Search results

  1. J

    Aliyeratibu uanzishwaji wa EGA (E-Government) peponi

    Sawa lakini kubali kataa huo mfumo kauleta JPM baada ya kuwang'oa SELCOM, halafu punguza UCHAWA.
  2. J

    Aliyeratibu uanzishwaji wa EGA (E-Government) peponi

    Acha usenge, tuambie hata mtu mmoja aliyehusika kutengeneza huo mfumo!?,mnakuwa machawa hadi mnakera.. huo mfumo kaanzisha Magu,.. Kikwete hana IQ ya kuanzisha kitu cha kubana mapato ya serikali. Kama unabisha utakuwa una upeo mdogo sana wa kufikiri
  3. J

    Aliyeratibu uanzishwaji wa EGA (E-Government) peponi

    Hujui lolote kaa kimya, nawafahamu hadi ma programmer wa Magu waliotengeneza huo mfumo na kuwang'oa SELCOM. Unayoyajua yote ni uongo ulioaminishwa. Tungekuwa tunajuana ningekuonyesha ushahidi, ukiendelea kunibishia nitakutukana.
  4. J

    Aliyeratibu uanzishwaji wa EGA (E-Government) peponi

    UCHAWA tu Kila sehemu, wakati JPM anaingia madarakani kila kitu kilikuwa SELCOM kuanzia ticket za mwendokasi na sehemu kibao za kiserikali hadi madogo wa SELCOM wakawa mabilionea, Magu akaona serikali inavyopoteza ela nyingi akaja na mfumo wa electronic government payment, mdogo wangu ni...
  5. J

    Msaada: Dawa ya Mijusi

    98% ya wanadamu duniani wanaishi na mijusi majumbani bila tatizo lolote. Kazi yao kubwa ni kuua insects 🐝🦋 ndani. Hawa ni mijusi weupe, namna ya kuwaepuka hawa ni kutowafikiria kabisa na kuwachukulia kama wasaidizi ndani hutapata tabu. Kujaribu kupingana nao kuna madhara zaidi ya kuishi nao.
  6. J

    Ziara ya Kamala Harris nchini Tanzania

    Kamilla Harris ndo nani!?,. Muwe mna check spelling sio kuharibu majina ya watu. *Kamilla = Kamala
  7. J

    Hii noti ni pesa ya nchi gani na thamani yake kwa Bongo ni kiasi gani?

    Google ya nini Sasa?,ukizoea kuuliza uliza mwishowe unakuwa mjinga unakuwa hushughulishi ubongo, mtu badala ya kukimbilia google anakimbilia jamii forums
  8. J

    Biashara ya Bodaboda

    Kwahiyo pkpk 15 zenye thamani ya 2.3mil x 15 = 34.5 milioni. Kwahiyo milioni 34.5 inaleta faida ya 3300 x 15 = 49,500 Kwa siku!??, Na bado Kuna watu hapa wanaona ni biashara nzuri pamoja na risk zilizozunguka biashara hii.. Ukiwa na pikipiki 15 zinazoleta 49,500 Kwa siku. Pkpk moja ikaibiwa au...
  9. J

    Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

    Labda uzae wakwako ukae nae masaa 24 hadi afikishe umri wa kuolewa ndo umuoe na bikra, napo usishangae house boy alishafanya yake. Siku hizi hadi uarabuni bikra zimekuwa adimu. Swali la nyongeza, dada zako wameolewa na bikra?,au waliowaoa warudishiwe mahari!???
  10. J

    Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Cha ajabu wanaoumia na kampeni ya KATAA NDOA ni walio kwenye ndoa, Sasa utajiuliza kama ndoa ni tamu wanateseka na nini?,Kila mtu aishi atakavyo. Wasiotaka ndoa waeleweke pia.
  11. J

    Kama Hayati Magufuli aliweza kuwa Rais wa nchi hii basi yeyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania

