Search results

  1. A

    Mbunge wa CHADEMA Hainess Kiwia katusaliti wananchi wake kwa Fedha

    Kwanini watu wanadanganyika mchana kweupe? Thomas Kashilila ni katibu wa bunge la JMT. Hana mamlaka yoyote kikatib wala kisheria katika kugawanya hata mita moja ya ardhi. Mbunge hana mamlaka hayo pia. Hiyo ni propaganda tena imepikwa kijinga msipoteze muda.
  2. A

    Madaktari kushitakiwa na wanaharakati

    Hizo Propoaganda za kijinga. Wanaharakati gani? Mbona hawajataja mashirika? Hawa lazima wametumwa na Serikali manake wanaharakati makini tunaowajua 1. Wanajua tatizo ni serikali na kama wangefungua kesi wangefungua dhidi ya serikali 2. Wangekuwa na msimamo kama huu, JK angewasifia kweli kweli...
  3. A

    Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

    Kwa akili za kawaida tu sh millioni 200 haziwezi kufanya kazi zote hizo kununua nyumba dubai, kuikarabati, kukarabati Bilicanas, Kumjengea Nyumba Slaa Kunduchi... Nyumba Nzuri Sinza tu hata million 200 hupati. Siku nyingine ukitaka kuwadanganya watu wazima angalau ongelea kitu...
  4. A

    Kwanini mnyika?

    @zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe @MariaSTsehai mkewe dokta na mwanawe ni wagonjwa na alishindwa kuwaacha Arusha peke yao. Nami sipo Tanzania. Mnyika alikaimu Ukatibu Mkuu 29 Nov via Twitter for iPad Favorite Retweet Reply
  5. A

    Hii Ndio Rasimu ya kwanza ya MKUKUTA nini Maoni yako?

    Ndugu Zangu, Serikali imetoa rasimu ya MKUKUTA kwaajili ya kupata maoni ya wadau. Tumia link ifuatayo uweze kupata nakala yako kama ungependa kuchangia mawazo (http://www.policyforum-tz.org/files/MKUKUTAIIzeroDraft.pdf) Policy forum wanafanya mchakato wa kukusanya maoni haya kwahiyo kwa...
  6. A

    draft ya MKUKUTA hiyo hapo

    Mkuu, Kuna reports mbali mbali zimetolewa za kuangalia mafanikio. Zipo katika makundi mawili. 1. Ripoti za kawaida na hasa PHDR 2009 ambayo imetoa ufafanuzi wa mafanikio, mapungufu na changamoto za utekelezaji wa MKUKUTA I. 2. Ripoti mahususi za utafiti: Zimefanyika tafiti nyingi...
  7. A

    draft ya MKUKUTA hiyo hapo

    Wadau, Serikali ipo katika mchakato wa kuandika MKUKUTA na karibuni rasimu itatotlewa kwajili ya kupokea maoni ya wadau. Nimeambatanisha rasimu ya kwanza inayoonyesha maeneo ya kipaumbele kwenye MKUKUTA 2010 - 2015. Nini maoni yako? Nitaendela kuwapa taarifa zaidi kadri zinapotoka...
  8. A

    The Economist la Wiki hii - Zanzibar

    Napongeza kuweza kufikia hapa kunamwelekeo wa suluhu, lakini taarifa kuwa sketchy kama zilivyo najiuliza what are the common interests of the two?? what is that offer that was not refutable after long bitter rivalry? call me a pesimist lakini mghhhh!!!???
  9. A

    What's up UNDP - Tanzania?

    Hi guys, I have been using the UNDP Tanzania website today and its working fine. it may be a challenge with your connection check again mkuu
  10. A

    Madagascar president steps down

    Well, inabidi Afrika tufike mahali tukubali gharama za demokrasia. kutoana kwa ubabe au kuzuiana kuingia madarakani kwa ubabe vyote ni counter productive. Tanzania tuwe makini kwani watanzania wansoma hizi mbinu. natumaini tutaendelea kutumia ballot boxes kubadilisha viongozi wetu.
Back
Top Bottom