Search results

  1. Kraut

    Hivi TRA watakubali ku register kampuni ikiwa ofisi nataka ziwe nyumbani?

    Unaweza kusoma hiki kitabu upate ufahamu kidogo wa kodi na ushuru kwa mwaka wa fedha 2023/24
  2. Kraut

    Hivi TRA watakubali ku register kampuni ikiwa ofisi nataka ziwe nyumbani?

    Kodi ya pango (Withholding Tax) ambayo ndio chanzo cha mjadala mlipaji halisi ni mmiliki wa jengo(Mpangishaji) kwakua naye anafanya biashara ya kupangisha hivyo sheria inamtaka naye kulipa kodi ila kinachotokea ni kwamba mara nyingi mmiliki wa jengo ni ngumu kupatikana wakati wa makadirio hivyo...
  3. Kraut

    Msaada wa ramani ya nyumba hii

    Check hii Source: mtandaoni
  4. Kraut

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Nimescore 65 na sijaiona simu, central zone.
  5. Kraut

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Habari wakuu, wapi naweza pata mifuko laini kwa bei ya jumla. Nimeattach picha yake hapo chini.
  6. Kraut

    Natafuta kazi au Connection ya biashara

    Bado sijafanikiwa wakuu
  7. Kraut

    Nimetafuta ajira (kazi) kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote, Naombeni nafasi nijikwamue kimaisha ndugu zangu

    Me nimemaliza Agribusiness 2018, bado najitafuta kama kuna lolote tupeane support
  8. Kraut

    Natafuta kazi au Connection ya biashara

    Bado sijafanikiwa kupata wakuu
  9. Kraut

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Tutauana, 90 unaipataje pale[emoji849][emoji3]
  10. Kraut

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Wametuma tena email nyingine, inafanyika leo saa7
  11. Kraut

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Mfumo utakua ulikua na shida, wamenitumia email kuwa watanitaarifu muda na tarehe kwa ajili ya kufanya iyo quiz tena
  12. Kraut

    Napata Mshahara wa laki 3, nataka niache kazi nikajiajiri

    Sawa mkuu nashukuru, maana nipo desperate na kazi hapa nilipo hali yangu kiuchumi ni tete.
  13. Kraut

    Napata Mshahara wa laki 3, nataka niache kazi nikajiajiri

    Nipe connection ya iyo kazi mkuu
  14. Kraut

    Kuna aliyefanikiwa kuapply kazi NMB za Direct sales

    Hapana, mwanzo nilikua najibiwa, you cannot enrol yourself, sahivi najibiwa this course is currently unavailable for students
  15. Kraut

    Kuna aliyefanikiwa kuapply kazi NMB za Direct sales

    Iyo reply uliyonukuu alikua anamaanisha kuwa kapply ni ya muda toka February mbili, alikua hamaanishi kuwa kafanikiwa kufanya text, ndo kitu nilikua najaribu kukujibu hapo juu.
  16. Kraut

    Kuna aliyefanikiwa kuapply kazi NMB za Direct sales

    Kaaplly, sio kafanya test
Back
Top Bottom