Search results

  1. malogi1976

    TANESCO TABORa

    Mimi ni mkazi wa tabora TANESCO tbr kwa kweli wanatuangusha sana tumetowa ripoti shida ya nyaya toka Jana mpk leo hawajarudi.kifupi walichelewa kufika wakaangalia na kuzima umeme ila mpk siku ya Leo hawajarudi.Nyaya hizo hizo ziliwaka moto kipindi mvua ilikuwa inaonyesha.
  2. malogi1976

    Kwa TRA Tabora: Nililipa SDL mtandaoni lakini kwa sasa inaniambia payments of tax overdue

    Ninahitaji ushauri, Mimi ni mfanyabiashara hapa Tabora na huwa nalipa SDL ya wafanyakazi bila kuwachelewesha malipo ya mwezi. Tulivyoenda lipa SDL ya mwezi wa kwanza tukalipa na nikaambiwa malipo ya mwezi unaofuata tutalipa online tumefanya hivyo ila sasa ukiingia online ninaona imeandikwa...
  3. malogi1976

    Nahitaji mtu anayekodisha gari kutoka Dar kwenda Tabora

    Ninahamia Tabora na nawachukua mbwa wangu na nitahitaji gari ya kuwabeba.
  4. malogi1976

    TRA ni kiboko sasa

    Nyie TRA ni kiboko yani wamekuja hotelini na kuuliza wateja wangapi wamelala nikawaambia na kuwaonesha kitabu mpaka hapo sawa baada ya hapo leta Risiti nikawaambia wateja hulipa siku wanayotoka mara napewa barua na maofisa kwa kosa la kutotowa Risiti. Kwanini mnakuwa waonevu nikaenda the next...
  5. malogi1976

    Namba ya Airtel

    Naombeni msaada wapendwa nimenunuwa Umeme kwa hao Airtel sijapata jibu toka mchana na Pesa imeenda napiga number 100 machine to kwa kwenda mbele sitaki sikia hawa Airtel wanaudhiiii
  6. malogi1976

    Incubator

    Nauza incubator laki 3 imetumika for 2 months only ni manual na haili umeme. Mayai mpk 70 au zaidi sababu haitumii trey
  7. malogi1976

    Incubator laki 3 automatic

  8. malogi1976

    Mtandao gani mzuri katika internet Tanzania?

    Wazima wote? Naomba mnisaidie nimenunuwa tabs moja yangu na nyingine ya mtoto, nilikuwa nauliza mtandao gani ni mzuri kwa kutumia ambao pesa ya internet itakuwa ya kawaida, nitashukuru nikipata jibu. Kazi njema
  9. malogi1976

    Natafuta shule za English Medium Tabora

    Habari zenu...naomba msaada kuna mtu anajuwa kama kuna shule tabora mjini za kiingereza mtoto yupo darasa la kwanza.napendelea ya kiingereza sababu alizaliwa nje halafu na tz watoto wanaendelezwa vizuri na hiyo lugha.ahsanteni
  10. malogi1976

    Shule za English Medium Tabora

    Wazima humu?naombeni mnisaidie nataka kwenda kuhamia tabora mjini ila nataka nijuwe kama kuna shule nzuri kwa mtoto aliyekuwa darasa la kwanza.na nina hitaji ya kiingereza maana hata kiswahili bado hakijui alizaliwa nje ila ningependa aendelee na kiingereza. Ushauri please thanks a lot
Back
Top Bottom