Search results

  1. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kweli ngoja niachane nawe. Napoteza muda Bure, now Ikiwa akili yako ndio inaamini Wairan ni waarabu.
  2. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    A tiny percentage? Alafu hao wahindi na waarabu eti wanamiliki utajiri wetu, kwani wakiyumba kuna kitakachoharibika si wanakua replaced. Kipindi cha Magufuli unajua ni wahindi na waarabu wangapi walikula msoto sana. Hadi huyo Mo. Still we was not affected?
  3. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Si ndio ukweli? Juzi tu raia walikua wanaomba King Charles awarudishie ardhi?
  4. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Simple dada zao sura zao hazina utofauti. Nchi inayo brags kila siku ila njoo ground wamechakaa hatari, lishe ni tatizo.
  5. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Jina Onyango, yale yale ya Obama. Mijitu mpaka ikakaribia kumcost Obama mpaka akaingia sakata la Uraia kwenye mbio za Uraisi.
  6. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Muarabi tena sio Muiran? Mwafrika wa wapi? Si wa Uingereza. Kwa hiyo Rashford sio mwafrika. Wazee wa double standard. Mna somo la uraia huko kwenu kweli? Na aliyewaambia ni Africa tu kuna blacks nani?
  7. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ila we fala tuoneshe uraia wake. Maana wetu tukiwa nao unasema ni wairan ni foreigner. Tuoneshe official website inasema Origi ni mkenya Tayloe Onyago ni Mkenya? Maana vyombo vyote vinasema mmoja mbeligium mmoja mwingereza
  8. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwa hiyo Origi ni mkenya eeh? Yale yale ya Obama.
  9. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Inachekesha eeh?
  10. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Haya. Ndio ukweli huo Chapa Dimba is greater than Azam. Umeua hapo kijana, Kenya to the world.
  11. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sawa hamna noma. Mna stadium nyingi huko Kenya, nasemaje nyingiiiii sanaaa. Sitaki niwe sehemu ya kukukosesha furaha.
  12. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Duh asee! Kijana si lazima uwe seriously sana humu unapunguza life expectancy yako kutumia nguvu nyingi, unaharibu cells za ubongo.
  13. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Acha kujifrahisha we fala, kwanza siku HARAMBEE STARS IKICHEZA MECHI ZA KALENDA YA FIFA/CAF hapo nyumbani ndio uje kutupigia kelele. Unatuwekea uchafu mwingi, huu ni mwaka wa ngapi timu yenu ya taifa inatangatanga.
  14. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Duh asee! ichoboy01 Pole sana. Eti who is CAF? alafu baada ya page 10 "WE WILL HOST AFCON IN TALANTA"
  15. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Huna toauti na ChoiceVariable chawa mwandamizi.
  16. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Si Ksh ni super currency. As usually kwa ground mambo huwa tofauti na kelele za Mitandaoni.
  17. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kuna Wapumbavu wanasema hawana njaa, sasa linganisha comments za hapo na walinganishe na comments zetu kwa ule msaada wa MAREKANI unajua nani ana njaa kali.
  18. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ukataeni sasa nyang'u nyie
  19. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Asee now sitawanaga tena mkileta Render ya Talanta. Mnakiu sana ya uwanja wa kueleweka.
  20. buffalo44

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hizo taa zenu hua mnawekaga kwa kutumia vigezo gani yaani ni vichekesho sana.
Back
Top Bottom