Search results

  1. Babu wa Kambo

    Maoni ya Upinzani Muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Nchi umiliki wa Maliasili wa mwaka 2017

    MAONI YA MSEMAJI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MAMLAKA YA NCHI KUHUSIANA NA UMILIKI WA MALIASILI WA MWAKA 2017 (THE NATURAL WEALTH AND RESOURCES {PERMANENT SOVEREIGNTY}) BILL, 2017 ( Yanatolewa chini ya Kanuni ya 86 (6) ya Kanuni za Kudumu za Bunge ,toleo la...
  2. Babu wa Kambo

    USA: Waliofanya kazi na Rais Obama wajiuzulu Serikalini

    Waliofanyakazi na Obama wote wajiuzulu serikalini Gazeti la Washington Post limeandika kuwa, kujiuzulu kwa wakurugenzi na maofisa wote wa ngazi za juu ni sehemu ya mwenendo wa kuachia ngazi maofisa wa ngazi za juu wa Serikali iliyopita ambao hawataki kufanya kazi na Rais Donald Trump. Hii...
  3. Babu wa Kambo

    Helmeti zatajwa kuwa chanzo cha maradhi ya ngozi

    Wakati Sheria ya Usalama Barabarani inamtaka kila dereva wa bodaboda kuwa na kofia ngumu (helmeti) mbili kwa ajili yake na abiria, watumiaji wa vyombo hivyo wapo hatarini kuambukizwa maradhi ya ngozi. Hatari hiyo inatokana na matumizi ya helmeti chafu. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk James...
  4. Babu wa Kambo

    Mwaka 2016 haukuboresha maisha ya wananchi - Zitto

    Kiongozi wa ACTWazalendo, Zitto Kabwe amesema mwaka 2016 ulikuwa wa utumbuaji wa majipu na kusahau kuongoza na kuboresha maisha ya wananchi. Akizindua kampeni za chama hicho katika Kata ya Kijichi, Dar es Salaam, Zitto alisema Serikali inapaswa kuendelea mapambano dhidi ya ufisadi lakini pia...
  5. Babu wa Kambo

    Majina ya waliokuwa wamefaulu katika usaili wa ajira Serikalini, kufutwa.

    Watu wote waliokuwa wamefanya usaili kwa ajili ya ajira serikalini kupitia Sekretarieti ya Ajira ya Utumishi wa Umma kabla ya ajira kusimamishwa, watafutwa ndani ya miezi 6 na kulazimika kuomba upya kipindi ajira hizo zitakapotangazwa tena. Hilo limebainishwa na sekretarieti hiyo kupitia majibu...
  6. Babu wa Kambo

    Wanachama 18 wa CHADEMA akiwemo Salum Mwalimu wafikishwa Mahakamani Simiyu

    ITV imeripoti Wanachama 18 wa CHADEMA akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu wamefikishwa Mahakama ya Mkoa wa Simiyu Bila shaka makosa ni yale yale "UCHOCHEZI", mwenye taarifa zaidi tafadhali ======= UPDATES: Mahakama ya mkoa wa Simiyu yawanyima dhamana wanachama 18 wa...
  7. Babu wa Kambo

    Hivi Steve Nyerere bado tunamuita Msanii?

    Kuna huyu bwana mdogo anaitwa Steve Mangere, siku za nyuma tulizoea kumwona katika majukwaa akimwigiza sauti hayati Baba wa Taifa, kutokana na hilo akaanza kujiita Steve 'Nyerere', hivi siku hizi anafanya nini, hivi na yeye bado tunamwita msanii? Huyu jamaa toka azimwe na wasanii wachanga wa...
  8. Babu wa Kambo

    Mahakama yamwamuru Reginald Mengi afike kujieleza kwanini asifungwe kwa kupuuza hukumu ya Mahakama

    MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Biashara imeamuru Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi afike mahakamani kujieleza kwa nini asifungwe gerezani kwa kushindwa kutekeleza hukumu inayohusu malipo ya Sh bilioni 1.2. Mengi anatakiwa kufika mahakamani hapo Agosti 24, mwaka huu kujieleza...
  9. Babu wa Kambo

    Msaada: Elimu juu ya Instagram ads

    Wakuu naomba kuelemishwa juu ya hiki kitu kinaitwa INSTA ADS, zinafanyaje kazi, zinatengenezwaje, na zinawezaje kukuingizia kipato? Yeyote anayefahamu tafadhali...........
  10. Babu wa Kambo

    Uuzwaji wa Simba na Yanga umedhihirisha kuwa hizi timu ni za watu wa Dar tu, wengine mnajipendekeza

    Nimefuatilia kwa ukaribu uuzwaji wa Simba kwa MO na huu ukodishwaji wa Yanga kwa Manji nikabaini moja kwa moja hakukuwa na ushirikishwaji hata kidogo wa wajumbe/wawakilishi kutoka Mikoani, je ni kweli Simba au Yanga hawana wanachama Mikoani? Kama wapo kwa nini hawakushirikishwa? Hizi shughuli...
  11. Babu wa Kambo

    Mnahangaika na Joyce Kiria, mnaijua historia yake?

