Natamani ukweli huu uwafikie wafanya maamuzi. Kampuni ya Kituruki ya Yapi imeinua tuta kubwa na refu kwa ajili ya kupitisha reli ya SGR badala ya nguzo. Kisha wakaweka outlet mbili za kupitishia maji.
Matokeo yake tuta limekuwa likiyablock maji kutoka milima ya azimio na Lukobe kusambaa kwenye...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema!
Nimenunua gari kwa mtu ambaye naye alilinunua kwa mtu na hakuwa amefanya mabadiliko ya kadi.
Nia yangu ni kuwa na kadi ya gari kwa jina langu. Kadi bado inasoma mmiliki wa kwanza. Nina document za mwanasheria za ununuzi.
Naomba msaada wa taratibu za...
Najaribu kuunganisha Kesi ya maimamu wa uamsho na Kesi ya mauaji ya Lulu aliyetoka kwa Msamaha Leo. Hawa masheikh hawajaua wala kumuibia mtu. Huu ni mwaka wa nne wako ndani, haijulikani mwisho wao.
Binafsi sioni tofauti ya walichokifanya hawa masheikh na waraka wa Maaskofu Wa KKKT, au...
Mechi ya mwisho ya robo fainali imechezwa katika dimba la Namfua, ni mtanange wa kukata na shoka.
DAKIKA 90 ZINAKAMILIKA WANAENDA KIPINDI CHA PENALTI
Dak ya 89, Pigwa hukuu Yanga wanaokoa na kupiga Counter Attack, mpira unakwenda nje
Dak ya 78, Chirwa anashindwa kumalizia vema kazi nzuri ya...
Tangu asubuhi leo mods wameziachia threads zinazolaumu udini Azam. Kila mtu ni shadidi udini ulioko kwenye teuzi, na kwenye mashirika ya umma kama vile Tanesco, PPF, PSPF, Mawizarani etc, huo hauonekani. Mods wamegoma kuondoa threads za kumsema Bakresa lakini za kuonyesha uozo wa udini...
Papa Francis amekuwa akilipinga tamko hili Kwa nguvu sana hadi Leo siku ya Christimass karudia tens. Nimekuwa nikiwasikiliza pia viongozi Wa kianglican uingereza, na kilutheri pia! Mbona msimamo wao in tofauti sana na wakristo Wa hapa Tanzania? Kuna nini juu ya upingaji wao? Au wao sio wakristo...
Nimekuta ubishani wa nchi alozaliwa Yesu. Kwamba mji huu wa Bethlehem upo Israel au Palestine? Jibu sahihi ni kuwa Bethlehem IPO nchi ya Palestine ambako 95 % ni waislamu. Ni mji uliopo kusini mwa Jerusalem. Kama Bethlehem IPO mikononi mwa waislam, basi Jerusalem pia itaingia mikononi mwao. Hii...
Kwa maoni yangu, baba akishahama hakuna sababu ya mama kuendelea kubaki. Ni dhahiri Kafulila ameahidiwa ulaji fulani CCM. Jesca atakuwa anatumika kupeleka siri za chama Kwa wapinzani wetu. Lakini pia haiwezekani ufanye kazi Kwa Yusufu ukale Kwa Musa.
Waondoke tu wote. Jino Kwa jino
Ni ngumu kuamini lakini ndivyo itakavyo kuwa lnshaaAllah. Sheikh Sudeis ndani ya Uwanja Mkubwa wa Taifa.
Al-hikma Foundation inawaalika waisilamu na watu wote kuhudhiria Mashimdano Makubwa ya qur-an yanayofanyika leo jumapili tarehe 11/6/2017 katika uwanja mkubwa wa Taifa.
Share ujumbe huu ili...
Ni ukweli usiopingika kuwa wakristo wanaamini sana miujiza! ukiwaambia unauwezo wa kuponya vilema na kuwaombea wapate magari kesho watafurika hadi ukose nafasi ya kukaa. Ni watu wasiojiamini kuwa wanaweza kujiombea wao wenyewe na kwamba Mungu atawasikia bila kupitia kwa mtu -mchungaji! hizi ndo...
Mpaka sasa viongozi 255 wa upinzani wanasota na kesi zao wengi wakiwa ni chadema,
Mikutano ya kisiasa imepigwa marufuku
Bunge live halipo tena
Mbowe amefilisiwa na kubambikiwa madeni makubwa na leo yupo kwenye list ya wauza unga
Lema ndani anasubiri hukumu tu, wasiwasi kuvuliwa ubunge...
Mpaka sasa wakazi wa kagera walioathirika kwa tetemeko hawajapelekewa misaada japo michango imechangwa kwa mabilioni. Kwa upande wa wanafunzi wa vyuo vikuu mikopo imepungua sana kati ya maombi 88,000 waliopata ni 20 tu! Nitayashangaa sana haya makundi kama yatamchagua raisi wa sasa kwenye...
Hati ya kusafiria ni haki ya kila mtanzania na haijawahi kutokea eti vitabu vya passport vimekwisha ila awamu hii. Watu walioomba kwa zaidi ya miez mitatu hawajaipata passport zao kisa vimekwisha vitabu. Ina maana ni vile vitabu alivyoviacha Jakaya Kikwete vilipokwisha ndo basi tena.
Jambo la...
SIKILIZA JIONEE MWENYEWE MAAJABU HAYA
Waziri wa Mambo ya nje Augustine Mahiga amemuwakilisha Rais Magufuli kwenye mkutano wa ujumbe wa kimataifa
Waziri Mahiga atahutubia baraza la umoja wa kimataifa tarehe 26 Septemba, atazungumzia kuhusu mfumo wa uchumi duniani kutazamwa tena upya ili kutoa...
Bado sioni logic ya kujifungia ndani kwa viongozi wakuu wa kitaifa. Tanzania ni ambayo ilishaanza kujulikana kimataifa hasa kipindi cha awamu ya nne. Kujulikana huku kulisaidia sana kuvutia wawekezaji na watalii. Mfano kabla ya mwaka 2005 tulikuwa tukipata watalii 600,000 (laki sita ) kwa mwaka...
Hili ni swali ambalo limekuwa likinitatiza sana! Zigo hili walilitengeneza wayahudi zaidi ya 2000 iliyopita, mara baada ya kulitengeneza wakalipeleka Italy wao wakaendelea na mfumo wao maisha wa kawaida. Waitalia wamehangaika mao sana wakisaidiana na wazungu wengine Ulaya na Marekani, walivyoona...
BADO NAENDELEA KUSISTIZA UMUHIMU WA KIINGEREZA KWA MKUU WA NCHI,NAOMBA CHUKUA MUDA SIKILIZA CLIPS HIZI ZA BINGWA WA KIINGEREZA ACCORDING TO JK BW MKAPA
INTERVIEW WITH CAPITAL TALK
MKAPA ON ZANZIBAR ELECTION
PRESENTING ON INVESTMENT CLIMATE
INTERVIEW WITH UONGOZI INSTITUTE
WITH A...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.