Search results

  1. Ghulaam

    Nisipost chakula na nisile mbele yako kisa jirani umefunga? Ni wazi unajilazimisha kushinda njaa wala hujafunga kwa imani

    Mkishakosaga cha kuandika islamophobic mnaokoteza Maneno weee kula vua na nguo kabisa inanihusu nini mimi???? Kwamba Funga yangu itikiswe na ratiba zako una dini yako Nina dini yangu Vp una lingine???
  2. Ghulaam

    Israel imeshakubali kusitishwa vita, kinachosubiriwa ni jibu la Hamas

    Mnapigana na Raia?? Taifa teule la mungu Biden
  3. Ghulaam

    JKU na POLISI: Lipi lina hadhi kubwa zaidi Zanzibar?

    Smz kuna vikosi hakuna Jeshi kule.....
  4. Ghulaam

    Israel kujitetea kesho Mahakama ya Kimataifa ICJ, tukeshe tukiwaombea!

    Chuki sio kwamba unachukia mauaji
  5. Ghulaam

    Israel kujitetea kesho Mahakama ya Kimataifa ICJ, tukeshe tukiwaombea!

    Superpower Dhidi ya vichanga na wazee wasiojieweza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  6. Ghulaam

    Je, naweza kutumia fungu la kumi kwa kununua mahitaji ya watoto yatima?

    Kwanini ipelekwe huko na wasipewe ambao tunadhani wanahitaji Kumpa mgonjwa akatibiwa nakupeleka msikitini kipi bora?? Hapa kuna walakin
  7. Ghulaam

    Ukimya wa vyombo vya habari juu ya unyama wa wanajeshi dhidi ya raia huko Kawe

    Kama ni kawe wacha wapigwe tuuuu Wamewahi kuua Binti wa Askari kwa mapanga hawakufanywa kitu Wacha kiwarambe This time
  8. Ghulaam

    Rais Samia na Dkt. Tulia wajengewe sanamu

    Wamekwambia au kiherehere
  9. Ghulaam

    Mahitaji ya Njegere Kavu tani 9000

    Lima mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tuuzie kwa 200
  10. Ghulaam

    Maamuzi ya Rais Samia kubadili jina la Chuo cha Diplomasia kuwa Dr. Salim Ahmed Salim centre for Foreign Relation yapo sawa kidiplomasia?

    Mwenzako anajua SAS ni Sheikh ndio maana mishipa ya chuki inamfurukuta Rectal areas
  11. Ghulaam

    Maamuzi ya Rais Samia kubadili jina la Chuo cha Diplomasia kuwa Dr. Salim Ahmed Salim centre for Foreign Relation yapo sawa kidiplomasia?

    Amempa kakipeleka wapi chuo kiko kurasini hakijahamishwa SAS amewahi kuwa waziri mkuu Huenda unajua Salim Ahmed salim ni sheikh wa bakwata kenge wewe na Chuki zako kishoga
Back
Top Bottom