Search results

  1. buffalo44

    Karibu kwa huduma ya graphics, mabango, stickers, logo, UI/UX design na zaidi. (Bei imeambatanishwa)

    LOGO DESIGN Bei: 50,000/= 2 Logo Concepts ikiwa na raundi mbili za masahihisho kwa kila Logo. 70,000/= 3 Logo Concepts ikiwa na raundi mbili za masahihisho kwa kila Logo. BRAND IDENTITY Bei: Tsh 100 000/= Logo, pamoja na patterns, matumizi ya rangi, na elements muhimu zinazobeba brand...
  2. buffalo44

    Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

    Salaam wakuu. Natumai wote mpo wazima. Naomba kazi ya Graphic Design kama • Kudesign logo • Kudesign business cards • Kudesign presentation Yaani kiujumla any design kwa kutumia • Adobe photoshop • Adobe Illustrator Uzoefu wangu ni miaka 2, Sijafundishwa chuo nimejifunza...
  3. buffalo44

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Wakuu habari zenu. Natumai mu wazima. Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet. TTCL walinipa hii details. Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k. Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem. Nikaamua kucheki...
  4. buffalo44

    Nahitaji Chumba Single Sinza, Magomeni Kanisani, Kawe, Mbezi au Goba

    Hello wakuu. Nipo natafuta chumba single. Kuanza life baada ya chuo. Naomba mwenye nyumba yoyote aliye maeneo hayo anisaidie room single Bajeti yangu ni 60k - 80k kwa mwezi. Dalali niseme hela yako inaniwia ngumu. Ikiwa 50% nipo tayari. Msaada wenu.
  5. buffalo44

    SoC01 Iundwe idara ya ambulance na uokoaji ili kusaidia kwenye dharura na uokoaji kuepusha vifo vinavyoepukika kwa kuwahi matibabu

    Salaam wakuu. Nchi hii ni yetu sote, matatizo yetu tunaweza kuyatatua kwa rasimali kidogo tulizonazo. Hapa Tanzania suala la Ambulance hata hatuelewi linafanyaje kazi. Mara nyingi ambulance zinasafirisha referred patient (Wagonjwa pendekezwa kwenda hospital nyingine). Kwa matatizo ya dharura...
  6. buffalo44

    SoC01 Kuwe na kibao cha kuripoti uzembe ofisi zote za serikali kama ilivyo rushwa ili kuongeza ufanisi wa taasisi

    Salaamu wakuu. Taasisi za kiserikali ni muhimu sana kwenye kuchangia upatikanaji wa maendeleo kupitia utoaji huduma ambao utawezesha kufikia malengo ikiwamo kupunguza rushwa, urasmu na umasikini. Napendekeza kuwe na kibao kila taasisi inayohudumia wananchi. Chenye namba za kuripoti kukitokea...
  7. buffalo44

    Naomba kujua ushuru wa yeboyebo na viatu ukiagiza toka China

    Hello wakuu. Naomba kujua ushuru wa yeboyebo na viatu ukiagiza toka China. Import duty ya bidhaa aina hizo. Nitashukuru sana.
  8. buffalo44

    Kuweka Game la FIFA 19

    Hello guys. Nahitaji Yoyote anayeweka game kwa PC au anayeweza kunisaidia Game la FIFA 19. Nipo Dar es Salaam Ubungo Chuo kikuu. Nina shida na hilo game. Naombeni mnisaidie mkiweza.
  9. buffalo44

    Natafuta chumba Magomeni na Kigamboni, bei 50k

    Kichwa cha habari chahusika Wakuu humu wanaofanya udalali Naomba kupatiwa chumba chenye hali nzuri kinachofikika na usafiri chenye huduma zote na usalama maeneo tajwa. Nicheki kwa SMS or WhatsApp 0762179938 Call sipokei kutokana na tatizo la kutosikia vizuri.
  10. buffalo44

    Wakenya bana kwa hiyo kukosa kura ya Tanzania UNSC imekuwa nongwa?

