Search results

  1. M

    Je, Mwamkinga Auction Mart wako juu ya sheria?

    Nimekutana nao leo wanavizia watu wanaotoka Bank. Ujambazi wa mabenki unarudi sasa hivi (mtasikia tu). Na police wanawalea. Hii ni kwa Kova moja kwa moja. Halafu hawana risiti za serikali (TRA mnalo) (janga jingine hili). Leo walinikuta vizuri, siku nyingine watasikia mlio wa bastola nikiona...
  2. M

    USHINDI wa Obama ni fundisho kwa wapinzani nchini Tanzania

    sasa mbona unewafagilia chandema tena!! Democrat si ndo walikua upinzani uchaguzi uliopita. Halafu wakaja na slogan ya change u can trust; wakashinda, na sasa bado wanawakandamiza kilichokua chama cha upizani rep.
  3. M

    Hivi daktari ana thamani kuliko binadamu wengine???

    YAANA, katika mahala ambako vifaa huwa havikai ni hospitali za serikali! kama vina miguu vile!!
  4. M

    Polisi wazuia mkutano wa mbunge wa Kigamboni Faustine (wananchi wamechachamaa)

    Sisi wananchi wengine wa kiamboni tunautaka! TENA SANA TU. USISEME WOTE HATUUTAKI!!
  5. M

    Maandamano makubwa ya Madaktari yaja (wiki ijayo)

    Suala ni kuzuia magonjwa, sio kutibu tuuu. Mnataka daktari kila kijiji, nani kasema watanzania wote wagonjwa? Hili suala ni la mkakati. Nchi za wenzetu, jiji lenye wakazi milioni sita, hospitali ni moja, na wanaona wagonjwa wasiozidi 200 kwa mwezi. Unahitaji madaktari wangapi hapa? Tunainvest...
  6. M

    Safi! Mbunge wa Kigamboni - (CCM) kesha kinukisha!

    acha miji iendelezwe! mnataka kigamboni nayo iwe kama mazense!!
  7. M

    Paradox: Mgomo wa MDs unawadhuru Wangonjwa; Kufutia Usajili MDs kunasaidia wagonjwa!

    wasiwasi wangu siku wagonjwa wenye hasira wakiwatoa meno na kucha!
  8. M

    Mchango wa HIARI kwa Dr. Ulimboka

    nani anauza dawa na vifaa hospitalini???
  9. M

    Maoni ya madaktari baada ya Hotuba ya JK!-Ole wako ukiugua..utakiona!

    Kweli JK ni Dokta katika siasa, maana huu mchezo unaonyesha JK ni clever na madaktari ndo wasiofikiria. Kweli, public opinion sasa iko agaist the doctors, na hii itawaumiza siku zote. Nilisikia jana ITV mtu mmoja akisema maoni yanaonyesha wananchi wanataka kuanza kuwakata madokta mikono iwapo...
  10. M

    Waziri Mkuu awaamuru Madaktari kuripoti kazini Kesho!

    Sasa si ukaishi Botswana, Rwanda au Burundi, hapa mnafanya nini!!
  11. M

    Waziri Mkuu awaamuru Madaktari kuripoti kazini Kesho!

    Usiende kazi au kufanya kazi na uone kama unalako nchi hii. Inakula kwako live! Kwanza madaktari wa sasa viazi sijawahi ona, bora usome kitabu ujitibu mwenyewe. Pia hospitali za binafsi kibao, tunatibiwa huko. Ningekuwa mimi waziri mkuu, kila hospitali inayogoma naifunga na kufuta ajira hapo...
  12. M

    Mgomo Wa Madaktari: Jee, Serikali Kuwafukuza Kazi Kwa Summary Dismissal kwa "Insubordination"?

    kwa nini? fukuza tu, na tunaweka unique policy ya afya. madaktari mtaripoti kwa manesi, na manesi wataandika dawa. operation zenyewe zinawashinda, vichwa na miguu-wapi na wapi?
  13. M

    Madaktari acheni upuuzi na kiburi...!!! Fanyeni kazi

    Manesi nao wamegoma? Sometimes Serikali inatakiwa kubadili Sera. Kuanzia sasa, Manesi ndo wawe wakuu wa hospitali na wataruhusiwa kutibu wagonjwa na kuandika dawa/prescribe. Hawa wanaisumbua tu serikali wakati hakuna la maana wanalofanya. Fukuza wote wakafanye kazi Botswana! Tujitahidi kuzuia...
  14. M

    Madaktari acheni upuuzi na kiburi...!!! Fanyeni kazi

    Mnapasua vichwa balada ya Miguu nyie?
  15. M

    Zile kazi za ifakara health instittute vip jamani

    Tafuteni wafadhili wao, halafu waambieni malalamiko yenu muone watakavyowawashia moto ihi
  16. M

    The 100Megawatt Syndrome

    Twende nuclear, acha woga, so far life expectancy tz ni 47. Wapeni warusi au wamarekani wamanage hizo plants kwa standard unazosema kwani nakubaliana nawe tanesco hawawezi, watakaomanage plant tuwalipe kwa umeme wanautupa, ili kwa makubaliane yanayoeleweka, siyo kama haya ya IPTL (WIZI MTUPU)...
  17. M

    TRA na mfumo mpya wa kufanya valuation of Used Vehicles

    Bonge la Uzushi, ni vihiyo wasiotumia hata logic.
Back
Top Bottom