Search results

  1. T

    Mkuu wa chuo cha Ufundi Arusha yamkuta, atimuliwa kazini baada ya kubeza juhudi za Serikali kununua ndege

    Yaonekana huyo Bosi ni jeuri sana, fikiria kuwa eti hakurekodiwa na mtu bali ni yeye kwa mikono yake alijirekodi na kutuma mwenyewe! Ni jeuri ya jinsi gani hiyo?
  2. T

    Wizara ya Elimu mulikeni Uongozi wa chuo cha DIT

    Achana naye huyo, hajui alichoandika. Eti Masika aliipaisha ATC! Labda anamaanisha kudidimiza siyo kupaisha.
  3. T

    Ni hatari kuitangazia dunia habari za ugunduzi usio rasmi

    Bosi wa masuala ya taalumana utafiti Dkt Masudi Senzia alinukuliwa akisema hakuna michoro, utafiti wala andiko la helikopta hiyo. Sasa wewe unayesema tafouti na mhusika mkuu wa mambo ya taaluma na utafiti chuoni hapo utuambie ni nani na uaminiwe kwa lipi?. Imeandikwa, kuwa ushahidi upo kwamba...
  4. T

    Ni hatari kuitangazia dunia habari za ugunduzi usio rasmi

    Duh, hiyo ni kali. Helikopta inatengenezwa bila hata michoro katika Taasisi ya Elimu ya Juu kwa karne hii?
  5. T

    Waziri Muhongo aipiga 'stop' EWURA kupandisha bei(mpya) ya Umeme

    Nimekusoma, wapo baadhi ya mburura, ambao hawastahili kabisa kukaa na kuwa viongozi kwenye ofisi za umma. Wizi kama uliofanyika Chuo cha Ufundi Arusha ukiweza kuzuiwa, na sehemu nyingine za aina hiyo ukazuiwa, hakutakuwa na haja ya kupandisha bei ya huduma muhimu kama umeme. Ubaya ni pale ambapo...
  6. T

    Ubadhirifu na Ufisadi wa Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha sasa ni Bayana

    Inashangaza sana, mwenye jengo anasema si lake, kwamba ni jengo la mtu mwingine limepigwa picha yeye akabambikiziwa. Wapambe wanasema akili ya mwenye jengo na utajiri wa mkwe wake za mwenye jengo hawezi kushindwa kujenga jengo kama hilo. Aaminiwe nani, mwenye jengo au wapambe? Wakwe zake...
  7. T

    Ubadhirifu na Ufisadi wa Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha sasa ni Bayana

    Picha hii inaonekana kupigwa kwa karibu mpaka ikakosa focus bora iliyopigwa kwa mbali inakupa hata na majirani zake. hata hivyo aliyepiga na kuzituma kwa rafiki zake alikuwa anajua anafanya nini, pengine waone inavyoonekana kwa mbali na kwa karibu pia.
  8. T

    Ubadhirifu na Ufisadi wa Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha sasa ni Bayana

    Sidhani kama suala la kumalizika muda wa wajumbe wa Bodi litamnyima usingizi kiasi cha kutokwenda likizo, wala X-Mass. Safari hii amebadilishiwa Mkaguzi wa Hesabu za Chuo, hivyo kwa kuwa Mkuu wa chuo amejifanya kuwa Mhasibu Mkuu, ni lazima awepo afanye aone kwamba mahesabu yanakwenda vizuri ili...
  9. T

    Ubadhirifu na Ufisadi wa Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha sasa ni Bayana

    Jumba la Mkuu wa Chuo Dkt Richard Masika linalojengwa Block E, Njiro - Arusha. hii ni sehemu tu ya vitu vya kifahari alivyojipatia kwa njia ya ubadhirifu na ufisadi.
  10. T

    Ubadhirifu na Ufisadi wa Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha sasa ni Bayana

    Jumba la Mkuu wa Chuo Dkt Richard Masika analojenga Njiro Arusha Viwanja vitatu vya Richard Masika vilivyopo USA- Arusha Sasa habari ya ubadhirifu na ufisadi wa Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha Dkt Richard Masika si kitu cha kuficha wala siri tena. Picha alizopiga na kutuma kwa rafiki zake...
  11. T

    Mwizi aendelea kuiba na kusema hapa ni kazi tu

    Mjengo huo wa kifahari nalo kwa level ya ukuu wa chuo sio issue?.... Baadaye itawekwa magreen house aliyojenga kwa ufisadi huuhuu. siku hadi siku itawekwa kimojakimoja, tuliza bolu na usiwe na presha.
  12. T