    Umofia kwenu wakuu. Naona kila thread ya jukwaa hili kwenye comment wakenya wanahasira na chuki za juu baada ya kutoa kapepa ambako me binafsi sijaconfirm kuwa Tanzania haijapigia Kenya kura. Wakenya hebu tulieni bana, sisi ni nchi huru na kupiga kura tunapiga kwa hiari tukiwa na akili timamu...
  11. buffalo44

    Msaada tutani, Pc yangu haifunguki

    Wakuu salaam Nina pc yangu Hp probook, nilikuwa nafanya kazi fresh baadae naiweka chaja Windows inagoma kufunguka inaleta hii notification. Msaada tafadhali.
  12. buffalo44

    Tafadhali watanzania wenzangu acheni kuwasakama wakenya kipindi hiki wako kwenye Janga.

    Salaam wakuu. Binafsi sifurahishwi na nyuzi mpya mpya humu kutoka kwa ndugu zangu watanzania wakifanya mzaha hatua za serikali ya Kenya juu ya kuzuia kusambaa kwa Corona. Hata kama Tanzania kuna unafuu hatupaswi kuwacheka na kuleta ligi za kukebehi juhudi zao. Muda huu ni wa kuwapa pole na...
  13. buffalo44

    Building Bridge Initiative (BBI) Task Force vs Tanzania Government System.

    Hello Guys Hope you all are in good mood. I would like to get some details about the similarities and differences between them and please i would like to understand the meaning of BBI Task Force in deep. Come prove your is better. Thank you so much.
  14. buffalo44

    Msaada juu ya Gharama za kukomboa mzigo bandarini

    Wakuu salaamu. Ningependa kujua ni gharama kiasi gani hutumika kukomboa mzigo bandarini. Kwa mfano. Mzigo wa nguo 200pcs Ulioununua kwa 500000 Je, ni shiling ngapi inatumika jumla hadi kuupata? Ahsante sana.
  15. buffalo44

    Nahitaji nyumba nzima ya kupanga Ubungo, Mwenge, na Kimara

    Salaam wakuu. Kuna shughuli imepatikana kufanyikia Dar Es Salaam. Inahitajika nyumba nzima yenye vyumba 3 vya kulala sebure, jiko na iwe na uzio. Iwe rahisi kufikika na usafiri wowote isiwe ndani ndani sana. Kodi iwe kuanzia 500k to down. Madalali naomba mnisamehe hela yenu sina Napendelea...
  16. buffalo44

    CCM na UPINZANI someni hapa tafadhali. Tanzania ni yetu sote siasa zenu zichunge

    . Nimekua nafatilia mijadala mingi humu siasa zinakuwa chuki kila siku. Siku hizi matusi yamezidi kila upande hutakii mafanikio na ikitokea mafanikio basi kuna madai kuwa ni kujikomba, Uchaguzi umekaribia n.k Makundi makuu mawili yanabishana, CCM na Upinzani. Kwa maoni yangu nitachambua kila...
  17. buffalo44

    Msaada wa kuinstall PES

    Salaam. Nina crack ya PES 2017 nikiinstall nikijaribu kuplay inaonyesha unable to initialize SteamAPI naombeni msaada wa kutatua hili tatizo
  18. buffalo44

    Simu za budget ya Laki?

    Wakuu salaamu. Nimekuja kwenu kujua naamini humu kuna maduka ya simu na waliowahi kununua. Kuna ndugu zangu huko mkoani wanataka wamiliki shida wametuma vilaki. Nipo busy kidogo naomba kujua ni zipi ili niingie dukani nimalize shughuli moyo utulie. Thanks in advance
  19. buffalo44

    Serikali ina upande wake kwenye maendeleo. Je, wewe mtanzania unajua tabia zako zinarudisha nyuma juhudi za maendeleo?

    Kama huwezi kusoma Makala hii soma hitimisho basi. UTANGULIZI. Ni masikitiko makubwa kuona watanzania huku mitandaoni wakishangilia Umoja wa ulaya(EU) na Marekani kuingilia mambo ya Nchi huru ya Tanzania. Japo ni kweli kuna mambo baadhi ambayo serikali inafanya yasiyo ya kuridhisha lakini...
  20. buffalo44

    UDSM hawa UDSM Hawa aaaaaah!

    Wakuu yaani nimevurugwa asee! Nilikuwa najua kuripoti ni tarehe 27 nikajipanga nikakata tiketi tarehe 23 niondoke tarh 26 alafu wanaleta habari ya kubadili muda wa kuripoti. Ndio hivyo kesho nakuwa dar alafu sina ndugu. Aaah! Nafanyaje sasa. Naombeni mnishauri. UPDATE. Nimefanikiwa...
Back
Top Bottom