Search results

  1. mlaizer

    ARUSHA: Basi la Frey's aina ya Yutong lapata ajali mbaya na kuua

    Poleni sana!!Mungu akawe Faraja kwa familia za waliopoteza maisha.
  2. mlaizer

    Dar es Salaam City in Photos

  3. mlaizer

    Naomba kujua ubora wa hii Star x led TV na TCL

    Natumia tcl,huu ni mwaka wa 6 na haijawahi kunisumbua..
  4. mlaizer

    Waziri Simbachawene: Serikali haikusema itatoa ELIMU BURE, ilisema itatoa elimu bila malipo

    ELIMU BURE:huchangii chochote kwenye utoaji WA Huduma ya elimu ,mfano kutolipa kodi ambayo inapelekea Serikali kupata pesa ya kugharamia elimu. ELIMU BILA MALIPO:serikali inagharimia elimu kutoka chekechea hadi kidato cha 4 kupitia kodi ulizokatwa na Serikali..... Otherwise elimu bure = elimu...
  5. mlaizer

    CCM Yaanzisha Chama Kipya Cha Walimu Baada ya Kushindwa Kumng'oa Mkoba CWT

    si kweli,chama kipya cha cwt ni zao la utaratibu mmbaya uliopo ndani ya cwt.
  6. mlaizer

    Lukuvi aita hela ya Tanzania hela ya madafu Bungeni ashindwa kujitetea

    Kuna tofauti gani kati ya mtu kusema "hii ni serikali dhaifu" na "pesa ya serikali hii ni kama ya madafu"?
  7. mlaizer

    Bsc accounts and finance vs ba a.f

    Hakuna Bsc.accounts and finance bali kuna Bachelor of commerce in accounts and finance.
  8. mlaizer

    Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    Unaweza ukanisahihisha,this is what I know about Kenya constitution;"women representatives are for every county(47) but r elected in all constituencies, i mean voted in all constituency, but represent the whole county just like governor or senator"County tunaweza kuifanananisha na Mkoa(region)...
  9. mlaizer

    Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    Hili linaweza kuwa baya kuliko yote,nimeangaika kutafuta kama kuna nchi duniani yenye mfumo kama huu nimekosa.Huenda Tanzania ikaweka historia kwa jambo la kipuuzi kama hilo.Mpaka hapa tulipo tunatakiwa kupunguza kwani ni gharama sana kuwalipa,unaweza ukaangalia uwiano wa wanawake bungeni...
  10. mlaizer

    Mulugo: Adhabu ya viboko kwa wanafunzi shuleni itarudishwa ili kujenga nidhamu

    mwalimu ana shida na majukumu mengi sana,viboko vinamsaidia nini?
  11. mlaizer

    Kushuka Kwa Kiwango Cha Elimu Nchini Serikali kurudisha Viboko Mashuleni

    Walimu wanapata faida gani kwa kuwachapa wanafunzi?
  12. mlaizer

    Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Ni vizuri Lwakatare amekamatwa ili Watanzania waweze kufahamu ukweli hili. Huenda serikali na CCM wakaishia kuaibika mwishoni na kuendelea kuijengea CHADEMA/Lwakatare umaarufu kwa wananchi.
  13. mlaizer

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    You have nailed it.
  14. mlaizer

    Hili la kuchinja lisitugawe, Linazungumzika

    Kabla ya mgogoro Kwa miaka yote tangu kuingia kwa dini za kiislamu na kikikristo nchini,ni waumini wa dini waislamu ndio wamekuwa wakichinja mifugo(isipokuwa nguruwe) kwa ajili kuuzwa kwenye maduka yetu hapa nchini.Wananchi wamejijengea utaratibu huu kwa kuzingatia kuwa waumini wa kiislamu...
  15. mlaizer

    MWALIMU Mh...................!.

    hii nayo ni kiboko
  16. mlaizer

    Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    Ni bora kuwa na serikali ya kidikteta inayojali elimu ya wananchi wake kuliko kuwa na serikali inayodai ni sikivu lakini haijali elimu ya wananchi.This is very low for you CCM.
  17. mlaizer

    Mwanza: Nyama zakosa wanunuzi machinjioni!

    ukisikia muislamu anazungumzia ukikristo,ujue anawalenga zaidi wakatoliki(wana nguvu duniani,kalenda(Gregorian calender) inayotumia na karibu dunia yote ni ya wakatoliki ).Ndiyo maana hili Vatican linawaudhi sana waislamu(ingawa hawako sahihi,kwani Vatican ni nchi kamili kama zilivyo nchi...
Back
Top Bottom