Search results

  1. K

    Kauli za uchochezi

    Habari Wakuu! Kauli za uchochezi ni zipi?? Naomba niainishiwe ili nisiingie kwenye mikono ya dola.
  2. K

    Kuhusu ucheleweshwaji wa Vyeti DIT

    Habari wana JF Mimi ni muhitimu wa stashahada ya Umeme pale Dar es salaam Institute Of Technology (DIT). Nilifanya mtihani wa mwisho July 2014, mahafali yakafanyika January mwaka uliofata. Mpaka sasa navyotoa uzi huu bado hatujakabidhiwa vyeti vyetu, wengi tunakosa ajira kwa sababu hii, kero...
Back
Top Bottom