Search results

  1. daraja la kigamboni

    INFINIX YA 1.5ml hii hapa

    Ni infinix zero ultra
  2. daraja la kigamboni

    Msaada: Star X smart TV kuunganisha na simu

    Habari za weekend wataalamu Nimenunua TV aina ya star X naomba kujua namna ya kuunganisha na simu yangu kwa wireless ili niweze kushare music na video. Kabla ya hii nilikuwa na TCL ilikuwa rahisi tu
  3. daraja la kigamboni

    Motorola Moto X30 Pro: Simu bora ya mwaka huu

    Motorola Moto X30 Pro Camera 200 MP Selfie camera 60 MP Screen 6.7" Fast charger 0-100$ 19 minutes Kwa maoni yangu hii ndiyo simu bora kabisa ya Android. Sioni Samsung yenye sifa hizo
  4. daraja la kigamboni

    Ushauri wenu wataalam wa Smartphone kati ya hizi simu

    Baada ya kutumia smartphone za makampuni mbalimbali I. e Nokia/Lumia Samsung/Galaxy S6 Tecno/H6, wx3, F1, J8 ... Xiaomi/Redmi note 8,na sasa natumia note 10 Naomba ushauri kati ya hizi OnePlus Ace Realme GT Neo 3 Galaxy S10 used Bei zinalingana tu
  5. daraja la kigamboni

    Misaada: jinsi ya ku update software ya simu (redmi note ten)

    Nimejaribu kwa muda mrefu lakini imebaki kwenye 0% Mwanzo inataka nitumie WiFi
  6. daraja la kigamboni

    Msaada Wadau:JINSI YA CSV FILE

    Jinsi gani naweza kutengeneza CSV file kwa kutumia simu ya Android? Karibuni kwa michango
  7. daraja la kigamboni

    Kwa nini haya magari used yanauzwa bei ndogo sana?

    Mark 2 Mark X Passo Haya magari yakiwa used hapa nchini yanauzwa bei ndogo sana ukilinganisha na mengine yenye umri sawa mfano IST, VITZ Nawasilisha
  8. daraja la kigamboni

    Waziri wa Kilimo, anza na Bei ya Mbolea

    Refer to the heading above Waziri wa kilimo ndugu Husein Bashe, wakulima tunalia na bei ya mbolea. UREA mwaka jana bei ilikuwa Tsh 50,000/- kwa kilo 50 sasa ni 110,000/- DAP ni 120,000/- Kuna uwezekano mkubwa kushuka kwa uzalishaji wa mazao hasa huku nyanda za juu kusini maana ardhi hii bila...
  9. daraja la kigamboni

    Malalamiko ya mashabiki wa Yanga

    Kama kawaida yao Hawachelewi kwenda CAS
  10. daraja la kigamboni

    Ushauri: Ninunue simu gani kati ya hizi?

    Baada ya kushindwa kununua galaxy S10e kwa sababu ya bei,nimepata pesa kidogo ninayoweza kununua simu hizi; 1.Honor 10 lite 2.Huawei y7 pro 3.Redmi note 8 4.Lenovo z6 lite 5.Realme q Naimba kwa mwenye uzoefu na hizi device, nichukue ipi? Bei ina range 298K - 365K aliexpress
  11. daraja la kigamboni

    SAMSUNG GALAXY S6 USED INAUZWA

    Simu iko vizuri kabisa haina tatizo lolote Internal memory 32gb Camera 16mp/5mp Android 7 Bei 250K maongezi yapo Whatsapp 0620640373 Ipo iringa
  12. daraja la kigamboni

    Harufu ya kinywa kwa mtoto

    Mtoto ana miaka 5 lakini anaharufu kali mdomoni, hata akipiga mswaki baada ya muda mfupi inarudi tena. Nini chanzo na tiba yake
  13. daraja la kigamboni

    Huawei Y7 pro 2017 vs Redmi note 7

    Kwa wazoefu, nataka ninunue mojawapo ya hizi simu ipi bora? Ni Huawei Y 7 pro 2019 siyo 2017
  14. daraja la kigamboni

    Msaada kuhusu smart tv

    Nimenunua smart TV aina ya TCL 32" Hapo kabla nilidhani smart TV zina android os ambayo naweza download application kama azam app ili niweze kuangalia TPL,lakini sijaona uwezekano huo. Kwa ujumla sijaona tofauti kubwa na hizi za kawaida. Je kuna matumizi mengine ambayo labda sijagundua?
  15. daraja la kigamboni

    Nahitaji smartphone used kwa 50,000

    Iwe na hali nzuri Nchi 4.5 Nipo Iringa KESHO
  16. daraja la kigamboni

    Msaada:Jinsi ya kuandika talaka

    Kwa anayejua jinsi ya kuandika talaka hizi za kienyeji anisaide Kuna mtu amekubaliana kuachana na mkewe kaniomba nimsaidie bahati mbaya na mm sijui
  17. daraja la kigamboni

    Huduma maji inapatikana 24

    Mbunge ametimiza ahadi ya kuleta mtaani kwetu
  18. daraja la kigamboni

    Kwa watalaam wa picha.

    Naomba kujua free program ya kutengezea passport size picture zenye size ndogo e.g 4Kb.
  19. daraja la kigamboni

    Kujaza fomu ya TCU kwa resiters

    Nimetumia cheti cha kwanza ambacho kina credit moja tu najaribu ku add resit inagoma Majibu ni not passed What can I do? Msaada tafadhali
Back
Top Bottom