Search results

  1. dezamba

    Tuache uchochezi. Stendi ya Magufuli haijabadilishwa jina lake mpaka sasa

    Mshana mbona kama nikituma ujumbe kwako inbox unagoma bro Mshana Jr
  2. dezamba

    ONYO: Hata maisha yakubane kivipi, usije jaribu kwenda kutafuta utajiri wa mashetani, pesa za mashetani hata waganga hawazitaki

    Hii thread ina ukweli mwingi sana sema wenye mizaha mejaa hapa ila hili nimelifanya...nachotaka kujua zinachukua muda gani kuzipata ukishaanza mchakato wake..
  3. dezamba

    Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

    Kuna bwana mmoja wa pale mapinga bagamoyo alinisaidiaga sana..nilikuwa na mfanyakazi yani yeye auzi mauzo makubwa nikimuacha peke yake ila nikifika mshindo wa maana akaamua kunichezea nikawa naogopa kukaa ofisini kumkanya akikosea naogopa na nikiweza basi akikasiri siendi ofisin siku mbili hadi...
  4. dezamba

    Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

    😂😂😂😂 huyo mdaiwa anaweza akakuleftisha mzee kuwa makini watu wanaofanya dhuluma bila hofu mara nyingi kambi kwa waganga..matapeli majambazi malaya hawa %78 wapo kwenye diary za vilinge....unataka ukadai hela msibani mil.40 c watakususia maiti mmalizane na mdeni wako😁😁😁😁😁
  5. dezamba

    Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

    Ishu za waganga zipo kweli ila kutimiza malengo nilazima upitie hasara kubwa ya muda frdha hadhi pengine ndo ufanikishe...nazani uganga nao ni kama betting huna uhakika na matokeo asilimia 100 hata kama uzingatie vgezo kiasi gani
  6. dezamba

    Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

    Hamna kitu tanga nilishafika kule mbele ya michungwani unapandisha milimani jamaa alikuwa ananiandaa kunipiga yule maana visingizio haviishi hata kumnawa demu anasema nimeharibu dawa
  7. dezamba

    Si kweli kwamba wanawake wanapenda Mwanaume mwenye Pesa, wanapenda Mwanaume anayejielewa

    Hajawasemea wanawake amewapa changamoto wanaume juu ya wazo tulilonalo kuhusu mtizamo wa wanawake....hilo ni jambo letu wavulana hawahusiki na watoto wa kiume....
  8. dezamba

    Si kweli kwamba wanawake wanapenda Mwanaume mwenye Pesa, wanapenda Mwanaume anayejielewa

    Baba au mwanaume kuwa na uwezo wa kutoa futre kwa familia c pesa tu ni mipango mizuri iliyo ndani ya kichwa cha mwanaume juu ya malezi,urithi na haiba gani itaifaa familia yake ..na mwanamke anamjua huyo mwanaume anapokuwa naye teyari...tusijifiche kwenye pesa haijaja duniani karne ya 21...
  9. dezamba

    Si kweli kwamba wanawake wanapenda Mwanaume mwenye Pesa, wanapenda Mwanaume anayejielewa

    Hahhhh hii ni tafiti toka mtaani ambayo c ya kubeza maana mtaa una mambo mengi
  10. dezamba

    Si kweli kwamba wanawake wanapenda Mwanaume mwenye Pesa, wanapenda Mwanaume anayejielewa

    Pia in most case za kimahusiano katika familia au uchumba wanawake ndo huwa wa kwanza kuviona viashiria vya hatari au heri coz hisia zao nikali mno na ni swala la nature kuwa wana uwezo mkubwa mahali hapo...
  11. dezamba

    Si kweli kwamba wanawake wanapenda Mwanaume mwenye Pesa, wanapenda Mwanaume anayejielewa

    Hapa sikusema mwanamke anatumia akili ila yupo makini zaidi kusikia na kuona alichokilenga inapotokea tofauti ni bahati mbaya.....ipo hivi wakati wakuanzisha mahusiano option kuu ni mbili utumie akili au hisia coz unakuwa unabet so umakinini kumtambua mpinzani na kumchambua vizuri hata kama...
  12. dezamba

    Si kweli kwamba wanawake wanapenda Mwanaume mwenye Pesa, wanapenda Mwanaume anayejielewa

    Dah nikweli but point nikuwa hastle za janjajanja zizisotoa uhakika kwa familia na huku uwezo unao ndo shida....kuvumiliana ni muhimu ila je kama mwanaume unajua nafasi yako ktk familia na jamii inayokuzunguka au uvumiliwe huku hela unatombea malaya na kulewesha wana
  13. dezamba

    Si kweli kwamba wanawake wanapenda Mwanaume mwenye Pesa, wanapenda Mwanaume anayejielewa

    Ndiyo ukweli wenyewe huu...katika kuanzisha mahusiano mwanamke yupo makini zaidi katika maamuzi na machaguo yake kutuzidi sisi
  14. dezamba

    Yericko Nyerere ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Hongera sana kwake tunaposema nchi hii ina watu wakuisadia nikweli ila tu haina viongozi wa kuisadia
  15. dezamba

    Ni sahihi fundi kupiga picha kazi aliyopewa aifanye, na kuitumia kujitangaza bila makubaliano na mwenye kazi?

    Sahihi kabisa kuna mtu anatetea huu ujinga anasahau ndo maana mitandao inatoa nafasi ya ww kumtag mtu nayeye kutoa ruhusa au kukataa wanakataa hizi kesi za hakimiliki na faragha za watu
  16. dezamba

    Ni sahihi fundi kupiga picha kazi aliyopewa aifanye, na kuitumia kujitangaza bila makubaliano na mwenye kazi?

    Siyo kweli hizo ni janja janja zatulikotoka siyo tunakoenda cv ya picha ni huko nyuma lazima ujue hilo...fundi mjenzi lazima uwe umewahi kuona kazi yake au mtu wako wa karibu awe amemuona kinyozi pia na wengine pia...sasa kazi yako kuwepo kwenye picha haitoi uhakika wa ubora na uaminifu...
  17. dezamba

    Ni sahihi fundi kupiga picha kazi aliyopewa aifanye, na kuitumia kujitangaza bila makubaliano na mwenye kazi?

    Ishu siyo kuangalia mtandaoni ila ni je ameongeza nn katika alichokiona ndo maana ya ubunifu...huyo fundi yeye kaongeza nn
Back
Top Bottom