Search results

  1. Mtu mzito

    Haya sasa!!!

  2. Mtu mzito

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Nipo hapa kujibu kila swali na kuondoa utata. Mimi ni mganga wa tiba zote za jadi na lengo ni kupeana ufahamu tu. Na ukiwa na tatizo lolote linalo husiana na mambo haya ya uganga wa jadi nitakutatulia. ====== Hii imefungwa baada ya watu kumlalamikia mleta Thread...
  3. Mtu mzito

    Mrejesho: Nimekuwa mtumwa wa wanawake

    Salaam ndugu zangu Wiki iliyopita nimeleta tatizo langu hapa linalohusiana na mimi kujikuta ni mhanga wa kufanya tendo la ndoa na wasichana wengi, na pia nilikuwa nashindwa kujizuia kuacha kufanya ngono yaani kama navutwa. Wapo walionishauri kwa hekima kubwa na wapo walionidhihaki ila bado...
  4. Mtu mzito

    Nimekuwa mtumwa wa wanawake

    Salaam ndugu zangu, Nimeficha ficha haya mambo ila najiona kabisa naangamia hivyo ni bora leo niombe ushauri maana hapa pana watu wazima, wanasaikolojia na viongozi wa dini. Mkasa wangu ni wa hakika na bado nipo katika mateso hata sasa. Wakati nipo balehe nilikutana na wasichana mbali mbali...
  5. Mtu mzito

    Kwanini mnawaamini wanasiasa?

    Habari ndugu Kuna watu wanaamini wanasiasa kiasi cha kutukanana na wale walio upande wa pili, wasomi wetu na ma profesa wamekuwa ni bure kabisa! Hawasimamii elimu yao zaidi ya kufuata mkumbo wa wanasiasa. Vijana wetu ndio huwaelezi kitu kabisa, yaani mtu atapambana maneno hata kama chama lake...
Back
Top Bottom