Search results

  1. Elungata

    Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

    Jk hanaga visasi,,angekuwa rais mwingine hao wangepotea haraka sana,jk alisubiri mda ndo uwe muamuzi mzuri,,,sasa hivi ukiwaulliza hao wachina waliouziwa gesi yote na jk mbona hatuwaoni?,hawana la kujibu,, Karibuni tena walikuja na ushenzi wao wa kawaida eti bandari zote zimeuzwa kwa DP world,,😂😂🙆
  2. Elungata

    Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

    Maswali Yako yamekaa ki darasa la tatu c,,,nimesema awamu yake ndio pekee nchi hii mawaziri wengi waliwajibishwa,,iwe kwa kujiuzulu,kifikishwa mahakamani,etc,,, Kama unahakika jk alikula rushwa taja lini na wapi,sio unatuletea wasomi wakubwa mambo ya kubuni yasiyo na evidence
  3. Elungata

    Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

    Jpm aliamini propaganda za wanachadema kwamba Rizwan alikamatwa china,Jk akapanda ndege usiku usiku kwenda kumkomboa china,by alfajiri akawa kisharudi toka china😂😂,eti JK aliwapa wachina gesi yetu in exchange for Rizone kuwa free🙆
  4. Elungata

    Kosa la Kikwete kwa Lowassa hasa ni lipi hadi wamtendee haya msibani?

    Augustoons said: Hapo ndio haja ya kuwepo waziri asiye na wizara maaalum au naibu waziri mkuu inakuwepo. Ila ni washenzi tu hakuna haja ya kuweweseka nani aongoze shughuli za serikali bungeni Batilda Buriani si yupo? yeye si ndio mwakilishi wa waziri mkuu bunge? Naam mi ndio maana hapa JF...
  5. Elungata

    Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

    We jamaa vipi,,si ufanye research,,kwani mi nalipwa hapa?,nimekutajia majina,,ina maana wewe una akili nzito sana hadi huwezi ku cross check mpaka nikufanyie kila kitu?
  6. Elungata

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Augustoons said: Hapo ndio haja ya kuwepo waziri asiye na wizara maaalum au naibu waziri mkuu inakuwepo. Ila ni washenzi tu hakuna haja ya kuweweseka nani aongoze shughuli za serikali bungeni Batilda Buriani si yupo? yeye si ndio mwakilishi wa waziri mkuu bunge? Naam mi ndio maana hapa JF...
  7. Elungata

    Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

    Hawa watu wanakuaga na nongwa za kijinga sana,,just imagine Tibaijuka alikuwa kamati kuu,,leo yuko nje ya cheo,,analaumu Lowasa kukatwa,,wakati na yeye alikua kamati kuu Katika history ya nchi hii,hakuna awamu mawaziri wanewajibika kwa wingi kama kipindi cha jk,,kuna waluofungwa,kuna...
  8. Elungata

    Kosa la Kikwete kwa Lowassa hasa ni lipi hadi wamtendee haya msibani?

    Ushaambiwa ni jk ndo alupiga stop Richmond kulipwa Advance baada ya ku deliver mtambo wao kuzalisha umeme,hii ni baada ya tuhuma kutokeza kuwa tender haikufuata procedure,,pili ile kampuni ya Richmond haikuwa na ofisi,yaani ilikuwa ni Briskef company🤷
  9. Elungata

    Kosa la Kikwete kwa Lowassa hasa ni lipi hadi wamtendee haya msibani?

    Usaliti?,,kwamba sasa urais umekuwa wa kupeana marafiki siyo?,,🤔kwamba samia akimaliza awamu yake ni sawa tu akimuachia cheo Dr maua Daftari siyo?,, Am surrounded by idiots....🙆
  10. Elungata

    Kosa la Kikwete kwa Lowassa hasa ni lipi hadi wamtendee haya msibani?

    Wanasema eti JK hakumpa lowasa nafasi agombee urais hivyo ukoo wa Lowasa umekasirika sana...😂😂🙆
  11. Elungata

    Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

    Jk hajawahi kumbatia wara rushwa,, kumbuka ni awamu ya jk ambako mawaziri kibao walifungwa na kufikidhwa mahakamani ,wengine kujiuzulu akiwemo lowasa,msabaha,karamagi,tibaijuka,idd simba,etc,
  12. Elungata

    Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

    Kimsingi Lowasa ameogeshwa sifa za jk,,,ni sawa na sifa za jpm umpe kassimu majawali ambae alikuwa ni kama kiranja tu wa jpm
  13. Elungata

    Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

    Hujaelewa wanaosema jk aliwageuka wanamtandao?🤔😂
  14. Elungata

    Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

    Naona hujaelewa,pohamba anamaana,baada ya kugundua kuna watu wake wanamzunguka concerning ishu ya Richmond,,JK alimpiga stop msabaha waziri wa nishati kulipa advance na akabariki kamati ya mwakyembe kufanya uchunguzi,,then things started to happen,, Ni Rais wa ajabu tu atakubali mtu...
Back
Top Bottom