Ya TWAWEZA tuyaache ubishi tuache. Njooni hapa tupimane nguvu live bila chenga JF. Piga kura yako ukijenga fikra kweli ataweza kuleta maisha bora anafaa,
WADAU NILIKUA NAOMBA KUJUA KAMA TECNO H5. INAFAA. KU ROOT AU KU UPGRADE. NIPO MBIONI KUNUNUA
GENERAL Information B4
2G Network GSM 900 / 1800
3G Network HSDPA 2100
4G Network No
SIM Dual mini
Dimensions 124 x 65.8 x 11.65mm
Keyboard Touchscreen
Colors White, Black
Cover Plastic...
Naombeni msaada kujua Ipi ni nzuri. katika Fuel consumption na bei inakuaje kuagiza. used from Japan. Na mengineyo wadau. Jamani nahitaji mawazo yenu chochote wakijua usisite kuniambia
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WA MWAKA 1964 ULIZAA TANZANIAYA SASA UMO MASHAKANI. WANASIASA, WANAHARAKATI, SERIKALI, NA WANANCHI. WOTE KWA PAMOJA WANABISHANA MITAANI, MAJUKWAANI, KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDOO YA JAMII. LAKINI NAOMBA KUKATA MZIZI WA FITINA HAPA JF. JE MNATAKA SERIKALI...
Hawa jamaa Sahara media sijui ni utaalamu umewapiga chenga hata ccn, aljazeera, bbc, emmanuel tv, msbn, Reuters, ktv-Kenya na chaneli hata moja ya wanyama wameshindwa kuweka kwenye kingamuzi chao hawa Sahara media wajipange; ndio maana sijajua bado natumia satellite dish free chaneli...
Hawa Sahara media wazushi kweli yaani wameshindwa hata kuweka bbc; cnn; aljazeera; msbn; emmnuel tv; Reuters; na ya wanyama hata moja; kwenye kingamuzi chao; ndio maana sijakinunua; acha nibaki na ungo wangu wa satellite;
Wabunge wa kambi ya upinzani kwa pamoja wameshirikiana kutoka nje ya bunge baada ya spika kutotenda haki ya kikanuni kwa kukataa hoja ya Mbatia kuahirisha hoja yake akidai kupewa mtaala wa elimu Tanzania ili aweze kuhitimisha hoja yake.
Naibu wa spika hajatenda haki kikanuni kwa kulazimisha...
Hapa Tanzania kwasasa kuna vituo vingi vya television vya binafsi na serikali lakini kutokana na kukosekana maadili ya uandishi vingine vimejeuka genge la ubaguzi kwa sababu wanazozijua ikiwemo siasa, biashara, na mambo binafsi. Je kama wewe ni mtanzania ni kituo gani unaona kipo kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.