Chadema ilikuwa ni mara yao ya kwanza kusimamisha mgombea, pia kama chama hawakuwa na relevance kivile... Hata Mrema na TLP walikuwa juu kuliko wao.
Kwa chaguzi za Tanzania chama kingine kupata asilimia 5 ni hatua kubwa sana, na kulikuwa na juhudi kubwa nyuma yake, nadhani ndio ilikuwa mara ya...
Mtaani kwetu wanaitwa wa Mchichani. Ni kazi tu kama kazi zingine, zina mazuri na mabaya sema ndo hivyo wabongo tunayo hulka ya kuabuse nafasi flani flani, mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake
Vidato vinawatia ushamba sana Wabongo, mashikolo mageni. Haya mambo ya kujiita Dr, Prof, CPA nani wa nani sijui mbelembele hayapo, mtu na Ph.D yako unakuwa homeless fresh tu.
Acha uzwazwa, mazoezi ni maisha. Kupata demu/danga pia ni sehemu ya maisha. Watu wanazengea nyumba za ibada kutafuta umoto umoto sembuse mazoezini.
Halafu watu kudangana, kutongozana ni jambo la kiroho ambalo huanzisha mwendo wa kutimia kwa lile andiko, "Zaeni, mkaijaze dunia".
Unachukiaje watu...
Mkulungwa, huyu ni Ramses II. Ndiye mfalme aliyekuwa na nguvu kuliko wote wa Misri, probably ndiye yule baharia aliyelisha msosi dunia nzima kwenye njaa kali inayotajwa katika Kitabu cha Mwanzo cha Biblia Takatifu.
Swali dogo, does he look white to you?
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma kuhusu Moor Conquest and occupation huko Ulaya, itakusaidia kupanuliwa mawazo...
Halafu ivi vitu vya uzungu vs weusi ni mambo ya imani tu, ukishachagua kuamini hivyo ni vigumu kukubadilisha.
Angalia kwa mfano Wabongo wanavyoaminishana kuwa Kinjeketile Ngwale alikuwa mganga flani muongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.