Search results

  1. Kapo Jr

    Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

    Msela akishikiana na juma nature(GWM)
  2. Kapo Jr

    Mungu na ulimwengu

    Mungu kaumba binadamu kwa mfano wake,ni mengi binadamu tunatenda lakini ni kwa mapenzi yake,ujuzi wa wanasayansi,madaktari na wahandisi ni Mungu karuhusu uwepo wao watende kwa niaba yake
  3. Kapo Jr

    Mungu na ulimwengu

    Through his preaches to corrinthians also the Apostle Paul meant that when you become a man you learnt to distinguish childish and man's responsibilities
  4. Kapo Jr

    Mungu na ulimwengu

    Paul the Apostle written in the #HollyBibble as I quote to reminds corrinthians about steps of human being especially childish to man
  5. Kapo Jr

    Mungu na ulimwengu

  6. Kapo Jr

    Mungu na ulimwengu

    Kupitia Biblia-Takatifu 1Wafalme18:25 Mungu anadhihirisha kwamba ndiye ALFA &OMEGA kupitia Nabii Eliya pale sadaka yake inajibiwa tofauti na Mungu wa bahari, Ulimwengu kwa Mungu ni sehemu ndogo tofauti na tujikwezavyo!!!
  7. Kapo Jr

    Mungu na ulimwengu

    Kiama kwa wanadamu ni mipango ya Mungu,tangu UUMBAJI hadi GHARIKA kipindi cha NUHU hadi nyakati tulizopo ni wazi kwamba mwisho wa dunia(Kiama) ni mauti kwa kila binadamu.Pamoja na kuruhusu binadamu kutawala vitu ama viumbe wengine lakini Mungu alituficha KIFO kitufikapo,yawezekana ni maksudi...
  8. Kapo Jr

    Uchaguzi 2020 Je, Tundu Lissu ana nguvu gani dhidi ya wagombea wengine wa urais?

    Wakati ni sasa baada ya mateso na kukandamizwa na utawala wa ccm watz tuna nafasi mikononi(kura) kufanya maamuzi tarehe 28/10/2020 kwa kuchagua viongozi makini wenye hofu ya Mungu wasiolewa madaraka
  9. Kapo Jr

    Mungu na ulimwengu

  10. Kapo Jr

    Mungu na ulimwengu

    Binadamu tumeumbwa na Mungu na kupewa nafasi ya kuishi duniani kwa mapenzi yake,Kuna wakati binadamu hulewa sifa kwa kudhani anaweza mambo yote kwa utashi wao binafsi kwa kutenda maovu kwa wengine.Nafasi ama uwezo wa ki-mamlaka au kiuchumi si turufu ya kuingilia Uhuru wa wengine na kusahau Mungu...
  11. Kapo Jr

    Déjà Vu all over again?

    They must learn through the same opposition political party in 2015,don't trust h......
  12. Kapo Jr

    Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

    Msela ft.nature &KR jamaa akizungumzia maisha ya uswahilini/duni kwa michano ya level za juu,R.I.P ngwair
  13. Kapo Jr

    Nani aligundua kipimo cha IQ?

    Naunga hoja ya mtoa post:Ni Nani mgunduzi wa IQ-test?hata Nina dukuduku kumfahamu na vigezo alivyotumia
  14. Kapo Jr

    Mungu na ulimwengu

    Is there life after death? This question asked in the book known #ICRIDIBLE_OF_THE_WORLD_THAT_POTENTIAL,through common thought it EASY to answer that question,but in-deep mind tough to got solutions.So that can we APRICIATE only GOD knows everything about us i.e (OUR LIFE&DEATH)?let God known as...
  15. Kapo Jr

    Mungu na ulimwengu

    "At the midst of joy do not make a promise to any one,at the midst of anger do not answer any one's latter"-Lao Zhu,nukuu ya nguli wa fasihi toka China alizama kifikra katika uhalisia, ustaarabu wa binadamu,namna ambayo si kwa uwezo wa kibinadam pekee bila kumtanguliza MUngu Sent using Jamii...
  16. Kapo Jr

    Mungu na ulimwengu

    Ukifikiri kiundani zaidi ili kujua asili ya binadamu Ni nini au Ni wapi?kwa mtu makini lazima utaingiwa na HOFU mioyoni,ili kurudi utimamu wa kawaida Ni wazi ukumbuke MUNGU yupo kwa Imani yako!Kuna matendo ya kudhihilisha uwezo wa Mungu na kwamba yupo na ndiye muumba wa WANADAM na VIUMBE hai...
Back
Top Bottom