    Mwizi aendelea kuiba na kusema hapa ni kazi tu

    Huo ni upande mwingine wa shilingi. Jumba lingine la kifahari la Mkuu wa Chuo Dkt Richard Masika, utasemaje tena hapo?
  13. T

    Mwizi aendelea kuiba na kusema hapa ni kazi tu

    Rohombaya na Utemi ni mtu huyohuyo ambaye ni afisa habari wa Chuo Gasto Leseiyo. Aliajiriwa chuoni kwakuwa ni mjomba wa Mkuu wa Chuo. Tangazo lake kwa umma ni upotoshaji mtupu, halina ukweli wala uhalisia wowote. TAKUKURU haijachunguza ukiukwaji wa ajira za upendeleo Chuo cha Ufundi Arusha...
  14. T

    Mwizi aendelea kuiba na kusema hapa ni kazi tu

    Hivi ni baadhi ya viwanja anavyomiliki Mkuu wa Chuo. Viwanja hivi ni namba M11 & M12 vilivyopo User-River vinavyomilikiwa na Mkuu wa Chuo, Richard Masika Mushi kwa fedha aliyochukua (aliyoiba) kutoka akaunti ya chuo ya ATC-PCB.
  15. T

    Mwizi aendelea kuiba na kusema hapa ni kazi tu

    Huyo ni mwizi mzoefu, ni vigumu sana kumkamata. Inasadikika anatumia hata utaalamu wa SANGOMA ili kuweka mambo yake vizuri. Jengo la Mkuu wa Chuo analojenga njiro ni funga kazi, linaweza kuwa jengo la mfano. Linakadiriwa kugharimu Tsh. 1,200,000,000/=. viwanja vitatu vya USA vyenye namba ya M11...
  16. T

    Ulafi wa Mkuu wa Chuo cha ufundi Arusha na hatima ya elimu inayotolewa na chuo

    Jengo la Mkuu wa Chuo hicho pale Njiro linathamani ya Tsh. 1,200,000,000/=. Watu katika eneo hilo wanajiuliza katika hali ya kawaida mwajiriwa huyu wa umma alipata wapi fedha yote hiyo? Sasa jibu liko wazi kuwa ni hizo zinazolalamikiwa na kila mtu chuoni.
  17. T

    Ulafi wa Mkuu wa Chuo cha ufundi Arusha na hatima ya elimu inayotolewa na chuo

    Ukizaliwa wa roho mbaya ni wa roho mbaya tu. Mara nyingi watu wa aina hiyo huwa wana wivu sana. Kama mtu anaweza kupeleka wazee shule akaacha vijana, maana yake ni nini? Ni kweli kwamba kila mtu anastahili kusoma mpaka upeo wa maisha yake, likini kila kitu kina muda wake. Taifa linasomesha ili...
  18. T

    Ulafi wa Mkuu wa Chuo cha ufundi Arusha na hatima ya elimu inayotolewa na chuo

    Mkuu wa Chuo hiki anatambulika kama Richard Joseph Masika Mushi. (Inafahamika kuwa ni mwenyeji wa Kibosho-Moshi-Kilimanjaro. Ameajiri mtaalamu wa kilimo anayelipwa mshahara na serikali kwa ajili ya kushughulikia mashamba ya Mkuu wa Chuo anayolima maua kwenye Green house alizojenga nyumbani kwao...
  19. T

    Ulafi wa Mkuu wa Chuo cha ufundi Arusha na hatima ya elimu inayotolewa na chuo

    Si jambo la siri au kificho kwamba kuna ufisadi mkubwa, tena wa kutisha uliofanywa na unaoendelea kufanywa na Mkuu wa chuo cha Ufundi Arusha. Mtu anaweza kushangaa au kuuliza kwanini Mkuu wa Chuo na siyo Menejimenti ya Chuo? Ukweli ni kwamba ni kama vile Chuo hakina Menejimenti kwa sababu Mkuu...
  20. T

    Kuchezea Elimu ni Sawa na Kuchezea Maisha ya Wananchi

    Hapo maana yake ni kwamba yeyote anayeonekana kumuunga Mhe Raisi Mkono kwa kupambana na ufisadi hatakiwi? Atafukuzwa kazi kwa kisingizio chochote, au kuhamishwa akapangiwe kazi nyingine? Hii ni kali
Back
Top Bottom