Search results

  1. kilokiki

    Mbowe anyemelewa na TRA mkoa wa Kilimanjaro, Apewa siku 14 kulipa kodi Tsh 13.5m

    Hapana mkuu jamaa bado yupo hai Ila mtesaji ameshakwenda zake
  2. kilokiki

    Askofu Ruwa'ichi azidi kuwapongeza wanaovaa barakoa na kujilinda dhidi ya COVID-19

    Mungu Ametupa maarifa ili tuweze kuyatumia ktk mazingira yetu. Wote tunaamini kuwa mungu ndio mlinzi wetu. Hivi kwa nini mkuu usiku ukilala huwa unafunga milango ya nyumba wakati mlinzi wetu mungu yupo? Mkuu embu tuache kumjaribu mungu. Tuchukue tahadhari ndio mungu atatusaidi
  3. kilokiki

    HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

    Kila mtu kumbe anaisoma kwa namba yake
  4. kilokiki

    Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo(HESLB); Taasisi ya Serikali iliyorasimishwa kuwatapeli wanyonge

    Mkuu Bora umenistua maana nilichokua nataka kukiandika nahisi ningepigwa ban ya Milele zidi ya huyo zoba
  5. kilokiki

    Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo(HESLB); Taasisi ya Serikali iliyorasimishwa kuwatapeli wanyonge

    Mkuu kwa hili naona wengine akili iNaanza kuwaingia. Maana siwaoni Kwenye huu uzi. Wanaotetea ni wale walioishia la saba
  6. kilokiki

    Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo(HESLB); Taasisi ya Serikali iliyorasimishwa kuwatapeli wanyonge

    Mkuu mbona umetoka nje ya mada? Jibu hoja, je serekari inachokifanya ni sahihi? Au mwenzetu sio mnufaika wa mkopo wa elimu?
  7. kilokiki

    Kwa hili, Kigwangalla hufai kuwa hata mbunge

    Mkuu hapo kakosea. Adhabu haikupaswa kutolewa hadharani
  8. kilokiki

    Wito: Kampeni ya kum-follow Pompeo

    Sijawahi kujiunga huko But ngoja nikaipakue hiyo application
  9. kilokiki

    Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

    Ni wewe kweli dada yangu uliyeandika? Utawala huu kila mtu ananena kwa namna yake
  10. kilokiki

    Uchaguzi 2020 WCB yamwaga mamilioni kwa kigogo CCM

    Yaani uongo wako ungetimia kama usingemihusisha diamond na ubunge. Yule jamaa kwa levo aliyoifikia hawezi kugombea ubunge. Labda ungesema anataka uraisi ungenishawishi
  11. kilokiki

    Diamond Platnumz ajaza uwanja unaoingiza watu 70,000 Sierra Leone

    Mkuu tatizo watu wanajadili wakiweka u timu
  12. kilokiki

    Ali Kiba kama timu ya Arsenal, presha kila siku

    Ukiwa team kiba Ni presha tu Wale wcb wanajua wanachokifanya, yaani mashabiki wao Ni burudani tu
  13. kilokiki

    Baada ya CHADEMA kujitoa uchafuzi wa Serikali za Mitaa, CCM yaja na mkakati huu mzito

    Mkuu umetoa angalizo zuri Wasipokusikiliza wasije baadae kulialia kuwa wameonewa
  14. kilokiki

    Kunyamvua na kinyumbulisha ya 88.5 na Usomaji wamagazeti wa 88.9 ni wa hovyo.

    Mkuu unajua maana ya kunyamvua na kunyumbulisha? Tuanzie kwanza hapo
  15. kilokiki

    Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

    Mondi amekomaa kiakili na busara kwake zinazidi kuongezeka. Jana amejibu vizuri hiyo post ya ali
  16. kilokiki

    Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

    Mimi bado sijaamini kama Ali amejibu hivyo. Naimani kuwa wamehack na sio yeye alieandika. Namuheshimu sana Kiba na kama ikiwa ni yeye kweli, nitaanza kumdharau
  17. kilokiki

    CAG: Kamati za Bunge zimeanza kuifanyia kazi ripoti yetu

    Kifimbo cheza sijui anahali gani huko alipo
Back
Top Bottom