Search results

  1. M

    Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

    nimesikiliza mwanzo hadi mwisho, na wengine sikilizeni vizuri mwanzo hadi mwisho kisha linganisha kile alichoandika mleta mada. Hapo tu ndo utaelewa akili zetu hazina akili, ikiwemo wewe uliyeleta hii mada.
  2. M

    Ninahisi mpenzi wangu ana mwanaume mwingine

    nashindwa kabisa kuelewa vijana wa siku hizi kupenda kutumia neno 'basi bwana'. Hili neno si wanatumia wanawake?
  3. M

    Kijasusi tunajifunza nini kuchapwa kofi kwa Rais wa Ufaransa?

    nikiangalia vizuri naona mkono ulizuiwa na mlinzi kabla haujatua shavuni, ni mtizamo wangu.
  4. M

    Ninampenda ila tabia zake zinanitia hofu

    kwa uandishi huo wa 'kweli bwana' lazima afumulie nje maana anaona yupo na demu mwenzake
  5. M

    RC wa Dar es Salaam kutoa usafiri kwa Ombaomba wanaotaka kurudi makwao mwezi wa 6

    inaonekana matajiri wanawatumia ndio maana ni vigumu kuondolewa,
  6. M

    TRA ni SHIDA: Wavamia Ofisi hapa Viwandani

    watu wanadharau demand notice na simu, huo ni ujinga, hata kama unadaiwa nenda kaongee nao, wakati mwingine tunalaumu TRA kumbe ni maudhi ya kampuni yenyewe, na si kila kodi inasubiri hadi mwaka ndo ulipe, unawakata watu paye afu hutaki kulipa
  7. M

    Mtandao gani una vifurushi vizuri vya intaneti vya usiku?

    run test speed angalia inasomaje, inatakiwa isiwe chini ya 2mbps
  8. M

    Mtandao gani una vifurushi vizuri vya intaneti vya usiku?

    tumia simu yenye 4g afu ulete majibu, mimi ndani ya masaa 2 gb 5 yote ishaisha na movie 5 juu
  9. M

    Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

    kwa hyo wewe ulitaka vijana waendelee kukosa ajira?
  10. M

    Mtandao gani nitapata GB 1 kwa Sh. 1000 kwa wiki?

    labda inategemea na simu na maeneo lakini simu zenye 4g lite na kuendelea ukiwa na line ya halotel hasa za 4g speed inakuwa poa, download kuanzia 1mbps upload kuanzia 2mbps, ukiweka 1gb labda uweke na limit maana ni masaa tu limeisha hasa kwenye tiktok, youtube
  11. M

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    katika maisha unatakiwa kujifunza kushukuru kile ulichopata, lkn kamwe usidhiaki kile alichopata au kukosa mwingine maana wote hatujui siku wala saa. Upendo kwenu wanawake na mabinti wote mnaojieshimu na wenye utii, haijalishi 'mliteleza' au 'hamkuteleza' katika maisha yenu.
  12. M

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    wagalilaya mpo? mnakubaliana na jamaa kumvua binti nguo kabla ya ndoa takatifu na kuidhalilisha familia? Tupia basi ka audio ulivyokuwa unaongea, tuone kama umefika top levo yetu wale tulio zitindua baada ya sacrament.
  13. M

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    kama mkeo alikubali kukuvulia baada ya ndoa, safi sana, karibu kwenye chama, kama alikuvulia kabla ya ndoa, pole sana na uwe makini, hilo ni garasa, ulilihurumia na litakupa shida muda si mrefu.
  14. M

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    mwalimu nina swali, ulimtoa bikra kabla ya kumtolea mahari au baada?
  15. M

    Je, mwanamke anamjua mwanaume halisi aliyempa mimba?

    ungemjibi na kiingereza chetu hiki hiki cha kuombea maji ya kunywa, 'u better die bitch but that baby must live, whoever the father is'
  16. M

    Unapofikiria mtu ambaye ni mzuri, nani anakuja kwenye akili yako?

    kuna wanawake wamebarikiwa, hata umri uende vipi au hata ajifungue na kunyonyesha lkn umbo lake la ukweli, na chuchu zimesimama.
  17. M

    Nani huwafundisha mabinti sanaa ya kukata viuno?

    kama mbavu za mbwa, hata ukiweka kidole utayahisi, na mara nyingi wa hivyo kipele kigumu ( gspot) ni rahisi kuishika kwa kidole.
Back
Top Bottom