Search results

  1. H.O.V

    Wa-Africa weusi hatarini zaidi ndani ya Libya

    Tatizo ni kwamba nchi nyingi zilizo kusini mwa Jangwa la Sahara hazina takwimu sahihi kuhusu raia wake walio nje ya nchi zao. Balozi nyingi za nchi hizi zipo bila msaada wowote. Tumesikia nchi nyingi sana za ulaya na asia zikiwaondoa raia wao nchi Libya ila sijasikia hata siku moja nchi nyingine...
  2. H.O.V

    Wa-Africa weusi hatarini zaidi ndani ya Libya

    Wakati mataifa mbalimbali yakiendelea kuwaondoa raia wake kuwaepusha na vurugu za machafuko nchini Libya, wafanyakazi wahamiaji wengi wao wakiwa ni wa-Afrika weusi ni walengwa kwa sababu wengi wao ni watuhumiwa kwa kuwa vibaraka walioajiriwa na Muammar Gaddafi, kiongozi wa Libya. Wafanyakazi...
  3. H.O.V

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Ndugu zangu, nilidhani Uhuru tulioupata na elimu tuliyoita vinatusaidia kujitambua sisi ni nani katika Ulimwengu huu. Sitaki kuamini kabisa kwamba sisi bado tuko kama kizazi cha karne zilizopita ambapo mababu zetu walirubuniwa kwa pipi na harua na wakaachia wageni wakafanya kila wanachotaka...
  4. H.O.V

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    kizazi chochote kilichoikana dini yake ya asili na kuitukuza dini yoyote ambayo ni ngeni na ambayo haina connection kabisa na mila na desturi zake basi huyo amekuwa brainwashed. wapi mnasimama wa-kristo na waislam wa kitanzania? you are all brainwashed and the system will continue brainwshing...
Back
Top Bottom