Habari wandugu
napenda kuanza nianze kuongelea uchumi wa Tanzania kwa sasa.ripoti mbalimbali zilionesha ukuaji mzuri wa uchumi wa nchi yetu na BOT pamoja na Mh polepole kusifia ukuaji wa uchumi katika rate ya 7.2%.nadhani ni jambo la kushangaza sana kutokana na habari tunazozisikia,ziona na...
habari wandugu
naomba kuchangia jambo moja hili la kuongeza kodi hili kulinda uzalishaji wa ndani..katika economics esp Trade economics hili swala limeongelewa sana sana...na katika watu waliojaribu katika nchi nyingi mara nyingi uwashinda kutokana nakuwa na mipango mibovu
sijui kama nchi...
hello wandugu naomba kaushauri kidogo kuna ndugu yangu kakosea kutuma hela(laki 2) akamtumia mtu mwingine maana namba zinafanana sana sana alikosea kwenye 0717 akaweka 0714.
sasa alivyokosea huyo aliyetumiwa nae kamtumia mwingine majina anayo na number anazo
hivi kuna jambo lolote linaweza...
habari wandugu
leo katika soma soma zangu nikakutana na article moja ambayo inaongelea pombe.kwamba pombe inakufanya kuwa na maamuzi mabaya,kutokuwa na maamuzi ya busara..sasa kama mh Kitwanga kweli alikunywa bajeti yake itakubalika?au bajeti itarudiwa kujadiliwa
though siamini kila mnywaji ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.