Mkuu wachimbakisima nimeona umeweja ghalama ya groundwater survey 350,000 ....swali langu je survey hiyo itatoa mkadilio wa umbali wa Maji kupatikana?
Swali lingine .... Mnahuduma ya endapo mteja kupata Maji ya chumvi akaitaji Maji baridi mnamsaidiaje ili apate anachokiitaji?
Wasalamu wana wa jf!
Naomba kuwajukisha wale wrote wanaoitaji nyumba ya kupanga au wake madalali wanao pangisha nyumba....kwamba napangisha nyumba (upande) iliyopo eneo la mbezi africana mitaa ya forest au mita taklibanj 300 kutoka maeneo ya shule ya msingi salala.
Nyumba ina vyumba viwili vya...
Salam!
Nimepitia maelezo yako na ntajiatahidi kukujibu kwa lifup Kama ifuatavyo;-
Kifupi unapoenda kusajili kampuni kina kiwa na Memorandum, ambayo ndani yake kunakuwa umeeleza Objects za kampuni...Kama ni kuuza mbao utataja,Kama ni mashule,Kama kuuza magar n.k utakuwa umeeleza...
Usimwogopeshe bhana!
Iko hivi;
Kuna uwakala mkubwa na uwakala mdogo.
Kama unataka kuwa wakala mkubwa unatakuwa ume na kampuni yenye usajili wa kisheria(hii inafahamika, Brela, TIN, Leseni kutoka manispaa)
Unatakiwa uwe na magari nakubwa ya kubebea. Pia uwe na vituo vya kusambazia si chini ya...
Ndugu!
Kwa maoni yangu mpaka sasa umesha feli maisha.ya ndoa.wenye akili timamu watakuwa wamenielewa.
Nachelewa kusema una hasilimia kubwa ya kuharibikiwa na maisha mengine pia maana mwanaume ukifeli kwenye maisha ya ndoa pia hiku kwingine bila muujiza ni shida.
Mgogoro ulishatatuliwa na aliyekuwa mgombea wa chadema alisha kula kiapo mahakamani kuhusu kujitoa ila cha kushangaza jina lake limetokea kwenye karatas ya kipigia kura.
kwa hili ukawa wanapaswa kufatilia NEC iliondowe maana utaratibu ulifatwa lakin haujatekelezwa
swali tu
hayo wanayoyataka ni ibala ya ngapi katika katiba?
jaman muanze kunitafutia kibaru maana nimechoka kikaa kimya najua ntafukuzwa kibarua si siki nyingi
Mzee Mwanakijiji sidhan kama upo sahihi kufananisha mapambo ya kisiasa na mapambano ya kivita.
sikubaliani na wewe kiwa principal za ushindi zinafanana mahara popote isipokuwa moja tu ambayo ni "information za kutosha"
katika swala la source of information CHADEMA nahisi wameiva....wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.