Wadau, naona tangu group ya whatsApp ianzishwe Watu mmepunguza kucomment kwenye huu Uzi humu jamii forum.
Jamii forum ndiyo mahali pazuri ambapo viongozi na mamlaka husika wanaweza kuona na kushughulikia maoni yetu kuliko kwenye group la Whatsapp.
Naomba turudi huku kwenye huu Uzi...naona...
Serikali hata isijisumbue kuweka pesa nyingi kwenye ujenzi wa airport za mikoa ambayo haipokei wasafiri wengi Kwa mwaka na badala yake airport za mikoa mikubwa kwanza....mwanza airport inaitaji modernization ya Hali ya juu sana. Ipanuliwe, jengo la abilia, runway ziongezwe hata control tower...
Yaani mtu anakutuma kwenda kumuua mtu asiye na hatia na ww unaenda!!!!!
Hata kama mtu ni boss wako ndio akupe tu maagizo ya kipumbavu na ww unatii hata bila kufikiria mara mbili?!!!
Vilaza
Mtoa mada umeongea jambo la muhimu sana...na watu wenye wivu naona wakicoment upuuzi.
Mji wa mwanza ni mji mzuri sana kwa kila nyanja:, ongezeko la watu, hali nzuri ya hewa,kasi ya ukuaji, uzuri wa ziwa Victoria na faida zake, ukaribu na nchi za Afrika mashariki, unafuu wa gharama za maisha...
Ninawafaham mafundi wa mitaani waliochora na kujenga nyumba vizuri zaidi kuliko hao mainjinia wenu. Elimu ya kwenye daftari na ya field ni vitu viwili tofauti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.