Oya wanangu wa Arsenal leo nimefurahi sana kuwafunga wale Genge la Cheltano 💪
Huyu alikuwa tumpige kama 8 hivi ili wamfukuze Pochetino kabla hakujakucha .
Chelsea kweli wale jamaa ni Vichaa 🚮
Eti wanapeana moyo leo Watashinda watutoe kwenye nafasi ya 7.
Naona kwanza wangemalizana na Arsenal kwanza kabla ya kumuwaza Man United sisi ni Level nyingine 💪
Oya wanangu wa Arsenal leo tutoe wasiwasi leo Chelsea tunamla vizuri tu wala hatotusumbua ili tumshushe Man City nafasi ya 2 huko akagombanie FA na Manure.
Oya wanangu wa Darajani leo tutoe wasiwasi leo Arsenal tunamla vizuri tu wala hatotusumbua ili tumshushe Manure nafasi ya 8 huko hata Conference League asishiriki.
Yani unazungumzia mbio za kubeba Ubingwa wakati hata kuingia kwenye mbio zenyewe umeshindwa?
Tukukumbushe Manure alikosaje Ubingwa kwa goli la Aguero?
Au ulikuwa bado upo shule ya msingi unamwagilia bustani?
Vile Arsenal fanboys wakipiga mahesabu kuwa Liverpool atafungwa na Spurs, halafu atatoa sare na Everton, then sisi Arsenal tunashinda mechi zetu zote zilizobakia, kwanza tutapiga Chelsea 3 kavu, Spurs tutapiga 2 halafu tutamaliza na Manchester tunapiga 4.
Hapo ni kabla ya kupata Supp kutoka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.