    Tangu majuzi naona watu wamekomaa na Joyce Kiria, hivi mnaijua historia yake? Laiti mngeijua historia yake wala msingehangaika wala kupoteza muda kumjadili, kavurugwa tangu utoto, hana aibu, ngumu sana kwake kujua hili linafaa hili halifai, na kwa bahati mbaya sasa kamtuliza kiganjani na bwana...
  12. Babu wa Kambo

    Vyama 9 vya siasa kufutwa kwa kushindwa kukidhi vigezo na matakwa ya kisheria

    Vyama tisa vya siasa kati ya 22 vyenye usajili wa kudumu vipo hatarini kufutwa kutokana na kushindwa kukidhi vigezo na matakwa ya kisheria yaliyoviwezesha kupata usajili wa kudumu. Hatua ya kufutwa vyama hivyo, vikiwamo baadhi visivyo na ofisi za kudumu (vyama vya mfukoni) itafikiwa ikiwa...
  13. Babu wa Kambo

    RC Iringa apiga marufuku maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza amepiga marufuku maandamano ya vyama vya siasa mkoani kwake akisema kitendo hicho kinaweza kusababisha uvunjifu wa amani. Katazo la Masenza linakuja siku moja baada ya kauli kama hiyo kutolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla ambaye naye amekipiga...
  14. Babu wa Kambo

    UTATA: Mkurugenzi Moshi hadi sasa hajaripoti kituo cha kazi tangu ateuliwe

    DED mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, Emalieza Chilemeji aliyeteuliwa na Rais John Pombe Magufuli July 7, hadi sasa hajaripoti kituo chake cha kazi na hakuna taarifa yoyote aliyotoa Mkurugenzi aliyeondolewa, Fulgence Mponji anasema hata yeye hajui alipo na alikuwa...
  15. Babu wa Kambo

    MAONI: Serikali isitishe Ruzuku kwa Vyama vya Siasa hadi 2020

    ** Vyama vyote vyenye wawakilishi katika vikao vya mabaraza ya madiwani, Bunge la Jamhuri ya Muungano na Baraza la Wawakilishi, vinapewa ruzuku na Serikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa. Pamoja na mambo mengine, lengo kuu la ruzuku hiyo ni kuviwezesha vyama hivyo kufanya shughuli...
  16. Babu wa Kambo

    Diamond asema Zari atajifungua mwezi Disemba

    Mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari. Muimbaji huyo amesema yeye na mpenzi wake Zari wanategemea mtoto wa kiume. “Yah kweli mimi ni baba kijacho,” Diamond alikiambia kipindi cha Leo Tena “Natarajia Mama Tiffa anipatie tena...
  17. Babu wa Kambo

    Madiwani UKAWA wadai Makonda anawadharau

    Meya wa Kinondoni, Boniface Jacob amedai kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekuwa na tabia ya kudharau na kutoheshimu viongozi wenzake, hasa wa upinzani. Akijibu tuhuma hizo jana, Makonda amesema: “Huyo anayelalamika mwambie huo anaoufanya ni utoto akikua ataacha. Narudia tena...
  18. Babu wa Kambo

    Serikali yaanza kupinga hukumu Sheria ya Ndoa kwa watoto wa kike juu umri sahihi wa kuolewa

    Hatimaye Serikali imeanza mchakato wa kupinga hukumu ya kesi ya Sheria ya Ndoa iliyotolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuhusu umri wa kuolewa, baada ya kuwasilisha kusudio la kukata rufaa. Hukumu hiyo imetolewa Julai 8 baada ya kesi ya kikatiba kufunguliwa na mwanaharakati wa haki za...
  19. Babu wa Kambo

    Dereva Ajali ya City Boy Iliyoua watu 30 Ajisalimisha Polisi

    Mmoja wa madereva waliosababisha ajali ya mabasi ya Kampuni ya City Boy iliyotokea Julai 4, mwaka huu na kutoroka, Boniface Mwakalukwa (37), amejisalimisha mikononi mwa polisi na kufikishwa mahakamani. Mwakalukwa ambaye ni mkazi wa jijini Dar es Salaam jana aliunganishwa kwenye mashitaka na...
  20. Babu wa Kambo

    Maswali Magumu Tamko la Mkuu wa Kaya

    Na Charles Francis M, Kuna mambo ambayo Rais Magufuli ana shangaza wengi. Kasema kila kiongozi afanye shughuli za kisiasa katika Jimbo lake, sasa tumuulize Rais Magufuli maswali yafuatayo: 1. Freeman Aikaeli Mbowe ni mbunge wa Hai lakini pia ni mwenyekiti wa Chadema taifa. Je, kwanini azuiwe...
Back
Top Bottom