Search results

  1. Kijana Jr

    Hatua muhimu kwenye kuweka wiring (umeme)

    Habari wakuu Mpangilio sahihi wa mawasiliano ya umeme ni hatua muhimu zaidi katika nyumba yako. Ni kwamba haiwezekani kuanza ufungaji wa wiring bila mpangilio na hatua sahihi, Hatua na mpangilio sahihi wa wiring sio tu kwa majengo mapya hata ambayo sio mpya. kusudi kuu la wiring...
  2. Kijana Jr

    Wiring kwa usalama wa nyumba yako

    Nafanya wiring kwa gharama za bei nafuu sawa na Bure (150,000)kwa ramani ya nyumba hii kwa ubora na usalama wa nyumba yako pia nakupitishia form ya maombi tanesco bila wewe kwenda ofisini kwaoWaweza nitumia ramani ya nyumba nikakufanyia tasmini ya gharama za wiring Napatikana dar es salaam...
  3. Kijana Jr

    Mimi ni fundi umeme natafuta kazi

    Habari zenu wakuu mimi ni fundi umeme natafuta kazi, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta yeyote Tanzania bara au kisiwa popote pale nipo teyari Contact 0712046672
  4. Kijana Jr

    Vitu viwili vitakavyo kusaidia kutimiza malengo malengo yako

    habari ndugu zangu chukua dakika chache kumshukuru Mungu kwa wema na Fadhila zake juu yetu.katika maisha ya mwanadamu kuna vipindi fulani ambavyo kama wanadamu tunapitia, kuna vipindi vingine vinakuwa vigumu sana kiasi ambacho tunatamani hata kujiondoa hapa duniania hii haimaanishi kuwa Mungu...
  5. Kijana Jr

    Fundi umeme natafuta kazi

    Kwa mara nyingine tena kijana wenu nakuja kwenye jukwaa hili kuomba nafasi yoyote ya kazi ambayo itakuwa halali. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 27, Elimu yangu nina certificate of electrical and automation umeme wa majumbani Na viwandani. Nimekuja hapa kwa mara nyingine kuomba kwa yoyote...
  6. Kijana Jr

    Msaada naombeni kazi au connection nipate kazi

    Habari zenu wakuu, Najua hapa ndani hapawezi kukosa wamiliki, maengineer wa makampuni,viwanda, na mashirika mbali mbali mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 26 naishi Dar es Salaam. Naombeni kazi ya ufundi umeme Elimu nina level three ya electrical.
  7. Kijana Jr

    Nahitaji kununua Fluke 15b+ mtandaoni

    Habari za humu, Naaaam kijana kama kijana yani Mimi kama Mimi nahitaji kununua bidhaa hii Kwa njia ya mtandao je kipi chakuzingatia
  8. Kijana Jr

    Msaada tafadhari kuhusu kutotumiwa namba ya usajili

    Habari wakuu msaada una hitajika. Tafadharini Kwa mwandiko mbaya. Niliomba kazi Kwa kutumia njia ya mtandao utumishi Secretariate ya Ajira nikabahatika kuona jina langu nimeitwa kwenye interview Ila katika akanti yangu sijatumiwa namba ya interview. Tatizo nini? Je, naweza pata namba...
  9. Kijana Jr

    Mwenye uwezo naomba msaada wa kupata kifaa cha usikivu

    Habari wakuu. Kichwa cha habari cha husika sana Wakuu mwenye hearing aids (Mashine ya usikivu) naombeni mnisaidie. Nimeshindwa kununua kutokana Na gharama wakuu mwenye kunisaidie tafadhari naomba msaada wenu mimi nipo Dar es salaam. Kwa mawasiliano tuma ujumbe mfupi/message tu 0629683767
  10. Kijana Jr

    Nina Elimu ya Umeme ngazi ya Cheti: Natafuta kibarua ili niweze kumudu gharama za maisha

    Ndugu yangu, nakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara Habari natumaini wazima. Wakuu Hali ya maisha ni ngumu mno hali bado tete kila siku bora jana kuliko leo huku janga la #COVID19 kupata mlo mmoja bado ni tabu sana Kupata kibarua/kazi halali bado ni shida sana...
  11. Kijana Jr

