Search results

  1. Mupirocin

    Covid-19: Huu mgomo wa Umma kwa Rais wao utaliponya Taifa

    Si kweli kuwa kasema watu wasivae barakoa. Mbona mara nyingi amesema tuendelee kuchukua tahadhari huku tukimtanguliza Mungu. Ila watanzania tunashida sana ya uelewa. Mheshimiwa MagufuliJP anatumia nguvu kubwa kwa watu wasio na akili ya kujua mambo. Hakuna mahali amekataa tusivae barakoa. By the...
  2. Mupirocin

    Kuna kitu zaidi ya Corona Tanzania na ni kibaya sana

    Tutagunduaje shida wakati macho ya kila mtu anataka tuseme tu ni corona. Watu wanawatukana madaktari ndiyo wanaofanya ugunduzi huo. Watanzania tuache kuiga na umuch know tutakwisha kweli. Sasa hivi kila ugonjwa ni corona, matokeo yake tunashindwa hata kufanya basics diagnosis, tunashindwa...
  3. Mupirocin

    Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    MODESTUS CHOGGA alikuwa babu yangu mzaa mama. Tulipigwa pin [emoji625] Sana miaka Ile Hakuna ukoo wa CHOGGA ulitoka miaka ile. Tumeanza kutoboa miaka hii. Babu yangu alifariki 1993 aliumwa sana. Mwaka 1992 aliunda Chama chake cha upinzani. Kiliitwa CHAMA CHA TANTU. anyway nimekumbuka mbali...
  4. Mupirocin

    Msimamo wa Tanzania kuhusu Korona uliotolewa katika kikao cha Umoja wa Afrika AU ni ubabaishaji

    Siyo kweli. Katika kipindi chake hata supply za mbolea zinatoka kwa wakati kuliko rais yeyote. Na amekuwa akisisitiza tulime kwa bidii ili tusaidie nchi waliojifungia. Amekuwa akisisitiza kuwa hata toa chakula kwa wasiolima. Mkuu wa mkoa, wilaya, Das na viongozi wote wa eneo ambao watakumbwa na...
  5. Mupirocin

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Unaona sasa. Mimi sikuzungumzia review of prescription bali nilimjibu pale juu kuhusu kufanya physical examination. Unaporeviwe prescription unakuwa unafanya physical examination. Na una review prescription aliyoandika nani. Kwanini usiandike mwenyewe basi. Bahati nzuri umesema kuhusu job...
  6. Mupirocin

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Rikiboy mzee wa kula kimasihara. Hiyo nilimjibu mtu pale juu soma tena. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna aliyesema hawatakiwi kila mtu afanye yake aliyosomea. Tuache kuoneana wivu
  7. Mupirocin

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Sasa si ufanye unavyotaka basi. Sheria za nchi zinasemaje. Unatumia ubabe mahali ambapo panhitji akili. Haya endeleeni
  8. Mupirocin

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Hawezi aise. Labda ukasome clinical pharmacy. Ila kwa mfumo wa hapa bongo mfamasia hawezi hata fanya physical examination bwana
  9. Mupirocin

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Hivi wanajua kama daktari anasoma 1. Udaktari wenyewe 2. Uongozi 3. Maabara 4. Pharmacy 5. Nursing 6. Mazingira 7. Nutrition 8. Sheria 9. Radiology 10. Usingizi 11. Magonjwa ya akili 12. Entrepreneurship 13. Utafiti 14. Psychology 15. Takwimu 16. Sociology 17. Forensic medicine nk Kwa...
  10. Mupirocin

    Wakuu, nishaurini kuhusu Shule ya bweni kwa mtoto wa nursery

    Melete shule ya masista iko Songea. St Agnes chipole English medium. Ina darasa la saba kwa mara ya kwanza. Kwa darasa la nne inaongoza kimkoa. Kitaifa iko kwenye 10bora
  11. Mupirocin

    Wanawake mnaovaa hivi vipedo acheni mnapoelekea sio pazuri

    Ujue pia yuko sokoni. Siyo bure [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  12. Mupirocin

    Wataalamu wa hesabu nipeni jibu

    Simultaneous equations by substitution method. Dah miaka ya 1998 form one dah kitambo sana
  13. Mupirocin

    Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

    Ameingia sasa. Acha porojo. Tunaomboleza leo jamani dubu,
  14. Mupirocin

    Nukuu maarufu za Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

    Uzuri wa ukakasi ndani kipande cha mti.
  15. Mupirocin

    Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

    Cardiac arrest inaweza kukitokea wakati wowote. Mahali popote.
  16. Mupirocin

    Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

    Cardiac arrest haina uhusiano. Malaria inaonyesha alikuwa anaendelea vizuri. So cardiac arrest inawaza mpata mtu yeyote wakati wowote. Commonly inaweza kuwa due to shambulio la moyo. Heart attack. Mara nyingi heart attack ikiwa ni major yaani ikihusisha mishipa mikubwa ya moyo haichukui round ni...
  17. Mupirocin

    Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

    2010 mbona hakusema kwa JK au kwasababu alimhaihidi kumpa urais kama pipi. Mbona Mwaka huu unachonga sana. 2000 mbona huku hoji haya au ulikuwa bado mtoto. Acha upumbavu membe hata heshima niliyokuwa nakupa nitaondoa sasa.
  18. Mupirocin

    Salary Advance: Janga linalowatafuna Watumishi wa Umma

    Hamna shida as far unakopa before kupata hela yako na unatumia kitu cha msingi. Kuliko kwenda kukopa Bayport. Tuwaache watumishi waishi as they wish. Sioni Shida kabisa. Hii Pana kipindi nilikuwa napigika kweli but umenisaidia sana kuishi maisha yangu bila mtu kujua kuwa nimechacha Sent using...
  19. Mupirocin

    Naombeni ushauri nimepata mrembo anadai nimpe milioni 6 kabla ya kumfanya chochote!

    Cha kufanya fanya hivi. Mwambie akupe business plan yake afu then mtashare ili mfanye business pamoja iwe ya familia yenu mnayo tarajia kuanzisha. Then utaona kama hiyo business ni double au anataka kukupiga tu. Nenda naye taratibu utamgonga tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  20. Mupirocin

    Utendaji wa wataalamu wetu wa afya hauridhishi

    Taja hiyo wilaya aise. Huu ni unyama Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom