Search results

  1. mike2k

    BAVICHA na huyo askofu Mwanamapinduzi mna Uhakika Ujenzi wa Bwawa la Nyerere limetumia Upembuzi Yakinifu wa 1972? Ni kweli Maji yamefunguliwa?

    HEBU TUAMBIE TOFAUTI YA EiiA na Feasibility study? Madhara ya kutumia feasibility study ya 1970
  2. mike2k

    Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

    Sawa mkuu nitafanya hivyo kwa maana hii ni kero kwa kweli. Nikiona hali ni mbaya nitabidi nimwombe mama samia anisaidie
  3. mike2k

    Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

    Sawa mkuu nitaacha😂😂😂🙏
  4. mike2k

    Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

    Hiyo salam ni kejeli tu kwa maana kila kiongozi anaitumia ni kero yaani.
  5. mike2k

    Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

    Ni kero kwa sababu muda mwinginr unakuwa umelala wanakuamsha yaani
  6. mike2k

    Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

    Wazee hawa wanazingua mwanzoni walikuwa wanakuja asubuhi ila sasa sasa hv hadi mchana ni kugonga tu
  7. mike2k

    Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

    Nadhani wanaona ulr ulimwengu mwingine wa kioo kuwa ni halisi.
  8. mike2k

    Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

    Haaahaaa hao maCCM ndo wana hayo masifu kwa mama ya kishamba. Kila. Kitu wanaanza na hiyo salamu
  9. mike2k

    Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

    Habari za muda huu! Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km...
  10. mike2k

    Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

    Mkuu hbeu nisaidie hapa Valuer iko kwneye kundi ghani?
  11. mike2k

    Mkuu wa Shule na Mzazi wa Mwanafunzi walinitengenezea zengwe hadi nikafukuzwa kazi

    Mwanamke ni mnyama .. Usikae naye karibu. Muumize na u move on.
  12. mike2k

    Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

    Sahihi. Saiv hata kinachopostiwa mtandaoni na radio page hatukiamini
  13. mike2k

    Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

    Kwani radio na TV HAZIPO MTANDAONI? KIA RADIO SAIV IKO LIVE YOUTUBE NA FACEBOOK
  14. mike2k

    Sidhani kama kuna series kali kushinda Game of Thrones?

    ANGALIA HIZI SERIES KWA MTIRIRIKO HUU BETTER CALL SAUL BREAKING BAD EL CAMINO UTAKUWA MLEVI WA TV SHOW
  15. mike2k

    Aliyebuni tutembee kwa miguu miwili alikusudia nini?

    Hakuna jibu moja la uhakika kwa swali hili, kwani nia ya Mungu au nguvu yoyote ya juu kuumba binadamu wenye uwezo wa kutembea kwa miguu miwili ni suala la imani ya kibinafsi. Hata hivyo, kuna nadharia kadhaa zinazojaribu kuelezea sababu ya mabadiliko haya ya kipekee katika mageuzi ya binadamu...
  16. mike2k

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Na kwann akose supu? Wakati hata maji anaweza kutumia yakiyochemshwa
  17. mike2k

    Muvi na series zilizoandikwa vizuri

    Niliacha kuangalia viking baada ya kifo cha ragnar
Back
Top Bottom