelea kumuombea pumziko la...
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli.
Misa hii takatifu itafanyika Jumapili ya Machi 20 katika...
Katika hatua ambayo itawahuzunisha wengi wanaopinga Kanisa Katoliki, wasiolipenda na wanaoliombea mabaya; Mama Kanisa amekataa kutoa baraka kwa miunganiko ya jinsia moja (ushoga) kwa sababu ushoga ni dhambi na Mungu hawezi kubariki dhambi.
===
The Catholic Church does not have the power to...
Habari za wakati huu!
Katika maisha, kumekuwa na nyakati ambapo tunawaza na kuwa na wasiwasi juu ya uwepo wa Mungu. Uwepo wa matatizo mbalimbali kama matatizo ya kiuchumi, matatizo ya kiafya, matatizo ya kijamii, matatizo ya kisiasa, n.k. umechangia kwa kiasi kikubwa hali hii.
Ukweli mchungu...
Kibwagizo cha mwezi
Nasikitika sana, tena sana, kwa msiba mkubwa uliotokea Moshi, Kilimanjaro, kwa Wakristo waliokuwa wakigombea kukanyaga “mafuta ya upako”. Roho za marehemu ndugu zetu zipumzike kwa amani. Amina.
Lakini pamoja na simanzi hii kubwa, ni fursa ya kukumbushana tena jambo. Mungu...
Kutokana na kinachoendelea katika nchi yetu tuipendayo, ninajaribu kuwaza historia itamkumbukaje Mheshimiwa Rais Magufuli, je, itamkumbuka kama;
• Mwoga aliyetumia ipasavyo madaraka ya kikatiba aliyonayo katika kuudhibiti upinzani kushiriki ipasavyo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na...
Habari zenu wakuu,
Ni matumaini yangu mpo fresh kabisa, mnaendelea na majukumu ya Ujenzi wa Taifa letu Tanzania na Taifa la Mungu, kwa wale wenye imani hiyo.
Kuna tabia ya wanandoa na wasio wanandoa kutoa mimba wakidhani kuwa ni kitendo cha kawaida kabisa. Simi hizi jambo hili limechangiwa kwa...
Serikali ya Marekani imeilaumu ile ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (Korea Kaskazini) kwa kushindwa kufikia mwafaka wa kuondoa Uzalishaji wa Makombora ya Kinyuklia katika Rasi ya Korea (Denuclearization of the Korean Peninsula).
Akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya...
Nadhani mada inaeleweka. Mazungumzo yanaendelea kwa wiki kadhaa sasa, tangu yaanze. Nadhani ni busara kuweka mipango juu ya vitu vitarajiavyo.
Ni matumaini ya Watanzania wengi (kama tulivyoaminishwa na viongozi wetu wakuu) kupewa Noah mara baada ya haya Mazungumzo, maana kwa nondo (data)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.