Search results

  1. JAPHET MAKUNGU

    Mwanasiasa gani Tanzania mwenye mvuto namna hii?

    Hivi wapi hapo kweli? Hembu utingo nsaidie!
  2. JAPHET MAKUNGU

    Siyo mikoani, ni mikoa mingine

    Watu wengi hurejea mikoa mingine ya Tanzania kama "mikoani", mathalani, mabasi yaendayo mikoani. Nadhani hii siyo lugha sahihi kwa sababu ina maanisha Dar es salaam ni Taifani. Unaposema mikoani kwani Dar es salaam siyo mkoa? Sema mikoa mingine inaleta maana nzuri zaidi.
  3. JAPHET MAKUNGU

    Chadema ndani ya mji mdogo wa Katoro/Buseresere

    Gooooooooooood, goooooooooood sana, thats my homeland. Najua kuwa mji huo hauna urafiki na jembe na nyndo. Peopleeeeeeeeeeeeez P 4rever.
  4. JAPHET MAKUNGU

    Mtenda akitendwa huhisi kaonewa

    Basi bwana, katika soma soma yangu threads katika jumba hili nikajawa na uchungu sana kuona baadhi ya makada wa Mapinduzi wakilalama CDM wanapandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya Siri kali yao. Nikakumbuka back in the days nlivokuwa mwanachama (lakini siyo kada) nikiwa jimboni kwangu, mara...
  5. JAPHET MAKUNGU

    C.C.M tukiri udhaifu!!

    Goooooooooood!!!!!!!! Lakini huwezi kujiita msafi wakati umekaa jalalani, nenda sehemu safi ili udumishe usafi wako. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees ...............................................................!!!!!!!!!!!!!!!!!
  6. JAPHET MAKUNGU

    New Member

    welcome
  7. JAPHET MAKUNGU

    Maandamano ya CHADEMA Karagwe

    THE "NO MERCY STRUGGLES" no retreat, forward ever backward never.
  8. JAPHET MAKUNGU

    Waziri Sophia Simba aumbuka Channel 10!

    Nilisema wakati nachangia tread moja humu ndani najinukuu "nchi hii bado haijapata uhuru inahitaji kukombolewa" not yet uhuru.
  9. JAPHET MAKUNGU

    Minister of Energy & Mineral Resources, William Mganga Ngeleja SLEEPING in 2011 EITI Meeting

    Jamani this is disgusting, Ndugu wananchi hata mikataba mibovu inaingiwa kwa namna hii, wakati wenzetu wanakesha wakitafuta njia mbali mbali za kunegotiate mikataba, Viongozi wetu wanakunywa P...(waziri ya ujenzi), Wakati wa negotiation katika roung table Viongozi wetu wanakoroma (a lot of...
  10. JAPHET MAKUNGU

    Kitabu: Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968)

    History has nothing to do with our present, but it helps in the future! -Malcom X.
  11. JAPHET MAKUNGU

    JK apaa kwenda Paris leo...

    Akitaka asirudi kabisa maana nchi ni chungu!
  12. JAPHET MAKUNGU

    Vuguvugu la mapindizi lanukia Tanzania

    Shehe msanii, anatabiri baada ya kuona vuguvugu? Hata asingetabiri, wakati umefika lazima yatatokea tu. SOLIDARITY FORVER & ALUTA CONTINUA wapenda nchi.
  13. JAPHET MAKUNGU

    Experience requirements katika nafasi za kazi zinaudhi

    Owkey Sweetdada I've been doing the same katika maisha yangu ya miaka minne ya chuo,Nime volunteer, nimefanya internship but unaambiwa at least 5 years experience and expertise! are they serious?illogical!
  14. JAPHET MAKUNGU

    CHADEMA na maandamano

    What would life be if we had no courage to attempt anything?- Vincent van Gogh
  15. JAPHET MAKUNGU

    Experience requirements katika nafasi za kazi zinaudhi

    Jamani wana JF, kuna waajiri wengine wanaudhi sana pale wanapotaka kuajiri mtu mwenye experience. Kuna watu ndo tumetoka chuo tunahitaji kazi ili tupate uzoefu wao wanasema experience....... experience? a lot of bullshit!Hivi nani alizaliwa na experience?wapi hao wenye experience...
  16. JAPHET MAKUNGU

    Hivi the mechanisms za kumlinda mtoto dhidi ya ajira hatarishi zinakidhi haja?

    Wana JF nisaidieni, hivi enforcement mechanisms za kulinda haki ya mtoto dhidi ya ajira hatarishi kama zilivo katika Sheria ya Mtoto ya 2009 zinakidhi haja? Je do they embrance each and everything? Do they curb all loop-holes availabe to employers? Tujadili pamoja wapendwa.
  17. JAPHET MAKUNGU

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Sifa za serikari za kidikteta ni pamoja na matumizi ya nguvu kupita kiasi kama ghadafi anachofanya. You cant open fire to civilians who made you their leader, and if so then you are not a leader but an enterpreneur. Utaongoza nini kama raia wote watakufa? Unreasonable use of force.
  18. JAPHET MAKUNGU

    Jipatie Nakala yako: Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania by Nyerere

    Unaweza pia kukinunua online katika Our leadership and the destiny of Tanzania (Open Library)
  19. JAPHET MAKUNGU

    Madikteta wote duniani hufanana

    na lazima waanguke kwa nguvu ya umma!
  20. JAPHET MAKUNGU

    Kwa wasiomjua Magufuli, Je, anafaa kuwa Rais?

    Hahahaaaaaaaa! Hivi kwani Taifa halijengwi na maeneo madogo madogo kama Biharamuro na mengineyo? Hivi kama hakuna hizi COMPONENT ndogo ndogo zinazoungana kutengeneza eneo kubwa likaitwa inter alia Taifa?Huyu Magufuli ndiye aliyewatishia wananchi wa kata ya Mganza kwamba wasipomchagua Diwani wa...
Back
Top Bottom