    Barua yangu kwako Mayala B

    Nimefarijika sana my friend MAYALA you know Jiwe Jr what is Deaf Milionaire Muweke Kiduku pembeni mm ni tajiri wa amani na weza lala mlango wa geto, dirisha zipo wazi. Bado kuna tumaini hata giza liwe tororo kiasi gani! Tuna pita nyakati ngumu mno za maisha . upaswi kukata tamaa wiki ijayo muda...
  12. Kijana Jr

    Barua yangu ya wazi kwako Braza Mpauko huko ulipo

    Binadamu tuna hukumu kwa hisia all the herodeaf go to heaven My Braza mpauko kwanini ukisubiri kuonana na mimi why ?!upo wapi !!Braza nahisi mm ndio mwenye hatia naimani kwa asilimia 100 maisha yako hayana tofauti na mimi , matatizo yako ni kama mimi Jiwe Jr katika member ambao nilikuwa...
  13. Kijana Jr

    Je, kisheria ni kipi cha kufanya kuhusu usajili wa laini kwa kitambulisho cha NIDA?

    Habari, Natumaini ni wazima naomba nisiwachoshe sana kichwa cha habari hapo juu chahusika. Sana nimegundua kuwa namba yangu ya (NIN) kitambulisho cha taifa imesajili namba ambazo sio zangu . kisheria ni kipi cha kufanya kwa wakala huyu. Pamoja na mtumiaji wa namba ambayo sio yangu Ukienda...
  14. Kijana Jr

    Natafuta kazi yoyote ya halali nina elimu ya Astashahada ya Electrical and Automation

    Habari za humu ndani wote ni wazima, Kwa mara nyingine tena kijana wenu nakuja kwenye jukwaa hili kuomba nafasi yoyote ya kazi ambayo itakuwa halali. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 27, Elimu yangu nina certificate of electrical and automation. Nimekuja hapa kwa mara nyingine kuomba kwa...
  15. Kijana Jr

    Aston Villa ya Samatta yapanda

    Aston Villa ya Samatta yapanda nafasi ya 16 katika Ligi Kuu ya Uingereza na kujiweka sehemu salama kwa kuichapa Watford bao 2 kwa 1. Mpaka sasa Aston Villa imecheza michezo 24 ya ligi na kupata point 25, imepitwa point 5 tu na Arsenal ambao wanashika nafasi ya 10 kwa kupata point 30 kwa michezo...
  16. Kijana Jr

    Msaada nimefukuzwa kazi nani wakunitetea

    Natamani niende ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam au Rais wa wanyonge Life is not fair accept it,be happy,smile nimefukuzwa kazi sababu tu ni disability (deaf hatua ya tatu ) tena kwenye ofisi ya serikali( serikali hii ya wanyonge) na kikubwa zaidi kazi nilikua nafanya kwa asilimia mia...
  17. Kijana Jr

    Nafunga taa za urembo led downlight bei nafuu

    Pendezesha nyumna yako kwa taa za urembo Chaguo bora la taa na rafiki kwa mazingira Taa za dari za LED downlight ni mustakabali wa taa za nyumbani. Ni salama, bora nauokoa bili la umeme kwa mahitaji ya kufungiwa taa za LED downlight wasiliana na Mimi pia nafunga vifaa vyote vya umeme...
  18. Kijana Jr

    natafuta kazi ya kujitolea ya ufundi umeme

    Habari zenu wakuu, Najua hapa ndani hapawezi kukosa wamiliki ,maengineer wa makampuni,viwanda, na mashirika mbali mbali mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 26 naishi dar es salaam Naombeni kazi ya kujitolea tu bila malipo yoyote nitafanya kazi bure, sihitaji posho ya aina yeyote kama usafiri...
  19. Kijana Jr

    natafuta kazi ya ufundi umeme

    Umri wangu ni miaka 26 Nina level three ya electrical and automation natafuta kazi ya ufundi umeme wa majumbani au maofisini,,viwandani nk niko Dar es salaam ilala
  20. Kijana Jr

    Nauza play station 2

    Kwa anaehitaji praystation 2 inauzwa ni used ila ipo katika hali nzuri aina matatizo yoyote imeshachipiwa
Back
Top Bottom