    Hahaha tayari umeshapanic, relax mkuu. JPM kashafariki asikusumbue kichwa, wale jamaa zake waliokuondoa mar.inda hawana nguvu tena. Usipanic.
  12. J

    Kama Hayati Magufuli aliweza kuwa Rais wa nchi hii basi yeyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania

    Hajazuiwa mtu kusema, ila kuacha shughuli zako ku deal na marehemu nayo ni dalili ya nati nyingine kulegea kichwani..
  13. J

    Kama Hayati Magufuli aliweza kuwa Rais wa nchi hii basi yeyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania

    Wewe ndo k.enge kabisa,Kuna utetezi umeuona?,au na wewe ulitiwa vijiti na JPM kama mleta thread?
  14. J

    Kama Hayati Magufuli aliweza kuwa Rais wa nchi hii basi yeyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania

    Unasema aliwatesa akiwa hai, sasa mbona kama mnateseka zaidi akiwa ameshakufa!??, sielewi inakuwaje mwanaume unaanzisha uzi mrefu unaohusu mtu ambaye ameshakufa?,au kuna vitu vya siri aliwafanya nini?.,
  15. J

    Kama Hayati Magufuli aliweza kuwa Rais wa nchi hii basi yeyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania

    Badala ya kupambana kujikomboa wewe na ukoo wako ulio kwenye dimbwi la umaskini, unahangaika na mtu ambaye ameshafariki. Sijui mkikaa mnamtajataja JPM ndio shida zenu zitaisha!?
  16. J

    Nifanye nini? Ninalemewa na uraibu wa kununua malaya

    Hata hao watatu unaosema hawajiuzi nao ni malaya tu, tofauti ni kwamba hawakuuzii wewe, wasingekuwa malaya ungeshaanza kuishi na mmojawapo na mipango kibao. Sema nini, maisha ni mafupi, wewe tomba tu kuna umri utafika utakuwa unadindisha mara moja kwa wiki tena mpaka umeze vidonge.
  17. J

    Sakata la Mabodi, Balozi Pereira na Ashraf liwekwe wazi, Mnaficha ficha nini?

    Nchi ya kipumbavu sana, no wonder wazungu wanaitaga watu weusi nyani. Sijui baadhi ya vichwa haviwagi bize?,si muangaliage hata TV au movie?,mwanaume kamili kabisa na pu.mbu mbili anakaa anawaza ugomvi wa wanaume wenzake, Ili wanaume kama yeye wajadili?.., Seriously!?, Acha tuendelee kuwa...
  18. J

    Benki ya Dunia: Ingawa Uchumi wa Dunia Utadorora mwaka 2023, Uchumi wa Tanzania utakua kwa asilimia 5.6

    Wewe jamaa unakuwa CHAWA mpaka unatia aibu, nahisi upo kwenye PAYROLL kuleta Kila muda mada za kusifia serikali hii. Ifike wakati uone aibu kama mwanaume unayedindisha. Hujiulizi hii thread watu wote wanakupinga?, Hadi waliosoma uchumi?, Unaonekana maisha yako yanategemea kusifia serikali, hata...
  19. J

    Benki ya Dunia: Ingawa Uchumi wa Dunia Utadorora mwaka 2023, Uchumi wa Tanzania utakua kwa asilimia 5.6

    Mkuu unapata tabu bure, huyu ni CHAWA wa mama wale aliowataja juzi Kila kitu ni kusifia tu. Hajui kitu kuhusu uchumi ana ushahidi wa kuokoteza tu. Fatilia threads zake utanielewa, usitumie nguvu nyingi kumuelewesha yupo kazini (kazi ya uchawa).
  20. J

    Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

    Dogo hujui kanuni za hii Dunia, hicho kiburi ulichinacho huwa kinaisha ndani ya sekunde. Kwasababu upeo wako wa kufikiri upo chini sana huwezi kuelewa.
Back
Top Bottom