Search results

  1. K

    Nomba mwenye taarifa ya majibu ya usaili wa mahojiano DART atupe

    duuuuuu sawa mkuuu thread ngapi zinatakiwa upost kwa wiki au mwezi, te te te te
  2. K

    Nomba mwenye taarifa ya majibu ya usaili wa mahojiano DART atupe

    Waeza soma na usi comment pia ni vyema,
  3. K

    Nomba mwenye taarifa ya majibu ya usaili wa mahojiano DART atupe

    Wataweka kwenye tovuti pia, hoja yangu ipo hapo kwenye tovuti kama umeelewa
  4. K

    Nomba mwenye taarifa ya majibu ya usaili wa mahojiano DART atupe

    Usaili wa mahojiano uliofanyika tarehe 26.05.16 pale chuo cha usafirishaji (NIT) kwa kada mbili za Customer Support and Accountant matokeo yake vipi? Kwa taarifa za awali zilizotolewa siku ya usaili matokeo yangetoka ndani ya wiki moja na watakao faulu majina yatawekwa mtandaoni (DART website)...
  5. K

    "Hivi DART walitudanganya kuhusu kuitwa Usaili wa Mahojiano au tayari walikuwa na watu wao??

    Asante kwa taarifa lakini hawajaonyesha ni lini hiyo Oral Interview itafanyika pia kwenye tangazo lao, daaaa au ndo tutatumiwa sms???
  6. K

    "Hivi DART walitudanganya kuhusu kuitwa Usaili wa Mahojiano au tayari walikuwa na watu wao??

    ....Natumai kuna wadau mbalimbali mlishiriki usaili wa mchujo wa nafasi mbalimbali zilizotolewa na DART pale DUCE jumamosi ya tarehe 21.05.2016. Hoja yangu hapa ni mbili hivi;- 1. Kutudanganya kuwa majina ya watakao faulu usaili ule yangebandikwa pale DUCE, kuwekwa kwenye website yao na pia...
  7. K

    TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Watanzania bwana tuna chekesha kweli wakati mwingine, kwa akili za kawaida mtu aingize bidhaa (sukari) yake kwa gharama kibao anataraji auze arudishe pesa yake na apate kafaida kidogo nyie mnasubiri mpewe bureee kisa rais kasema atagawa bure akiwakamata walioficha sukari. Tutafte mambo ya...
  8. K

    Uzalendo wa Rais ni pale atakapo toa tamko la bunge kuonyeshwa live

    Usilolijua litakusumbua aisee, kwa hiyo nawe na elimu yako unauliza kama imeanishwa kwenye katiba??. nna wasiwasi hata hiyo katiba hujui cover lake likoje! Sina haja ya kukuwekea ibara au vifungu toka kwenye katiba ya mwaka 1977 lakini jua raia una haki ya kupata taarifa, habari zinahusu Nchi...
  9. K

    Tetesi: Startimes kuonesha EPL baada ya siku 11 zijazo

    ..... .Nadhani itakuwa hatua mahsusi katika kutoa burudani na kuvunja u monopoly wa DStv ambao kwa kweli wanaumiza wenye vipato vidogo kwa gharama zao
  10. K

    Uzalendo wa Rais ni pale atakapo toa tamko la bunge kuonyeshwa live

    ..Toka Bunge la 11 limeanza kumekuwa na sintofahamu sana kuhusu kuonyeshwa kwa Bunge hilo live (isipokuwa kipindi cha maswali na majibu tu) kupitia vyombo vingine vya habari, TBC tayari waziri mwenye dhamana alisha tuambia kuwa wanapunguza matumizi kwa serikali. Huyu kiongozi wetu "mtumbua...
Back
Top Bottom