Search results

  1. R

    Private candidate

    Nataka nifanye mtihan kama pc je kuna madhara yoyete mtihan wa kidato cha 6 naomben ushaur
  2. R

    Clinical officer vs medical laboratory

    phy-d chem-c bio-c math-d, engl-d kama cert uwe na d zote kwenye masomo hayo
  3. R

    Je NACTE wamefunga system yao?

    Naomba kuuliza, NACTE wamefunga system yao?
  4. R

    Nimechaguliwa diploma Kampala University(KIU)

    Jamani nimechaguliwa na NACTE diploma ya medical lab Kampala University (KIU). Nimeskia eti kilikuwa na matatizo. Je yameisha?
  5. R

    Msaada: Shule ya private advance ya bei nafuu tahasusi ya PCM au CBG

    habarn wana jamvi, mimi ni mhitimu kidato cha nne 2015 nlipata div3 lakn sikubahatika kuchaguliwa kidato cha tano. Sasa naomba kwa yeyote anaye fahamu shule private advance yenye tahasusi za sayansi kama PCB, CBG yenye ada nafuu chini ya lak 9 hatakama haifanyi vzr ktk result nisaidieni, matusi...
  6. R

    Natafuta shule private A-level yenye michepuo ya Sayansi

    habar wanajamvi mnaweza nisaidia shule privat alevel sayans zenye ada nafuu chni-lak9 hatakama haifany vzr katka result nisaidie kama unafaham!
  7. R

    Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    namba wasiliana nao 0745335568
  8. R

    Shule private A-level kanda ya ziwa

    Jamani selection bado tu? Jaman nimechoka kusubiri, kama kuna mtu anafahamu shule private zenye ada nafuu chini ya laki 9 anishitue. Iwe ina michepuo ya Sayansi
  9. R

    Msaada wa kupata shule private

    jaman wakuu nisaidien shule za private zenye gharama nafuu hatakama haifanyi vizur katika motekeo yake iwe inamichepuo ya sayansi ada isizidi lak 9
  10. R

    NATAFUTA NO ZA UONGONZI WA TAQWA HIGH SCHOOL MWANZA

    vp kuhusu ada wanalipa shingap na inacombination zipi mkuu
  11. R

    Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

    dah wanachosha kwel kwel hawa nacte
  12. R

    Natafuta shule ya Private Advnced level yenye combination ya CBG

    Nisaidieni shule private inayolipa ada chini ya laki 8 hata iwe ya day yenye CBG Advanced level
Back
Top Bottom