Search results

  1. Matemanga

    Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

    asanten wana kasulu
  2. Matemanga

    CCM-Tabora waanza kujibu mashambulizi ya Zitto

    Chama cha mapembe!nataman 2014 ifike haraka ili mpate shubiri ya wizi wenu.
  3. Matemanga

    UDINI:Tuambizane ukweli,hivi tatizo ni mihadhara?

    Yahya Msangi Lome, Togo Toleo la 294 15 May 2013 HAPO kitambo kidogo niliandika makala katika gazeti la Raia Mwema nikiomba waumini wote wa kiislamu na kikristo ‘wachinje’ imani zao ili Taifa libakie salama. Naona makala ile haikueleweka kwani baada ya tukio la hivi karibuni la kulipuliwa...
  4. Matemanga

    UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

    habari yenyewe ya upande mmoja tu.CHADEMA udini na CCM udini mbona woooooote hamfai kuliongoza taifa!!!!!!!
  5. Matemanga

    J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

    Tusiwe kama inzi tunaacha vitu safi na kufata vidonda,usaha na uozo!
  6. Matemanga

    J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

    TUSIWE KAMA INZI TUNAACHA VITU SAFI NA KUFATA VIDONDA,USAHA NA UOZO!https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/rockon.gif
  7. Matemanga

    Waziri Nchimbi alaaniwa na Wazanzibari! Maalim Seif amjia juu...

    asante kwa ujumbe maridhawa tena wenye mashiko
  8. Matemanga

    Majibu ya Zitto juu ya shutma za kuhujumu CHADEMA

    :bowl:kwanini kila siku zitto!!? ama kweli mti upigwao mawe......
  9. Matemanga

    Tundu Lissu: Mpambanaji aliyeuanza uanaharakati utotoni

    Mm nimesikitishwa sana na maamuz ya wabunge wa chama cha kifisadi inaonesha huyu mwanamke hawezi uspika na anafanana na mhusika ndani ya kitabu cha tamthilia 'Kivuli Kinaishi' Bi Kirembwe anayewalazimisha wananchi wake kusema nyeusi kuwa nyeupe. Pia Giningi ndani ya tamthilia hii ndo ccm ;make...
  10. Matemanga

    Waislam msiende liliondo- redio kheir

    Kuna watu wanaongea tu bila kujua kwanini UISLAM unampinga Babu wa loliondo,kwanza napenda kuwaambia ndugu zetu ktk Adam waislam wanamkubali Yesu kama mtume/nabii,hakuuwawa na ndo maana yupo hai;Na mtume Mohammad s.a.w ni mtume na nabii wa mwisho so wanapomuona mtu anaamka na kusema yeye ni...
  11. Matemanga

    Waislam msiende liliondo- redio kheir

    Kuna watu wanaropoka tu bila kujua UISLAM unasemaje kuhusu unabii/utume.Waislam humkubali YESU ,yupo hai na hakuuwawa;Lakini mtume na nabii wa mwisho ni MOHAMMAD s.a.w so kama kuna mtu anaamka na kusema yeye ni nabii kama asemavyo Babu thatz Y waislam wanazuiwa.Hata huyo mnayemsema shekh yahya...
  12. Matemanga

    Wengi mjini Bukoba wanaamini Pinda alilwatupia changa la macho wale wanaokabiliwa na bomoabomoa.

    Hio ni siasa pure make law inasema zibomolewe labda kama mswada utapelekwa bungeni,na haya mambo ndo yanaiponza ccm kwa kutofata sheria.Na wameshindwa kuwaelimisha rai kuhusu sheria mbalimbali kama afanyavyo dr MAGUFULI
  13. Matemanga

    Matokeo ya Kibonde yabandikwa UDSM

    Kibonde we ni kiibonde
Back
Top Bottom