Search results

  1. Ommydee

    Pamba imenasa sikioni

    Jmn habari zenu naomba msaada wenu nilikuwa nasafisha sikio kwa Banat mby pamba imenasa ndani hata kuonekana haionekani icho kipamba msaada ndugu zng
  2. Ommydee

    Msaada: Daktari kaniambia mke wangu hawezi kupata mtoto kwa sababu tunatofautiana rhesus factor

    Jamani waungwana naombeni msaada, Kwa madaktari nimetoka hospital na wife wangu tumepima vipimo vyote tuko poa ila tatizo kwenye blood group yeye ana O negative na mimi nina B positive kwa maelezo ya daktari kasema hapa kuna uwezekano mke wangu akawa hapati mtoto na hata kama akipata basi mtoto...
  3. Ommydee

    Tamthilia ya Usidingo

    Hivi jamn hii tamthilia mnaielewa kwl maana haiish nakumbuka toka nipo shule ya mcng toka 2000 had leo khaaaa hii tamthilia noma
Back
Top Bottom