Search results

  1. samanya

    Mulongo magesa hajahamishwa Arusha

    Kumekuwa na uzushi wa muda mrefu sasa kama week mbili kwenye mitandao na vijiwen hapa Arusha kuwa mkuu wetu wa mkoa anahanishwa Magesa alipokuja Arusha halmashaur karibia zote zilikuwa zimeoza mfano Arusha manispaa ilukuwa imejaa wezi akawasambaratisha Monduli pesa zaidi ya milioni mia tatu...
  2. samanya

    Ushuhuda: Madhara mbalimbali ya Vidonge vya Uzazi Wa Mpango

    Mke wangu anatumia calendar lkn ikiwa siku za hatari inambidi atumie vidonge vya morning after pills. Je vina madhara pia?
  3. samanya

    Nimeishia wapi?.....umemshikia chini,basi nikam......

    Nimecheka bila kutegemea!
  4. samanya

    price of the dress

    Lady: what is the price of this dress? Salesman: 5 kisses Lady: what is the price of that dress? Salesman: 10 kisses Lady: OK pack both of them & bill will be paid by my Grandmother
  5. samanya

    Honeymoon

    Habari zenu. Hivi usiku wa siku ya kwanza ya fungate wanaharusi wanaweza kufanya tendo la ndoa kutokana na jinsi wanavyokuwa wamechoka kutokana na pilika pilika za harusi?
  6. samanya

    Tatizo lugha au!!

    Sio dhambi lakini wenzetu wa A.Mashariki wengi hawajui Kiswahili.:A S-omg::caked:
  7. samanya

    Nani anakosa uhondo?

    Vyote ni vitamu ndo maana vinalinganishwa na shekhe anapata kimoja na kukosa kingine halikadhalika kwa padri.
  8. samanya

    Tukubali!Kuna watu wameumbwa na kuumbika...!!!

    Da!!!anapatikana mitaa ipi Huyu kiumbe?
  9. samanya

    Yaani mwanangu umenilaza chooni!

    :laugh::laugh::laugh::laugh:
  10. samanya

    ndoa bila sex

    Wazazi wanapotengena watoto huwa wanateseka sana, ni bora wazazi watafute suluhisho la tatizo lao kwa kukaa chini na kuongea. Kama wazazi walipendana mpaka wakaamua kuishi pamoja na kuzaa watoto, kwann washindwe kukaa na kulitatua tatzo lao?
  11. samanya

    Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

    Asante kwa ushauri lakini nimejaribu kumuomba msamaha lakini ananiambia kuwa nimemfanyia hilo kosa makusudi ili nimuombe msamaha coz najua tu kuwa atanisamehe.
  12. samanya

    Nani anakosa uhondo?

    Padri na shekhe walikutana kwenye ndege, Padri akamkaribisha shekhe kitimoto,shekhe akasema si hatulagi, padri akasema mnakosa uhondo. Wakati wa kushuka shekhe akamwambia padri msalimie mke wako,padri akajibu sisi hatuoi, shekhe akasema mnakosa uhondo. Je kati ya shekhe na padri nani anakosa...
  13. samanya

    Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

    Habari wanaJf, Hivi utafanyaje au utatumia njia gani ili kumuomba msamaha mwenza wako?:sorry: Naomba mnisaidie.!
  14. samanya

    Virginity test

    :lol:Hah ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa!?
  15. samanya

    hii imekaaje!!

    Mmmmmmmh, naona alibana budget kwenye nguo ya kuvaa kwa stage that's y akavaa top peke yake. Lakn ameumbuka coz ki2mbua kiko wazi na kimepigwa na vumbi na labda kimeshaingia mchanga.
  16. samanya

    Mama mkwe na mwali wake

    Sorry,sijawah kuiona.
  17. samanya

    Kwann wanaume wengi huwa hivi?

    Why wouldn't I understand it? Please tell me n I will understand.:crutch:
  18. samanya

    Harambee.

    Nani ana dhambi?
  19. samanya

    Mama mkwe na mwali wake

    Mama mkwe: Binti samahani lakini,kusema kweli Huyu mtoto hafanani na kijana wangu kabisa. Binti:Mama bila samahani, huku chini nina njia ya uzazi na sio mashine ya photocopy. :gossip:
  20. samanya

    Harambee.

    Askofu aliendesha harambee kuchangia ujenzi wa kanisa. Wakristo wakatoa Tshs 750,500 tu. Ghafla majambazi wakateka kanisa na kuamrisha kila mtu atoe alichonacho! Wakakusanya Tshs8,945,800 na kumkabidhi askofu ili aendeleze ujenzi. Je majambazi wana dhambi au wakristo wanathawabu? Toa maoni yako.
Back
Top Bottom