Search results

  1. kaangwa

    Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Asante mkuu kwa taarifa,nadhani huyu kibonde ndo yule wa maisha ni jera au ni mwingine?
  2. kaangwa

    Kura kupitisha katiba, BMK kupigwa baada ya kujadili sura zote;sababu nyuma ya pazia.

    Ni kweli mkuu sheria huwa hairudi nyuma inaanzia ilipotungwa na kuendelea mbele.
  3. kaangwa

    Bomu lingine Arusha usiku wa leo, Jeshi la Polisi limeshindwa kutimiza wajibu wake!

    Mkuu hayo yalifanyika chini ya Manamapinduzi JKNyerere,kwa sasa tumebaki na magamba kuni zilishabunguliwa na mchwa.
  4. kaangwa

    Mkataba wa Gesi umevuja:Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka

    Tatizo huwezi kutofautisha wasomi na wasiosoma,wote unawakuta kwa mganga,Utawatofautisha kwa maelezo ya shida zao,msomi anaenda kuomba apandishwe cheo na kupata madaraka,asiyesoma anaenda kuomba jirani yake afe kwani anazidi kuongeza mali na watoto wake wanasoma shule nzuri. Matokeo yake nchi...
  5. kaangwa

    Mkataba wa Gesi umevuja:Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka

    Habari hii nilidhani kuwa ya maana lkn baada ya kuhusisha Zitto basi nimeidharau kwani kama ana uchungu na nchi hii asingekuwa tayari kupoka demokrasia,na leo yeye na wafukuzwa wenzie wanapambana na CDM kuliko hao anaowaita wanafilisi nchi.Kupigania haki humu mitandaoni wakati huko nje anakula...
  6. kaangwa

    Chonde chonde wabunge wa mkoa wa Kagera

    Tumekusikia mkuu,na hoja yako ina mashiko lakini,wakulima wa huko bukoba wanayajua hayo? kama wanayajua,kwanini kwa miaka yote hii wameendelea kuwachangua wabunge hao? Fikiria daraja la kaja na kyamugera toka enzi za rwegasira mpaka kamala na wote walikuwa mawaziri ni majanga,njoo muleba...
  7. kaangwa

    Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC): UKAWA rudini bungeni bila masharti

    UKAWA wakiisharudi bungeni kwa kufuatia agizo hilo ndo utuletee habari hizi,kwa sasa ni busara kukaa kimya.
  8. kaangwa

    Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC): UKAWA rudini bungeni bila masharti

    Wapendwa binafsi naona kama kweli sisi wananchi tunataka katiba mpya basi tuwakanye wanasiasa hasa hasa ccm, wajadili kwa hoja maoni yaliyotolewa na tume ya jaji walioba na siyo kuyakosoa kwa hoja nyepesi.Nimefuatilia maoni ya wengi yamejikita kwenye kukosoa badala ya kujadili. Nina maana...
  9. kaangwa

    Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

    Ushauri huu uweke hazina utawapa wanao,wakikaribia kupata wachumba,(UTANI)
  10. kaangwa

    Hii ni dharau ya rais au dharau kwa Rais? Serikali ya CCM tuambieni

    Kama issue ni kutamka tu bila kusimamia ulichotamka,sasa hapo mamlaka ya rais ni ipi? Tunaaminishwa rais ni taasisi hatuna ugomvi na hilo,na matamko yake yanashughulikiwa na taasisi,mleta uzi anauliza mbona hakuna kinachoendelea toka 2008 mpaka leo? nawatenda kazi wa wizara ni wateule wa rais au...
  11. kaangwa

    Hii ni dharau ya rais au dharau kwa Rais? Serikali ya CCM tuambieni

    Kwani mashine za gesi za tanesco ambazo ziko tegeta zinatumia gesi gani? Jamani ni afadhali kuuliza ukaeleweshwa ndo uchangie mada.Leo hii mnasherehekea wizi kesho watoto wenu watalia,jifunze misri MUbarak na wanae, japokuwa sijui kama na wewe unanufaika na mfumo au umelishwa dagaa na matembele...
  12. kaangwa

    Watu wanapenda wapenzi wazoefu

    We upo mawenzi tbt afu unamfanya mwenzio aende tank bovu nimepishana naye kwa maafande yuko speed, akifika utamwambia ageuze,acheni utani jamani watu wpo serious.
  13. kaangwa

    Wasomi wakutana Karimjee, waazimia kuifuta CHADEMA Vyuo Vikuu

    MMU nilikuwa nadhani ni mama mwenye hekima kumbe walewale wanaohamia dodoma kipindi cha bunge?
  14. kaangwa

    Wasomi wakutana Karimjee, waazimia kuifuta CHADEMA Vyuo Vikuu

    Mamangu kwenda jkt ndo kupata kazi? ngoja waje huku mtaani uone,kamwulize shonzaae alionekana mara moja akikaribishwa na rais,baada ya hapo kwishiney,amebaki humu jf.Msomi yeyote mwenye akili hawezi kushadadia kufa kwa upinzani TZ,wanaofanya hivyo ni wachumia tumbo,kama ni wasomi waseme hapa...
  15. kaangwa

    Wasomi wakutana Karimjee, waazimia kuifuta CHADEMA Vyuo Vikuu

    Mkuu usishangae,mwalimu wao ndo yule Prof.mwendo unategemea nini.
  16. kaangwa

    Wasomi wakutana Karimjee, waazimia kuifuta CHADEMA Vyuo Vikuu

    Wasomi ambao hamjapata ajira mnamtisha nani? Mkimaliza kikao mjadili namna ya kugoma ili mpewe boom zenu. Futeni afu mje huku mtaani viatu vipinde kwa kusaka ajira ndo mtajua kuwa kachumbali siyo mboga.
  17. kaangwa

    Ni kweli unaweza kutambua maumbile ya mtu kwa kumwangalia??

    Mkuu naona kuna kitu unataka kusema ila umebana,funguka.
  18. kaangwa

    Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

    Umejuaje,wakati wewe uinalalamika amekunyima? Na kama umeambiwa aliwahi kutembea na wengine,basi anajifunza kusema NO kuanzia kwako nakuendelea.
  19. kaangwa

    NSSF acheni usanii, toeni dhamana wananchi wakope kupitia Benki

    Mkuu NSSF ni mojawapo ya taasisi za umma,ipo chini ya uongozi wa serikali sikivu ya chama tawala, nadhani ni vyema kupeleka malalamiko haya kwa napi na kanana waitembelee taasisi hii na kuwapa maelekezo kama wanayoyatoa kwa taasisi nyingine mikoani kutowaudhi wapiga kura.
  20. kaangwa

    Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

    Naomba unijibu swali langu,wewe unatoa,au ulishatoa ndo ukaolewa? hayo mengine yafuate.
Back
Top Bottom