Search results

  1. mojave

    Kuanzisha biashara ya diapers na sanitary pads

    Waungwana habari ya leo....? Bila shaka wengi wetu tu wazima na Mungu katupatia neema ya kuiona siku ya leo na walio wagonjwa Mungu aendelee kuwapigania. Nakuja kwenu kuomba msaada wa kujua ni wapi naweza kupata hizi bidhaa/ product (diapers and sanitary pads) kwa makampuni mbali mbali kama...
  2. mojave

    Biashara ya container.

    Natumai jumapili yenu iko salama wakuu.. Naomba kujuzwa bei au aneuza min container Kwa DSM. Container lenyewe ni kama hili hapa.
  3. mojave

    Msaada: Simu yangu aina ya Samsung A3 inakataa kuingiza chaji

    Natumai mu wazima Naomba kupata msaada juu ya simu yangu( samsung A3) inakataa kuingia chaji na kuandika NOT CHARGING NA KUANDIKA OVER HEATING HATIMAYE KUJIFUNGA APPLICATIONS ZOTE ZINAKUWA HAZIFANYI KAZI, hata kupiga simu ninakuwa siwezi labda emergency call tu. Je, nini tatizo na utatuzi wa...
  4. mojave

    Vitabu gani vizuri kwa PCM?

    Heshima kwenu wanajukwaa! Kuna binamu yangu amepangiwa mchepuo wa PCM shule ya Tosamaganga, sasa shida yake iliyonifanya kuleta uzi anaomba kujua vitabu gani vya kununua kabla hajaenda shule kulingana na mchepuo wake. 1.physics( 5 na 6) 2.chemistry(5 na 6) 3.p/maths(5 na 6). Si mbaya hata...
  5. mojave

    Vyakula vinavyobaki kwenye mighahawa huwa vinapelekwa wapi?

    Heshima kwenu wakuu. Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, naomba kujua vile vyakula vinavyobaki baada ya mauzo ya siku kule kwenye mahoteli, migahawa na mama lishe huwa vinaenda wapi? Msaada kwa anaejua maana nina wasiwasi huwa tunalishwa viporo.
  6. mojave

    Nini faida ya kumiliki website au blog?

    Wakuu habari za jioni, Kama heading inavojieleza hapo juu, Naomba kujua ni jinsi gani wamiliki wa website na blogs wanavopata faida kutoka katika blogs na website, mfano 1. Millardiayo 2. JamiiForums.
  7. mojave

    Huawei Y 300-Unfortunately Stopped

    Habari za leo wanaJF..? Naomba msaada wa kitaalamu juu ya simu tajwa hapo juu.. Hii simu nimeitumia tangu 2014 May lakini siku chache zilizopita ilianza kuleta maandishi juu ya kioo ambayo yanajirudia kila mara bila kuisha (kila application inakuwa inaandika UNFORTUNATELY STOPPED) na kunifanya...
  8. mojave

    Walimu na Madaktari waliokuwa wanagoma wapo wapi?

    Natumai mko salama wanajamvi.. Napenda kuuliza hivi walimu na madaktari waliokuwa wanagoma kwa kudai masilahi ya kazi zao season ya 4 (KIKWETE) wamepotelea wapi au wameshawekewa sawa masilahi yao ndo maana season ya 5(MAGUFULI) hawajaendelea kuyadai??!! Pia hawa ndugu zangu wanafunzi wa vyuo...
Back
Top Bottom